Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Sunah ni hiyari sio lazima hivyo mtu anaweza kuamua kufunga siku anaona yupo mazingira mazuri bila kupishana/kukwazana na wengine....Kwa nini mwezi wa Ramadhani wanakataza sasa
Ramadhani ni lazima sio hiyari hivyo inawalazimu kufunga ukiwa katika mazingira yeyote yale ndio maana unaona watu wanapishana/kwazana