Wazungu wana Akili, baadhi yao pia huwa wanaamua kujiunga na waislam na kufunga siku nzima as part of culture. na wengine nao waliokuwa wanataka Kula, basi kuna sehemu za kwenda kula, sehemu ambazo ukienda wewe mswahili, hakuna anaekuzuia kuingia. Vile vile, kama mleta mada kasema, anaenda kanisani mjini, je amenyimwa kula? Nyuki wanauza chakula, je amenyimwa kula? Sasa hapa pekee ushajua kuwa wewe huna akili na una safari ndefu. Sehemu za kula kwa wazungu na waswahili zipo. Ila HUNA AKILI TUNimecheka sana! Kweli vyote vya duniani ni vya mzungu...yaani mswahili mwenzio unamminya mzungu unamwachia...ni Tanzania yetu hii hii! Waafrika bado tuna safari ndeefu sana.