Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Nafsi zenu zinawasuta na mnajua mpo katika upotofu. Hamna chakufanya zaidi ya chuki na kebehi.Msamehe, ndiyo kwanza saa 4 bado kavimbiwa.
Angalia hapa mjinga mwenzio anampigia Yesu simu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafsi zenu zinawasuta na mnajua mpo katika upotofu. Hamna chakufanya zaidi ya chuki na kebehi.Msamehe, ndiyo kwanza saa 4 bado kavimbiwa.
Hii ni dhambi kubwa sana ya kuwatesa wale wasiokuwa waislamu kwa kisingizio cha Ramadhan.
Huyo jamaa yako,alikutana na vijana wa mjini,aliingizwa mjini,huwenda pia kala mkong'oto na hela katoa.Chezea vijana wa mjini.Hakuna sheria katika uislamu unaokataza asiye muislamu kula mchana mwezi wa Ramadhani,na vile vile wapo waislamu wenye dharura mbali mbali,wameruhusiwa kula mchanaKwahiyo dini inawaambia mkifunga amtakiwi kuona wengine wanakula?
Wahuni tu wamejazana huko, wengi manabii na mitume wengine maaskofu wa kujipachikaMungu lazima aweke utaratibu maalumu wa ibada,sio hawa wanaswali jumamosi hawa jumapili.Hawa wanaofunga kwaresma ,hawa hawafungi,hawa wanasema nguruwe haramu wale wanasema sio haramu.Hawa wanakubali Kuvyaa misalaba,wale hawakubali.
Kwenye uislamu nako Kuna tofauti acha uongo Kuna wapiga dufu waimbao kwa ngoma na manyanga na Kuna waislamu wasiofanya hivyoMungu wa vipi huyo,dini moja ,ibada tofauti,kila dhehebu liko tofauti na nwenzake.Na lina siku tofauti ya kufanya ibada kwa wiki.Wapo wa jumapili na wapo wa jumamosi.Wakati katika uislamu ibada zote ziko sawa,na siku ya wiki ya ibada wote ni ijumaa.Hakuna dhehebu la kiislamu,eanaotofaitiana na wengine kwenye ibada zote.
Huyu kakutana na watoto wa mjini,wamemuingiza kingiyaonyesha wamempa mkong'oto na hela wamemchuliya.Mjini shule.Kabisa mkuu wanachofanya sio aki kabisa kuwakataza watu kula au kunywa kisa wao wamefunga ni dhambi kubwa mno ninachokijua kuwa kufunga hali ya kuwa na unakutana na changamoto au kuzishinda tamaa pamoja na chakula ndio unapata swahabu ya kweli lakini si ili wanalofanya ndugu zetu naona kama wanajishindisha njaa tu.
Dunia ya Mungu vilivyomo vya mzungu.
Nivyema kila mtu akaheshimu imani ya mwenzake maana mihimili yetu ya kumfikia Muumba inawezakua ni tofauti hivyo sio vyema kumlazimisha mtu wa imani nyingine kupitia au kuamini imani yako....Baadhi ya watu ni waajabu sana Mkuu. Ibada zao wanazozifanya wanataka kuingilia mpaka haki za msingi za binadamu wengine. Kule Saudi Arabia huo upuuzi wao wa kufunga hotel ili wasio waislamu wasile mchana hakuna na huko kule ndiyo kitovu cha uislamu. Sasa hawa walioletewa dini wanaongezea na yao yasiyo kichwa wala miguu ya kuminya haki za binadamu wengine. Utadhani kama vile wao watakubali haki zao za msingi ziminywe na wale wa dini nyingine.
Huwa ampendi wengine wale mkiwa mmefunga bnaa....tunaishi na nyie kwenye jamii tunaoana.Huyo jamaa yako,alikutana na vijana wa mjini,aliingizwa mjini,huwenda pia kala mkong'oto na hela katoa.Chezea vijana wa mjini.Hakuna sheria katika uislamu unaokataza asiye muislamu kula mchana mwezi wa Ramadhani,na vile vile wapo waislamu wenye dharura mbali mbali,wameruhusiwa kula mchana
1.Wagonjwa
2.Kina mama waliojifunguwa
3.Watoto
4.Wazee wasiojiweza
5.Wasafiri
6,Wanaonyonyesha wanawake
7.Wanawake walio kwenye siku zao.
Makafiri hawako.mbali na shetani, kwahiyo tunamlaani kafiri. Na kafiri anataka atumike na shetani awakere tu Waumini.Kwahiyo dini inawaambia mkifunga amtakiwi kuona wengine wanakula?
Kwenye uislamu nako Kuna tofauti acha uongo Kuna wapiga dufu waimbao kwa ngoma na manyanga na Kuna waislamu wasiofanya hivyo
hawa uliowataja wote sijawahi kuwasikia wakilalamika kuwa hakuna sehemu ya kununua chakula kwa wao. Lakini wenzetu wanalia na kulalamika kuwa eti hamna pa kununua chakula ilhali ni wazima wa afya, hawa jamaa wameregea sana ujue. yaani mwanamke aliejifunguwa ana nguvu kuliko mwanaume wa kikiristo analia njaa ya masaa 12! 😀Huyo jamaa yako,alikutana na vijana wa mjini,aliingizwa mjini,huwenda pia kala mkong'oto na hela katoa.Chezea vijana wa mjini.Hakuna sheria katika uislamu unaokataza asiye muislamu kula mchana mwezi wa Ramadhani,na vile vile wapo waislamu wenye dharura mbali mbali,wameruhusiwa kula mchana
1.Wagonjwa
2.Kina mama waliojifunguwa
3.Watoto
4.Wazee wasiojiweza
5.Wasafiri
6,Wanaonyonyesha wanawake
7.Wanawake walio kwenye siku zao.
imani yako inamuhusu nini asiye wa imani yako? Kweli elimu muhimu.Makafiri hawako.mbali na shetani, kwahiyo tunamlaani kafiri. Na kafiri anataka atumike na shetani awakere tu Waumini.
Ni jiji.Kumbe Zanzibar sio Tanzania
KabisaaHaka kakisiwa inabidi katawaliwe kijeshi kisha wawakamate hao viongozi wao wote wawatupe jela kwa kulea na kustawisha maasi ya kidini! Kamata wote 'sukuma ndani'!
eeeh namna hiyo.....tumelisikia, tutalifanyia kazi. Wazungu nao watakamatwa. Haya nenda kafanye kazi sasa !
Huwa ampendi wengine wale mkiwa mmefunga bnaa....tunaishi na nyie kwenye jamii tunaoana.
hawa uliowataja wote sijawahi kuwasikia wakilalamika kuwa hakuna sehemu ya kununua chakula kwa wao. Lakini wenzetu wanalia na kulalamika kuwa eti hamna pa kununua chakula ilhali ni wazima wa afya, hawa jamaa wameregea sana ujue. yaani mwanamke aliejifunguwa ana nguvu kuliko mwanaume wa kikiristo analia njaa ya masaa 12! 😀