Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Kabisa mkuu wanachofanya sio aki kabisa kuwakataza watu kula au kunywa kisa wao wamefunga ni dhambi kubwa mno ninachokijua kuwa kufunga hali ya kuwa na unakutana na changamoto au kuzishinda tamaa pamoja na chakula ndio unapata swahabu ya kweli lakini si ili wanalofanya ndugu zetu naona kama wanajishindisha njaa tu.
Hii ni dhambi kubwa sana ya kuwatesa wale wasiokuwa waislamu kwa kisingizio cha Ramadhan.
 
Unafanya kazi Zanzibar au ndio ilimradi tu uandike?

Nyuki chakula kinauzwa tena bila kujificha, na watu wanakaa habari hawana, iweje uende kanisani mjini? 😀, utoke mbweni uende kanisani mjini wakati Nyama choma ipo na Ntebe ipo? au wameacha siku izi? ukaazi wako unatia mashaka kwa kweli.
 
Kwahiyo dini inawaambia mkifunga amtakiwi kuona wengine wanakula?
Huyo jamaa yako,alikutana na vijana wa mjini,aliingizwa mjini,huwenda pia kala mkong'oto na hela katoa.Chezea vijana wa mjini.Hakuna sheria katika uislamu unaokataza asiye muislamu kula mchana mwezi wa Ramadhani,na vile vile wapo waislamu wenye dharura mbali mbali,wameruhusiwa kula mchana
1.Wagonjwa
2.Kina mama waliojifunguwa
3.Watoto
4.Wazee wasiojiweza
5.Wasafiri
6,Wanaonyonyesha wanawake
7.Wanawake walio kwenye siku zao.
 
Mungu lazima aweke utaratibu maalumu wa ibada,sio hawa wanaswali jumamosi hawa jumapili.Hawa wanaofunga kwaresma ,hawa hawafungi,hawa wanasema nguruwe haramu wale wanasema sio haramu.Hawa wanakubali Kuvyaa misalaba,wale hawakubali.
Wahuni tu wamejazana huko, wengi manabii na mitume wengine maaskofu wa kujipachika
 
Mungu wa vipi huyo,dini moja ,ibada tofauti,kila dhehebu liko tofauti na nwenzake.Na lina siku tofauti ya kufanya ibada kwa wiki.Wapo wa jumapili na wapo wa jumamosi.Wakati katika uislamu ibada zote ziko sawa,na siku ya wiki ya ibada wote ni ijumaa.Hakuna dhehebu la kiislamu,eanaotofaitiana na wengine kwenye ibada zote.
Kwenye uislamu nako Kuna tofauti acha uongo Kuna wapiga dufu waimbao kwa ngoma na manyanga na Kuna waislamu wasiofanya hivyo
 
Kabisa mkuu wanachofanya sio aki kabisa kuwakataza watu kula au kunywa kisa wao wamefunga ni dhambi kubwa mno ninachokijua kuwa kufunga hali ya kuwa na unakutana na changamoto au kuzishinda tamaa pamoja na chakula ndio unapata swahabu ya kweli lakini si ili wanalofanya ndugu zetu naona kama wanajishindisha njaa tu.
Huyu kakutana na watoto wa mjini,wamemuingiza kingiyaonyesha wamempa mkong'oto na hela wamemchuliya.Mjini shule.
 
Dunia ya Mungu vilivyomo vya mzungu.

Nimecheka sana! Kweli vyote vya duniani ni vya mzungu...yaani mswahili mwenzio unamminya mzungu unamwachia...ni Tanzania yetu hii hii! Waafrika bado tuna safari ndeefu sana.
 
Baadhi ya watu ni waajabu sana Mkuu. Ibada zao wanazozifanya wanataka kuingilia mpaka haki za msingi za binadamu wengine. Kule Saudi Arabia huo upuuzi wao wa kufunga hotel ili wasio waislamu wasile mchana hakuna na huko kule ndiyo kitovu cha uislamu. Sasa hawa walioletewa dini wanaongezea na yao yasiyo kichwa wala miguu ya kuminya haki za binadamu wengine. Utadhani kama vile wao watakubali haki zao za msingi ziminywe na wale wa dini nyingine.
Nivyema kila mtu akaheshimu imani ya mwenzake maana mihimili yetu ya kumfikia Muumba inawezakua ni tofauti hivyo sio vyema kumlazimisha mtu wa imani nyingine kupitia au kuamini imani yako....

Ustaarabu utumike; Pindi mtu anapokua kafunga hatakiwi kupitia mazingira ya matamanio, sio vizuri kula hadharani mbele ya watu wenye kufunga maana utawaingiza kwenye matamanio na hii sio juu ya Wakristo tu ata waislam wenyewe huko majumbani wasiofunga kwasababu mbali mbali huwa wanakula kwa kificho sana......

Busara na hekima vitumike; Si busara kumkataza mwenzio asile kabisa kisa wewe umefunga kwasababu umuhimu na maana ya huko kufunga unakujua wewe na yeye ana vitu vyake anaamini ambavyo wewe pia unaweza usiwe unaviamini.

Sioni shida mtu kukaa hotelini na kula chakula maana sio mazingira ya hatari kusema atatamanisha waliofunga
 
Huyo jamaa yako,alikutana na vijana wa mjini,aliingizwa mjini,huwenda pia kala mkong'oto na hela katoa.Chezea vijana wa mjini.Hakuna sheria katika uislamu unaokataza asiye muislamu kula mchana mwezi wa Ramadhani,na vile vile wapo waislamu wenye dharura mbali mbali,wameruhusiwa kula mchana
1.Wagonjwa
2.Kina mama waliojifunguwa
3.Watoto
4.Wazee wasiojiweza
5.Wasafiri
6,Wanaonyonyesha wanawake
7.Wanawake walio kwenye siku zao.
Huwa ampendi wengine wale mkiwa mmefunga bnaa....tunaishi na nyie kwenye jamii tunaoana.
 
Kupiga ngoma sio ibada,ibada ya waislamu ni kuswali,kufunga,kwenda hija,na ibada zote zinafanyika ki utaratibu maalumu.Huwezi kuta ndani ya msikiti wakati wa kuswali waislamu wanaopiga ngoma,ukaambiwa waislamu wanaswali.
Kwenye uislamu nako Kuna tofauti acha uongo Kuna wapiga dufu waimbao kwa ngoma na manyanga na Kuna waislamu wasiofanya hivyo
 
Haka kakisiwa inabidi katawaliwe kijeshi kisha wawakamate hao viongozi wao wote wawatupe jela kwa kulea na kustawisha maasi ya kidini na ugaidi! Kamata wote 'sukuma ndani'!
 
Huyo jamaa yako,alikutana na vijana wa mjini,aliingizwa mjini,huwenda pia kala mkong'oto na hela katoa.Chezea vijana wa mjini.Hakuna sheria katika uislamu unaokataza asiye muislamu kula mchana mwezi wa Ramadhani,na vile vile wapo waislamu wenye dharura mbali mbali,wameruhusiwa kula mchana
1.Wagonjwa
2.Kina mama waliojifunguwa
3.Watoto
4.Wazee wasiojiweza
5.Wasafiri
6,Wanaonyonyesha wanawake
7.Wanawake walio kwenye siku zao.
hawa uliowataja wote sijawahi kuwasikia wakilalamika kuwa hakuna sehemu ya kununua chakula kwa wao. Lakini wenzetu wanalia na kulalamika kuwa eti hamna pa kununua chakula ilhali ni wazima wa afya, hawa jamaa wameregea sana ujue. yaani mwanamke aliejifunguwa ana nguvu kuliko mwanaume wa kikiristo analia njaa ya masaa 12! 😀
 
Acha uongo,hao wazungu,aliowaona yeye wakila mahotelini sio wakristo wenzenu,mbona wanakula,na yeye kwa nini asiende hapo walipo wazungu akala.Huyu ni.muingo,amekwenda kula vichochoroni kusiko na usafi,kakutana na wajamja,wamemuingiza mjini,kwa kumpa mkong'oto.
Huwa ampendi wengine wale mkiwa mmefunga bnaa....tunaishi na nyie kwenye jamii tunaoana.
 
Umenena kweli tupu,bila kumumunya maneno.

Back
Top Bottom