Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Mara nyingi mtu hujikuta hautambui unachohitaji hasa ni nini. Tangu mwez mtukufu umeanza wengi mnakuja na malalamiko ambayo hayaeleweki hasa mnahitaji nini.
kwamba mnalalamika kwa sababu ngozi nyeupe wanaruhusiwa kula hadharani na ninyi hamruhusiwi? kwamba ikitokea na ngozi nyeupe wakakatazwa kula hadharani bas hapo hamtalalamika tena?
Wewe na wewe wale wale tu. Ndio maana Mvuvi. Embu elimika uone kama utakua mvuvi...

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
 
Kasome [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]View attachment 1109211
Mkuu hichi ulichoweka ni nini...nataka uniwekee gazeti linaloonesha mtu amehukumiwa na mahakama zanzbar kwa kufunja sheria za waislamu mfano kula mchana wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhani sio haya ma pdf unayoweka ambayo hayana maana yoyote
 
Duuuh.
Ukiangalia kiukweli wewe unayekula chakula ndio unakuwa unayemfungisha mfungo kwa kumnyima asikione chakula ili afunge.Sababu akikiona chakula udenda unamtoka anataka kula.Wewe mwenye chakula ndie Ramadhani mwenyewe kwa kutomwonyesha chakula ndio unamfanya afunge.Kwa hiyo Kama Mungu anatoa thawabu inabidi awape wale waliokataa kupika chakula hadharani au kula chakula hadharani kwani ndio Akina Ramadhani waliofanikisha mfungo Sio wale waliofunga.Wewe mheshimiwa Ramadhani kumsaidia huyo afunge usile mbele yake.Anakutegemea wewe ili afunge uwe mwislamu au kafiri tegemeo lake liko kwako.Wewe ndie ramadhani wake
 
Wakristo bwana!! Sasa hizi propaganda za uongo zinasaidia nini,??? Mbona sehemu za kula kwa wasio Waislamu ziko nyingi..
Ukenda Maisara sehemu moja inatwa CCM inapata chakula unachotaka..

Anyway, Zanzibar iko hivyo miaka nenda miaka rudi mbona Wakristo wazawa wa Zanzibar hawajalalamika!!!!?
Sio uongo na video zipo watu wakipigwa kisa kula mchana
 
Kuna uelewa mdogo sana kuhusu haya mambo ya kiiamani, wengi wetu ni kufuata mkumbo tu.
 
Ukiangalia kiukweli wewe unayekula chakula ndio unakuwa unayemfungisha mfungo kwa kumnyima asikione chakula ili afunge.Sababu akikiona chakula udenda unamtoka anataka kula.Wewe mwenye chakula ndie Ramadhani mwenyewe kwa kutomwonyesha chakula ndio unamfanya afunge.Kwa hiyo Kama Mungu anatoa thawabu inabidi awape wale waliokataa kupika chakula hadharani au kula chakula hadharani kwani ndio Akina Ramadhani waliofanikisha mfungo Sio wale waliofunga.Wewe mheshimiwa Ramadhani kumsaidia huyo afunge usile mbele yake.Anakutegemea wewe ili afunge uwe mwislamu au kafiri tegemeo lake liko kwako.Wewe ndie ramadhani wake
Ili ushinde majaribu lazima ujaribiwe.kama hutaki kujaribiwa basi hujui dini.
 
Mkuu hichi ulichoweka ni nini...nataka uniwekee gazeti linaloonesha mtu amehukumiwa na mahakama zanzbar kwa kufunja sheria za waislamu mfano kula mchana wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhani sio haya ma pdf unayoweka ambayo hayana maana yoyote
Bahati mbaya sina nakala yoyote ya hukumu
 
Zanzibar wana katiba yao na sheria zao.Zimetungwa na baraza la wawakilishi.
Mkuu sheria mama siku zote ni katiba ya jamuhuri ya muungano wa tanzania...na sheria za jamuhuri ya muungano wa tanzania ndo sheria zinazoiongoza tanzania si vingine achana na hizo by-laws....ndo mana nimekwambia kula mchana wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhani si kosa kisheria kama nikosa nipe mfano wa mtu aliyepelekwa mahakamani kwa kula mchana na uniambie alihukumiwa vipi
 
Hutaki kupitia mazingira ya matamanio? Wakristu tunafunga kila Leo ukiachana na mfungo ule wa pasaka ushasikia tunaomba watu wasile mbele yetu?
Waislam pia wanafunga kila leo achilia Ramadan zile wanaita Sunah kwani ulishasikia wanamkataza mtu kula mbele yao?
 
Kwahiyo hawataki kutamanishwa kula? Vipi kuhusu harufu ya vyakula? Watu wanapaswa kufunika masufuria ili yasitoe harufu?? Dini ya kishenzi sana hii! Kuna haja ya kufanya tathmini ya kuifutilia mbali!

Kuna bwana mdogo mmoja alikatwa panga la shingo saudi Arabia kwa sababu amesikiliza hip hop ya Rick Rose!!
Aisee
 
Waislam pia wanafunga kila leo achilia Ramadan zile wanaita Sunah kwani ulishasikia wanamkataza mtu kula mbele yao?
Kama wanafunga ni mmoja kwa mln na tena wale wanaojua nini maana ya kufunga.
 
Kijijini kwetu huko ibadi zinaongozwa hadi kinyakyusa na Mungu anajibu maombi kama mafuriko nakwambia.
Huyu ndiyo Mungu wa dunia, Mungu wa mataifa na Makabila yote.
Huyu mungu wa waislam anayejua kiarabu tu, ninamashaka nae kwakweli. Na watu walivyo apumbavu wanaamini ete kiarabu ndo lugha ya mbinguni. Waislam wote mjiandae kwenda mbingu ya Kilombero au mbuguni na sio Mbinguni/ Peponi.

Waarabu wamefanya kufuru kuliko watu wengine wowote Duniani. Leo wanawaaminisha eti wao ndio wacha Mungu kweli [emoji202] kama kusoma hamjui hata Picha hamuoni
 
Back
Top Bottom