Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Sisi ibada zinaendeshwa kwa lugha inayoeleweka kwenye eneo husika.Kwa hiyo akija mzungu hapo,na mnaendesha ibada kwa kinyakusa,hawezi kuhudhuria ibada hiyo,atabaki ametoa macho tu.
Na pia tofautisha ibada na kuomba Mungu,ibada unakuwa na utaratibu maalumu,Ambao dunia nzima waislamu wanafuata utaratibu huo,ni tofauti na kuomba kwa Mungu,unaomba kwa lugha yoyote.Kwa dini uliyoko wewe haina mfumo maalumu wa ibada,
1:Wapo wapo wanaolia makanisani
2:Wapo wanaopiga magita makanisani
3:Wapo wanaoimba kwa vinanda makanisani
4:Wapo wanaopiga makofi makanisani
5:Wapo wanaofunga macho na kupiga magoti ,makanisani
6:Wapo wanaopiga band,kama band za shule na matarubeta,makanisani
Kwa hiyo mko tofauti sana,dini moja ibada tofauti ,kila dhehebu lina biblia tofauti,haziingiliani.
Kuna wazee hawajui kiswahili kabisa hivyo ibada zinaendeshwa kwa lugha wanaoijua.
Akija mzungu pia kuna ibada itakayomfaa maana tunazo ibada zaidi ya moja . Na moja wapo itakuwa kwa lugha ya kiswahili.
Kwa maeneo ya mjini penye wageni wengi kuna ibada hadi ya kingereza kwa wale ambao hawajui kiswahili.
Haya Dini yenu inathamini wageni?