Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Huko nchi za arabuni,wafikiri kuna watu,wanene,tafuta picha uwaone,kuanzia wafalme mpaka mawaziri,juzi kama waziri wa Tamisemi wa Saudia,na kwenye TV,jaonekana umemuona hata kitambi hana wacha kuwa mnene.
QUOTE OF THE YEAR by Prof MOHAMED JANNABI, Daktari bingwa wa moyo Tanzania:
"Mambo makubwa yanayosababisha mishipa ya moyo kuziba ni pamoja na ulaji wa wanga,mafuta na sukari.Watu wengi wanadhani ni mafuta tu ndio yananenepesha.La!hasha,wanga ndio mbaya zaidi.Wengi wananenepeana kutokana na wanga.. Ndio maana utafiti uliofanywa unaonyesha watu walionenepeana wako zaidi nchi za kiarabu. Mwezi wa Ramadhani waislamu wenzangu huongezeka sana uzito. Hii ni kwa sababu ya kula vyakula na mahanjumati yenye wanga mwingi.Pia vyakula hivyo huliwa muda mbaya(ftari saa 1 jioni na daku kuanzia saa 6 usiku)ambapo mwili unakuwa hauna activities na hivyo metabolism huwa ni kwa kiasi cha chini sana.............. DIET ni sawa na SALA,maana yake unajiandalia huko mbeleni. Uchaguzi ni wako" Prof M. JANNABI, Clouds FM,25 April 2019