Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Teh teh, najua habari za Yesu hauwezi kuzisoma ukazielewa kwa sababu zinawaunguza.Huyo aliyebebwa juu juu na Iblisi?Akashindwa nguvu na shetani,na kubebwa na kufungishwa?Soma maandiko uone kama alifunga kwa hiyari yake,au iblisi ndio alimpeleka nyikani,na kumfungusha.
Yesu alifunga na baada ya kufunga kwa muda mrefu shetani akajua huyu ana njaa, sasa ngoja nikamjaribu amkufuru Mungu.
Lakini mwanaume YESU alisema mtu haishi kwa MKATE bali kwa neno.
Yesu angekuwa kama nyie afunge siku zote hizo , halafu leo atokee shetani na habari za mkate lazima Angemkufuru Mungu.