Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Huyo aliyebebwa juu juu na Iblisi?Akashindwa nguvu na shetani,na kubebwa na kufungishwa?Soma maandiko uone kama alifunga kwa hiyari yake,au iblisi ndio alimpeleka nyikani,na kumfungusha.
Teh teh, najua habari za Yesu hauwezi kuzisoma ukazielewa kwa sababu zinawaunguza.

Yesu alifunga na baada ya kufunga kwa muda mrefu shetani akajua huyu ana njaa, sasa ngoja nikamjaribu amkufuru Mungu.
Lakini mwanaume YESU alisema mtu haishi kwa MKATE bali kwa neno.

Yesu angekuwa kama nyie afunge siku zote hizo , halafu leo atokee shetani na habari za mkate lazima Angemkufuru Mungu.
 
Yesu mwenyewe aliposulubiwa ,alilia Eloi (Allah),Eloi(Allah),lama sabakhtan?Allah Allah,mbona umenitupa?Niokoe kwenye kikombe hiki,sivyo kama nitakavyo mimi,ila ni kwa mapenzi yako.Ikiwa Yesu alilimlia Eloi(Allah),wewe ni nani zaidi ya Yesu.Tafakari ,chukuwa hatua.
Kwa sababu umelaaniwa. Hauwezi kuwa Mkristo mpaka uneemishwe. Huko huko ndipo panapowafaa na mungu wenu mfu.
 
Watu wengine washamba sana sasa mtu anajilia kwa mamantilie wewe anakubughudhi nini? Kama wewe umefunga kwa mama ntilie unafuata nini
 
Hakuna aliyekasirika..nachotaka tusiingiliane..mnawashwawasha nini na maisha ya wasiokuwa wa dini yenu??nani kakwambia anataka kupikiwa...kuna mtu anaweza kubali kupikiwa na magaidi ya boko haram,alshabab na alkaida??? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa walia walia nini,kuleta uzi wa kula.Inaonyesha una uroho wa kula,huwezi kujizuia hata dakika moja kwa njaa,ungekuwa mwanamme,ungwezq kujizuia kutokula,unafanya watu humu jf,wakutilie wasiwasi,jinsia yako.
 
Yesu mwenyewe aliposulubiwa ,alilia Eloi (Allah),Eloi(Allah),lama sabakhtan?Allah Allah,mbona umenitupa?Niokoe kwenye kikombe hiki,sivyo kama nitakavyo mimi,ila ni kwa mapenzi yako.Ikiwa Yesu alilimlia Eloi(Allah),wewe ni nani zaidi ya Yesu.Tafakari ,chukuwa hatua.
Hayo ndiyo maandishi anayowadanganya huyo mungu mfu wenu ambaye alijizukia tuu. Nikikuuliza ushahidi hauna zaidi ya kutumia kitabu chenu ambacho kimekuja miaka mingi baada ya ukristo.
 
Ukristo raha sana mkuu toafauti na hiho dini ya kijinga. Wakristo unakuta kwenye familia wamefunga wawili wengine wote mnapika na kula na wala hakuna shida na huwezi kukuta waliofunga wakilalamika kwasababu wanajua hilo ni suala la imani ya mtu.

Na wakienda kwenye maombi au siku ya kufungulia mnaitwa wote mjumuike kwenye maombi.

Hii myenzetu haijawahi kufunga ila Inabadilisha tu muda wa kula basi! We mtu anaamka saa 11 alfajiri anapakia ugali wa maana alafu ikifika saa 12 jioni anakula tena[emoji23][emoji23][emoji23]

Ujinga mtupu
Tatizo huelewi uislam uislamu unasheria inayomsimamia mtu kutoka anapozaliwa hadi anakufa uislamu ni mfumo wa maisha uliokamilika tofauti na ukristo ambao hauna sheria bali ni mahusiano ya mtu na muumba wake kwa hiyo huwezi kufananisha hivyo vitu viwili ndio mana ukristo hauonyeshi muingikiano wa watu kukitokea sintofahamu wahukumiwe vipi bali ukristo unafuata sheria zilizotungwa na wanadamu wakati uislamu wanafuta sheria iliyoletwa na Mungu toka Tourati zaburi injili mpaka leo quran.hivyo huwezi kufananisha hivyo vitu viwili vipo tofauti kabisa
 
Sasa walia walia nini,kuleta uzi wa kula.Inaonyesha una uroho wa kula,huwezi kujizuia hata dakika moja kwa njaa,ungekuwa mwanamme,ungwezq kujizuia kutokula,unafanya watu humu jf,wakutilie wasiwasi,jinsia yako.
Mkuu mimi nikila wewe hayakuhusu baki na njaa zako....alafu umeanza matusi nakutahadharisha tu funga domo lako maana mda si mrefu kama umefunga utajikuta unafungua....
 
QUOTE OF THE YEAR by Prof MOHAMED JANNABI, Daktari bingwa wa moyo Tanzania:

"Mambo makubwa yanayosababisha mishipa ya moyo kuziba ni pamoja na ulaji wa wanga,mafuta na sukari.Watu wengi wanadhani ni mafuta tu ndio yananenepesha.La!hasha,wanga ndio mbaya zaidi.Wengi wananenepeana kutokana na wanga.. Ndio maana utafiti uliofanywa unaonyesha watu walionenepeana wako zaidi nchi za kiarabu. Mwezi wa Ramadhani waislamu wenzangu huongezeka sana uzito. Hii ni kwa sababu ya kula vyakula na mahanjumati yenye wanga mwingi.Pia vyakula hivyo huliwa muda mbaya(ftari saa 12 jioni na daku kuanzia saa 6 usiku)ambapo mwili unakuwa hauna activities na hivyo metabolism huwa ni kwa kiasi cha chini sana.............. DIET ni sawa na SALA,maana yake unajiandalia huko mbeleni. Uchaguzi ni wako" Prof M. JANNABI, Clouds FM,25 April 2019
 
Watu wengine washamba sana sasa mtu anajilia kwa mamantilie wewe anakubughudhi nini? Kama wewe umefunga kwa mama ntilie unafuata nini
Washamba ni nyinyi mnaoleta uzi wa kushindwa kujizuia kula.Ikiwa unashindwa kujizuia kula kwa masaa machache,utaweza kufanya kazi za nje ya mji,porini,maeneo yasiokuwa na migahawa wala mama lishe,kuweni wakakamavu,mnakuwa lege lege kwa kula ovyo ovyo kama kuku,kila wakati mbakula kula ovyo.Changamkeni,hii sio dunia ya kuwa lege lege,ukikosa kula mlo mmoja unalala miaka na kulia lia,kama hujakula miaka.
 
Kama wanawaachia wazungu wale ni shida hyo na kama kuna wasio waislam wanapika na kuuza hakuna shida mbona
 
Washamba ni nyinyi mnaoleta uzi wa kushindwa kujizuia kula.Ikiwa unashindwa kujizuia kula kwa masaa machache,utaweza kufanya kazi za nje ya mji,porini,maeneo yasiokuwa na migahawa wala mama lishe,kuweni wakakamavu,mnakuwa lege lege kwa kula ovyo ovyo kama kuku,kila wakati mbakula kula ovyo.Changamkeni,hii sio dunia ya kuwa lege lege,ukikosa kula mlo mmoja unalala miaka na kulia lia,kama hujakula miaka.
Kwa nini nijizuie kula? Yaani nijizuie kula kisa wewe umefunga? Mna shida sana ninyi
 
Hayo ndiyo maandishi anayowadanganya huyo mungu mfu wenu ambaye alijizukia tuu. Nikikuuliza ushahidi hauna zaidi ya kutumia kitabu chenu ambacho kimekuja miaka mingi baada ya ukristo.
Nimekushika pabaya,Yesu alilia kwa Eloi,ili amuokowe kwenye umauti wa msalabani,huyu Eloi ana nguvu zaidi kuliko Yesu,na ndio akaomba msaada kwake.Mtafute Eloi,umjuwe ni yupi,na kwa,nini Yesu amuombe msaada wa kumuokoa kwenye kifo cha msalabani.
 
Ulikuwa ni unabii ambao lazima utimie. Au haujui kwamba MWANAUME alitabiriwa kufa na kufufuka?
Najua hauwezi kuelewa maana mungu wenu aliibuka tuu na hakuwahi kutabiriwa popote ujio wake.
Uzushi au unabii ! Mungu anakufaje kufaje !? Sasa wayahudi mbona wanmuita mwanaharamu huyo mwanaume !?
 
QUOTE OF THE YEAR by Prof MOHAMED JANNABI, Daktari bingwa wa moyo Tanzania:

"Mambo makubwa yanayosababisha mishipa ya moyo kuziba ni pamoja na ulaji wa wanga,mafuta na sukari.Watu wengi wanadhani ni mafuta tu ndio yananenepesha.La!hasha,wanga ndio mbaya zaidi.Wengi wananenepeana kutokana na wanga.. Ndio maana utafiti uliofanywa unaonyesha watu walionenepeana wako zaidi nchi za kiarabu. Mwezi wa Ramadhani waislamu wenzangu huongezeka sana uzito. Hii ni kwa sababu ya kula vyakula na mahanjumati yenye wanga mwingi.Pia vyakula hivyo huliwa muda mbaya(ftari saa 1 jioni na daku kuanzia saa 6 usiku)ambapo mwili unakuwa hauna activities na hivyo metabolism huwa ni kwa kiasi cha chini sana.............. DIET ni sawa na SALA,maana yake unajiandalia huko mbeleni. Uchaguzi ni wako" Prof M. JANNABI, Clouds FM,25 April 2019
Wajanja kama sisi tunapiga maji Mengi ftari matunda na supu na wanga kwa mbali sana.hapo tukila jioni kule tena mpaka saa 10 alfajiri.

Ila kuna wadau aisee jioni ale,usiku tena saa mbili ale,saa nane alee daaah ni hatari kwa kweliii
 
Hapa ndipo huwa nashindwa kuuelewa Uislam,hii mijamaa ni minafiki kupita maelezo.

Kufunga kwako kuna nihusu nini mm nisie funga?mtu mwenye imani thabiti hawezi bugudhiwa na chakula alacho asiyefunga.

Ina maana haya majamaa yanakuwa na njaa muda wote kiasi kwamba yakiona mwenzao anakula mimate inawajaa.Hovyo kabisa,afu eti Uislamu ni dini ya haki! sijui haki gani hiyo?malaka kabisa hawa.
Kutokufunga kwako ndio kukufanye huna nidhamu unakula kula hovyo kama mbwa koko ili tu ukere watu walio makini kwenye kufanya ibada !
 
Back
Top Bottom