Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Mazingira ya maisha hapa zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa ramadan kwa wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida, mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa,ukiwa mwanakwerekwe napo inabidi uende pale kanisani,ukiwa maeneo ya mbweni itabidi uende kanisani ndio kuna kimgahawa hapo utapata chakula,ila kwa siku ya leo kuna kitu kimenikera sana baada ya kukosa chakula kanisani ikabidi nipelekwe sehemu ya mafichoni kunapouzwa chakula,nimefika na chakula nimepata ila mazingira ya kukaa pamoja ulaji sio mzuri kwa sababu unakula kwa hofu kwamba muda wowote mnaweza kamatwa.na kama unafamilia yako huku basi kama mkeo anataka kupika ni marufuku kupikia nje inatakiwa kila kitu amalize humo humo ndani na ukikamatwa unapelekwa jela mpaka mwezi uishe ndio unaachiwa,lakini hivi vitu vinafanyika kwa ngozi nyeusi kwa nyeusi,ngozi nyeupe aiguswi na hii zihaka mzungu wanakula na kunywa muda wowote na hotel/ mabaa yao yako wazi muda wote,ombi langu kwa waislamu ni kwamba waache tabia za unafiki wa kubagua maana kwa mtindo huu hata thwawabu sidhani kama mtapata.
Vumilieni tu ndugu zetu Wakristo Zenj Bado haijapata uhuru ni koloni la Tanzania
 
Kwanza mkuuu nikanushe uyasemayo sio kweli unaweza kupika kwako na ukala kwako wala hakuna mtu wa kukuzuiya unaweza kupika nje na ukajiingiza chumbani mwako ukala.

Ila naomba ifahamike kua hata wazungu walipokua wakiingia zanzibar hapo zamani walikua wakipewa kanga na kupigwa marufuku kutembea mtaani na vichupi vyao.

Pia zanzibar 99.9% ni waislamu bila shaka wenhi wape u atakiwa kuheshimu tuu na pia wao wakija Tanganyika ambako kuna 90% ya wakristo basi hawambubuzi mtu

Zanzibar ni nchi yenye malaka kamili ya kiutawala.
 
Kumbe ulikuwa unalenga kutaja msikiti,we ulizungumzia chakula,na ulisema huko umeenda tu,sasa mahali siyo kwenu unataka kuwabadilishia maisha wewe kama nani?acha ushamba wewe,maisha ya kibandani kwako unataka yakawe ya wenye mji wao?
Mimi nambadilishia maisha nani...kwani mi nimetaka mtu ale mchana..mimi kula mchana wewe yanakuhusu nini..mimi kula zangu kitimoto wewe yanakuhusu nini???mimi sio wa dini yako nikila mchana wewe kinakuwasha nini...kumbe sikuhizi mnajimilikisha miji kuwa ndo wenye mji...mbona mlishindwa kuanzisha mahakama za kadhi kama nyie ndo wenye miji 😂 😂 😂
 
Ukristo raha sana mkuu toafauti na hiho dini ya kijinga. Wakristo unakuta kwenye familia wamefunga wawili wengine wote mnapika na kula na wala hakuna shida na huwezi kukuta waliofunga wakilalamika kwasababu wanajua hilo ni suala la imani ya mtu.

Na wakienda kwenye maombi au siku ya kufungulia mnaitwa wote mjumuike kwenye maombi.

Hii myenzetu haijawahi kufunga ila Inabadilisha tu muda wa kula basi! We mtu anaamka saa 11 alfajiri anapakia ugali wa maana alafu ikifika saa 12 jioni anakula tena[emoji23][emoji23][emoji23]

Ujinga mtupu
Hiyo ndio inavyoonyesha kama huwelewi nini maana ya dini.Ni sawa na kusema ofisini kwetu raha,wengine wanafanyakazi wengine,tumekaa tu,hatufanyikazi.Katika uislamu zipo sababu maalumu za mtu kutokufunga Ramadhani ,kama
Mgonjwa
Mtoto mdogo
Mnyonyeshaji
Msafiri
Mwanamke akiwa katika siku zake
Mzee asiyejiweza
Mwanamke mzazi
Hawa wanaweza kupika na kula,wakati wenzao wamefunga.Uislamu una utaratibu wake.
Halafu katika ukristo mmegawanyika,wanaofunga ni wakatoliki tu,wakristo wa madhehebu mengine hawaikubali hiyo kweresma,wakati katika uislamu ni waislamu wote wanafunga katika kipindi hiki cha Ramadhani,hakuna muislamu wa dhehebu lolote anayepinga au kutokufunga,bila sababu zilizoainishwa.
 
Utaratibu wa kufunga sie tumepangiwa na Mola wetu, na si kufuata maoni kama yako.
Uhuni wenu ndio maana nyie m'meshindwa kufunga. Eti unaacha kula nyama uanakula mchicha kisha unadai umefunga, wenyewe mnaita kwaresima ! Upuuzi mtupu.
Mwanaume alifunga siku 40 bila kula chochote. Huyo mwanaume ndiyo karuhusu tufunge kwa namna yoyote tunayoitaka. Kadri roho anavyokuongoza.

Wakristo sisi hatuishi kwa sheria tuu, maana kila Mara tunapokea maagizo mapya kutoka kwa roho mtakatifu.

Kumbuka sisi ni wafuasi wa mwanaume aliyekufa, akashuka kuzimu, akamtandika shetani hadi akachakaaa halafu akarudi duniani. Akatupa maagizo kisha akapaa mbinguni.

Tofauti ni huyo mfu wenu, pengine angefufuka kwa mateso anayoyapata huko kuzimu angewaambia batizweni mumfuate MWANAUME YESU.
 
Mimi nambadilishia maisha nani...kwani mi nimetaka mtu ale mchana..mimi kula mchana wewe yanakuhusu nini..mimi kula zangu kitimoto wewe yanakuhusu nini???mimi sio wa dini yako nikila mchana wewe kinakuwasha nini...kumbe sikuhizi mnajimilikisha miji kuwa ndo wenye mji...mbona mlishindwa kuanzisha mahakama za kadhi kama nyie ndo wenye miji [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wenyewe hawataki kupika mchana kulisha makafiri kama wewe,sasa unakasirika nini?peleka mkeo au dada yako akakupikie au apikie watu wengine,wenye mji wao HAWATAKI kupika kulisha makobe.
 
Hiyo kwerisma,mnayofunga kwa kugawanyika,madhehebu mengine yanafunga,mengine hawaitambui hiyo funga ya kwaresma wala Pasaka.Wakati katika uislamu,ni waislamu wa madhehebu yote wanafunga na wanatambuwa uwepo wa Eid.
Sawa, ila hatushindi njaa maana Mzungu tunamuomba na anatupatia chakula.

Mwarabu wenu n fukara ndiyo maana mnashinda njaa
 
Eti mungu wenu kafa msalabani, kisha anajinsia ya kiume. Sasa mungu anakufaje kufaje kama watu wake aliyewaumba !?
Ulikuwa ni unabii ambao lazima utimie. Au haujui kwamba MWANAUME alitabiriwa kufa na kufufuka?
Najua hauwezi kuelewa maana mungu wenu aliibuka tuu na hakuwahi kutabiriwa popote ujio wake.
 
Hapa ndipo huwa nashindwa kuuelewa Uislam,hii mijamaa ni minafiki kupita maelezo.

Kufunga kwako kuna nihusu nini mm nisie funga?mtu mwenye imani thabiti hawezi bugudhiwa na chakula alacho asiyefunga.

Ina maana haya majamaa yanakuwa na njaa muda wote kiasi kwamba yakiona mwenzao anakula mimate inawajaa.Hovyo kabisa,afu eti Uislamu ni dini ya haki! sijui haki gani hiyo?malaka kabisa hawa.
 
Mwanaume alifunga siku 40 bila kula chochote. Huyo mwanaume ndiyo karuhusu tufunge kwa namna yoyote tunayoitaka. Kadri roho anavyokuongoza.

Wakristo sisi hatuishi kwa sheria tuu, maana kila Mara tunapokea maagizo mapya kutoka kwa roho mtakatifu.

Kumbuka sisi ni wafuasi wa mwanaume aliyekufa, akashuka kuzimu, akamtandika shetani hadi akachakaaa halafu akarudi duniani. Akatupa maagizo kisha akapaa mbinguni.

Tofauti ni huyo mfu wenu, pengine angefufuka kwa mateso anayoyapata huko kuzimu angewaambia batizweni mumfuate MWANAUME YESU.
Huyo aliyebebwa juu juu na Iblisi?Akashindwa nguvu na shetani,na kubebwa na kufungishwa?Soma maandiko uone kama alifunga kwa hiyari yake,au iblisi ndio alimpeleka nyikani,na kumfungusha.
 
Hahaahaaaaaaa...
Kwa akili kama hizi za kijahili Waislamu inatulazimu tumshukuru sana ALLAH kwa kutupa rehema ya Uislamu.
Kwa sababu umelaaniwa. Hauwezi kuwa Mkristo mpaka uneemishwe. Huko huko ndipo panapowafaa na mungu wenu mfu.
 
Mwanaume alifunga siku 40 bila kula chochote. Huyo mwanaume ndiyo karuhusu tufunge kwa namna yoyote tunayoitaka. Kadri roho anavyokuongoza.

Wakristo sisi hatuishi kwa sheria tuu, maana kila Mara tunapokea maagizo mapya kutoka kwa roho mtakatifu.

Kumbuka sisi ni wafuasi wa mwanaume aliyekufa, akashuka kuzimu, akamtandika shetani hadi akachakaaa halafu akarudi duniani. Akatupa maagizo kisha akapaa mbinguni.

Tofauti ni huyo mfu wenu, pengine angefufuka kwa mateso anayoyapata huko kuzimu angewaambia batizweni mumfuate MWANAUME YESU.
Mwanaume wenu alifunga siku 40,hawa vijanume vyenu mbona vinalalamika kufunga saa 12 tu,vinataka kula,haviwezi kuvumilia?au navyo ni vijike.
 
Umeandika uongo mtupu,nani kama kwako kukuomba chakula ,kwasababu kafunga.
Hapa ndipo huwa nashindwa kuuelewa Uislam,hii mijamaa ni minafiki kupita maelezo.

Kufunga kwako kuna nihusu nini mm nisie funga?mtu mwenye imani thabiti hawezi bugudhiwa na chakula alacho asiyefunga.

Ina maana haya majamaa yanakuwa na njaa muda wote kiasi kwamba yakiona mwenzao anakula mimate inawajaa.Hovyo kabisa,afu eti Uislamu ni dini ya haki! sijui haki gani hiyo?malaka kabisa hawa.
 
Wenyewe hawataki kupika mchana kulisha makafiri kama wewe,sasa unakasirika nini?peleka mkeo au dada yako akakupikie au apikie watu wengine,wenye mji wao HAWATAKI kupika kulisha makobe.
Hakuna aliyekasirika..nachotaka tusiingiliane..mnawashwawasha nini na maisha ya wasiokuwa wa dini yenu??nani kakwambia anataka kupikiwa...kuna mtu anaweza kubali kupikiwa na magaidi ya boko haram,alshabab na alkaida??? 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Hapo hakuea anayefuega hapo. Wanashinda njaa tuu. Huo ni unafki mkubwa
 
Back
Top Bottom