Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Na nyie mkaletewa mzungu kawambwa mtini mkaambiwa ni mungu !?
Sawa, ila hatushindi njaa maana Mzungu tunamuomba na anatupatia chakula.
Mwarabu wenu n fukara ndiyo maana mnashinda njaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nyie mkaletewa mzungu kawambwa mtini mkaambiwa ni mungu !?
Vumilieni tu ndugu zetu Wakristo Zenj Bado haijapata uhuru ni koloni la TanzaniaMazingira ya maisha hapa zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa ramadan kwa wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida, mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa,ukiwa mwanakwerekwe napo inabidi uende pale kanisani,ukiwa maeneo ya mbweni itabidi uende kanisani ndio kuna kimgahawa hapo utapata chakula,ila kwa siku ya leo kuna kitu kimenikera sana baada ya kukosa chakula kanisani ikabidi nipelekwe sehemu ya mafichoni kunapouzwa chakula,nimefika na chakula nimepata ila mazingira ya kukaa pamoja ulaji sio mzuri kwa sababu unakula kwa hofu kwamba muda wowote mnaweza kamatwa.na kama unafamilia yako huku basi kama mkeo anataka kupika ni marufuku kupikia nje inatakiwa kila kitu amalize humo humo ndani na ukikamatwa unapelekwa jela mpaka mwezi uishe ndio unaachiwa,lakini hivi vitu vinafanyika kwa ngozi nyeusi kwa nyeusi,ngozi nyeupe aiguswi na hii zihaka mzungu wanakula na kunywa muda wowote na hotel/ mabaa yao yako wazi muda wote,ombi langu kwa waislamu ni kwamba waache tabia za unafiki wa kubagua maana kwa mtindo huu hata thwawabu sidhani kama mtapata.
Kwanza mkuuu nikanushe uyasemayo sio kweli unaweza kupika kwako na ukala kwako wala hakuna mtu wa kukuzuiya unaweza kupika nje na ukajiingiza chumbani mwako ukala.Mazingira ya maisha hapa zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa ramadan kwa wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida, mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa,ukiwa mwanakwerekwe napo inabidi uende pale kanisani,ukiwa maeneo ya mbweni itabidi uende kanisani ndio kuna kimgahawa hapo utapata chakula,ila kwa siku ya leo kuna kitu kimenikera sana baada ya kukosa chakula kanisani ikabidi nipelekwe sehemu ya mafichoni kunapouzwa chakula,nimefika na chakula nimepata ila mazingira ya kukaa pamoja ulaji sio mzuri kwa sababu unakula kwa hofu kwamba muda wowote mnaweza kamatwa.na kama unafamilia yako huku basi kama mkeo anataka kupika ni marufuku kupikia nje inatakiwa kila kitu amalize humo humo ndani na ukikamatwa unapelekwa jela mpaka mwezi uishe ndio unaachiwa,lakini hivi vitu vinafanyika kwa ngozi nyeusi kwa nyeusi,ngozi nyeupe aiguswi na hii zihaka mzungu wanakula na kunywa muda wowote na hotel/ mabaa yao yako wazi muda wote,ombi langu kwa waislamu ni kwamba waache tabia za unafiki wa kubagua maana kwa mtindo huu hata thwawabu sidhani kama mtapata.
Mimi nambadilishia maisha nani...kwani mi nimetaka mtu ale mchana..mimi kula mchana wewe yanakuhusu nini..mimi kula zangu kitimoto wewe yanakuhusu nini???mimi sio wa dini yako nikila mchana wewe kinakuwasha nini...kumbe sikuhizi mnajimilikisha miji kuwa ndo wenye mji...mbona mlishindwa kuanzisha mahakama za kadhi kama nyie ndo wenye miji 😂 😂 😂Kumbe ulikuwa unalenga kutaja msikiti,we ulizungumzia chakula,na ulisema huko umeenda tu,sasa mahali siyo kwenu unataka kuwabadilishia maisha wewe kama nani?acha ushamba wewe,maisha ya kibandani kwako unataka yakawe ya wenye mji wao?
Hiyo ndio inavyoonyesha kama huwelewi nini maana ya dini.Ni sawa na kusema ofisini kwetu raha,wengine wanafanyakazi wengine,tumekaa tu,hatufanyikazi.Katika uislamu zipo sababu maalumu za mtu kutokufunga Ramadhani ,kamaUkristo raha sana mkuu toafauti na hiho dini ya kijinga. Wakristo unakuta kwenye familia wamefunga wawili wengine wote mnapika na kula na wala hakuna shida na huwezi kukuta waliofunga wakilalamika kwasababu wanajua hilo ni suala la imani ya mtu.
Na wakienda kwenye maombi au siku ya kufungulia mnaitwa wote mjumuike kwenye maombi.
Hii myenzetu haijawahi kufunga ila Inabadilisha tu muda wa kula basi! We mtu anaamka saa 11 alfajiri anapakia ugali wa maana alafu ikifika saa 12 jioni anakula tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Ujinga mtupu
Mwanaume alifunga siku 40 bila kula chochote. Huyo mwanaume ndiyo karuhusu tufunge kwa namna yoyote tunayoitaka. Kadri roho anavyokuongoza.Utaratibu wa kufunga sie tumepangiwa na Mola wetu, na si kufuata maoni kama yako.
Uhuni wenu ndio maana nyie m'meshindwa kufunga. Eti unaacha kula nyama uanakula mchicha kisha unadai umefunga, wenyewe mnaita kwaresima ! Upuuzi mtupu.
Wenyewe hawataki kupika mchana kulisha makafiri kama wewe,sasa unakasirika nini?peleka mkeo au dada yako akakupikie au apikie watu wengine,wenye mji wao HAWATAKI kupika kulisha makobe.Mimi nambadilishia maisha nani...kwani mi nimetaka mtu ale mchana..mimi kula mchana wewe yanakuhusu nini..mimi kula zangu kitimoto wewe yanakuhusu nini???mimi sio wa dini yako nikila mchana wewe kinakuwasha nini...kumbe sikuhizi mnajimilikisha miji kuwa ndo wenye mji...mbona mlishindwa kuanzisha mahakama za kadhi kama nyie ndo wenye miji [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa, ila hatushindi njaa maana Mzungu tunamuomba na anatupatia chakula.
Mwarabu wenu n fukara ndiyo maana mnashinda njaa
Ulikuwa ni unabii ambao lazima utimie. Au haujui kwamba MWANAUME alitabiriwa kufa na kufufuka?Eti mungu wenu kafa msalabani, kisha anajinsia ya kiume. Sasa mungu anakufaje kufaje kama watu wake aliyewaumba !?
Huyo aliyebebwa juu juu na Iblisi?Akashindwa nguvu na shetani,na kubebwa na kufungishwa?Soma maandiko uone kama alifunga kwa hiyari yake,au iblisi ndio alimpeleka nyikani,na kumfungusha.Mwanaume alifunga siku 40 bila kula chochote. Huyo mwanaume ndiyo karuhusu tufunge kwa namna yoyote tunayoitaka. Kadri roho anavyokuongoza.
Wakristo sisi hatuishi kwa sheria tuu, maana kila Mara tunapokea maagizo mapya kutoka kwa roho mtakatifu.
Kumbuka sisi ni wafuasi wa mwanaume aliyekufa, akashuka kuzimu, akamtandika shetani hadi akachakaaa halafu akarudi duniani. Akatupa maagizo kisha akapaa mbinguni.
Tofauti ni huyo mfu wenu, pengine angefufuka kwa mateso anayoyapata huko kuzimu angewaambia batizweni mumfuate MWANAUME YESU.
Kwa sababu umelaaniwa. Hauwezi kuwa Mkristo mpaka uneemishwe. Huko huko ndipo panapowafaa na mungu wenu mfu.Hahaahaaaaaaa...
Kwa akili kama hizi za kijahili Waislamu inatulazimu tumshukuru sana ALLAH kwa kutupa rehema ya Uislamu.
Mwanaume wenu alifunga siku 40,hawa vijanume vyenu mbona vinalalamika kufunga saa 12 tu,vinataka kula,haviwezi kuvumilia?au navyo ni vijike.Mwanaume alifunga siku 40 bila kula chochote. Huyo mwanaume ndiyo karuhusu tufunge kwa namna yoyote tunayoitaka. Kadri roho anavyokuongoza.
Wakristo sisi hatuishi kwa sheria tuu, maana kila Mara tunapokea maagizo mapya kutoka kwa roho mtakatifu.
Kumbuka sisi ni wafuasi wa mwanaume aliyekufa, akashuka kuzimu, akamtandika shetani hadi akachakaaa halafu akarudi duniani. Akatupa maagizo kisha akapaa mbinguni.
Tofauti ni huyo mfu wenu, pengine angefufuka kwa mateso anayoyapata huko kuzimu angewaambia batizweni mumfuate MWANAUME YESU.
Poleni sana
Ila hawa watu wabaguzi jamani
Hapa ndipo huwa nashindwa kuuelewa Uislam,hii mijamaa ni minafiki kupita maelezo.
Kufunga kwako kuna nihusu nini mm nisie funga?mtu mwenye imani thabiti hawezi bugudhiwa na chakula alacho asiyefunga.
Ina maana haya majamaa yanakuwa na njaa muda wote kiasi kwamba yakiona mwenzao anakula mimate inawajaa.Hovyo kabisa,afu eti Uislamu ni dini ya haki! sijui haki gani hiyo?malaka kabisa hawa.
Hahaaahaa...Kwa sababu umelaaniwa. Hauwezi kuwa Mkristo mpaka uneemishwe. Huko huko ndipo panapowafaa na mungu wenu mfu.
Hakuna aliyekasirika..nachotaka tusiingiliane..mnawashwawasha nini na maisha ya wasiokuwa wa dini yenu??nani kakwambia anataka kupikiwa...kuna mtu anaweza kubali kupikiwa na magaidi ya boko haram,alshabab na alkaida??? 😂 😂 😂 😂 😂 😂Wenyewe hawataki kupika mchana kulisha makafiri kama wewe,sasa unakasirika nini?peleka mkeo au dada yako akakupikie au apikie watu wengine,wenye mji wao HAWATAKI kupika kulisha makobe.