Hawa sindo nyie sema tu APA mmekuja na gia nyingineWewe kafiri.mwili mzima, angalia makafiri wenzio wana number za simu za mungu wenu
View attachment 1109100
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa sindo nyie sema tu APA mmekuja na gia nyingineWewe kafiri.mwili mzima, angalia makafiri wenzio wana number za simu za mungu wenu
View attachment 1109100
Rudi kwenu hadi mfungo uishe au kale hayo mahoteli yakiyoruhusiwa ya wataliiMazingira ya maisha hapa zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa ramadan kwa wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida, mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa,ukiwa mwanakwerekwe napo inabidi uende pale kanisani,ukiwa maeneo ya mbweni itabidi uende kanisani ndio kuna kimgahawa hapo utapata chakula,ila kwa siku ya leo kuna kitu kimenikera sana baada ya kukosa chakula kanisani ikabidi nipelekwe sehemu ya mafichoni kunapouzwa chakula,nimefika na chakula nimepata ila mazingira ya kukaa pamoja ulaji sio mzuri kwa sababu unakula kwa hofu kwamba muda wowote mnaweza kamatwa.na kama unafamilia yako huku basi kama mkeo anataka kupika ni marufuku kupikia nje inatakiwa kila kitu amalize humo humo ndani na ukikamatwa unapelekwa jela mpaka mwezi uishe ndio unaachiwa,lakini hivi vitu vinafanyika kwa ngozi nyeusi kwa nyeusi,ngozi nyeupe aiguswi na hii zihaka mzungu wanakula na kunywa muda wowote na hotel/ mabaa yao yako wazi muda wote,ombi langu kwa waislamu ni kwamba waache tabia za unafiki wa kubagua maana kwa mtindo huu hata thwawabu sidhani kama mtapata.
Kwahiyo unasema kwamba mtoa mada anapotosha?Huyu hajakatazwa na mtu ,tumia akili,humu jf,kuna wanaojifanya ni wakristo,wanaleta nyuzi za kuwagombanisha waislam na wakristo,na wapo pia wanaojifanya waislamu,kuwagombanisha wakristo na waislamu,wanatumia ID tofauti.
Uislamu umetoa ruhusa ya kutokufunga kwa waislamu
Wagonjwa
Wazazi waliojifunguwa karibuni
Watoto wadogo
Wazee sana,wasiojiweza
Wanawake wanaonyonyesha
Wasafiri
Kwa hiyo Zanzibar nzima,haina waislamu wenye dharura za hapo juu?Ambao hawafungi,ila ni yeye asiye na dini mmoja,anayejifanya ni mkristo.
Sisi ni hawa hapa ! Hatuna mzaha kwenye suala la kunyenyekea !Hawa sindo nyie sema tu APA mmekuja na gia nyingine
Tatizo lako nini? Unataka kufakamia mbele ya watu waliofunga? Si ukale na mkweo chumbani kwenu.
Waislam hawafungi wanabadilishaga Muda kula tu badala ya kula mchana wanakula usiku.
Unafuturu saa 1 jioni (sawa na breakfast)
Unakula daku saa 4 usiku (Sawa na Lunch)
Unakula daku saa 10 alfajiri (hii chakula cha usiku) [emoji16][emoji16] hapa umefunga nini? Kama sio kuibiana.
Ukifunga ndani ya saa 24 kula mara moja tu, hio ndio kujiweka ndani ya nadhiri. Ila hii yakushindilia chakula masaa mawili kabla ya wafanyakazi kunywa breakfast waende kazini unasema umefunga kumbe umekula alfajiri ni mbwembwe
Wale dhahiri hadharani hali wakijua wenzao wako kwenye ibada ya kufunga ili iweje ?!Kwahiyo unasema kwamba mtoa mada anapotosha?
Watu wana uhuru wa kula?
Au wanatakiwa wale kwa kujificha.?
Hakuna kufunga bali kuahirisha muda wa kula, usiku wanashindilia hatari, ndio maana hata bei za vyakula hupanda.wANAJIITA WAMEFUNGA ILA daku WANALIAMKIA SAA 10 usiku...Funga yao ni ya Kunywa maji tu tena kwa masaa 12 ila kazi kutesa wengine.
Huyu sio mkristo,ni jitu lisilokuwa na dini,mara nyingi hawa wanatumia ID tofauti,mara anakuja na ID ya kukashifu wakristo anajifanya muislamu,mara anakuja na ID anajifanya mkristo anakashifu uislamu.Watu kama hawa ni wa kuwaogopa kama Ebola.Mazingira ya maisha hapa zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa ramadan kwa wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida, mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa,ukiwa mwanakwerekwe napo inabidi uende pale kanisani,ukiwa maeneo ya mbweni itabidi uende kanisani ndio kuna kimgahawa hapo utapata chakula,ila kwa siku ya leo kuna kitu kimenikera sana baada ya kukosa chakula kanisani ikabidi nipelekwe sehemu ya mafichoni kunapouzwa chakula,nimefika na chakula nimepata ila mazingira ya kukaa pamoja ulaji sio mzuri kwa sababu unakula kwa hofu kwamba muda wowote mnaweza kamatwa.na kama unafamilia yako huku basi kama mkeo anataka kupika ni marufuku kupikia nje inatakiwa kila kitu amalize humo humo ndani na ukikamatwa unapelekwa jela mpaka mwezi uishe ndio unaachiwa,lakini hivi vitu vinafanyika kwa ngozi nyeusi kwa nyeusi,ngozi nyeupe aiguswi na hii zihaka mzungu wanakula na kunywa muda wowote na hotel/ mabaa yao yako wazi muda wote,ombi langu kwa waislamu ni kwamba waache tabia za unafiki wa kubagua maana kwa mtindo huu hata thwawabu sidhani kama mtapata.
Hatufungi(Waislam) kwa kufuata maono yako bali tunafunga kwa namna ambavyo tumepangiwa na MUNGU wetu.Nayo ni kuanzia jua kuchomoza mpaka linapozama.Waislam hawafungi wanabadilishaga Muda kula tu badala ya kula mchana wanakula usiku.
Unafuturu saa 1 jioni (sawa na breakfast)
Unakula daku saa 4 usiku (Sawa na Lunch)
Unakula daku saa 10 alfajiri (hii chakula cha usiku) [emoji16][emoji16] hapa umefunga nini? Kama sio kuibiana.
Ukifunga ndani ya saa 24 kula mara moja tu, hio ndio kujiweka ndani ya nadhiri. Ila hii yakushindilia chakula masaa mawili kabla ya wafanyakazi kunywa breakfast waende kazini unasema umefunga kumbe umekula alfajiri ni mbwembwe
Huyu sio mkristo,hawa ni watu wasio na dini,wanatumia ID tofauti kuwagombanisha waislamu na wakristo.Funga ya Ramadhani haikuwaza leo wala jana, duniani,yeye kaikuta na ataiwacha.Hiyo Zanzibar nzima iwe ni yeye tu ndio hakufunga,wakati wapo waislamu wanaruhusiwa kutokufunga kamaWale dhahiri hadharani hali wakijua wenzao wako kwenye ibada ya kufunga ili iweje ?!
Hii mizaha yenu ndio imepelekea hadi kumuachia mungu wenu awambwe msalabani na wahuni !
Kwani ukifunga nikila mbele yako unatamani au?Wale dhahiri hadharani hali wakijua wenzao wako kwenye ibada ya kufunga ili iweje ?!
Hii mizaha yenu ndio imepelekea hadi kumuachia mungu wenu awambwe msalabani na wahuni !
Huu ni uongo uliokithiri kwani hao waislamu hawapiki futari hawawapikii wangonjwa na watoto wao wanachopinga ni kula holela mitaani na kuuza vyakula holela mitaani ila kwako nyumbani unaweza kujipikia chochote ila sio ukapike barazani barabarani ambayo kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya hivyo . Tuheshimu maamuzi na mifumo ya maisha ya wenzetu nikama vile mbiga kuachia nguruwe wazurure mitaani ni rukhsa japo inawakera waislamu wachache wahamiaji waliokuwepo paleUkipikia jiko la kuni watakuja mtaa wote kwako hao jamaa ni matatizo
As usually hotel kubwa bei za vyakula huwa kubwa mno kiasi siyo kila mtu ana-afford kunywa chai ya 6K na mchana sahani ya ugali 9K ndo mana mdau akasema wasiosumbuliwa na weupe sababu wanaingia hizi hotel za gharama kubwa.Na hizo hotel kubwa ukienda kula ngozi nyeusi bado unasumbuliwa? ama ni huko mtaani tu?
Huyo jamaa ni mjinga na mweny chuki ya uislam na wazanzibar kwa ujumla, anaumia, umekuja kutoka kwenu uko unataka utupangie taratibu? Mbona wenzake wanakuja na hawalalamiki na wanachukulia ni hali ya kawaida?Kila sehemu kuna mila, taratibu, desturi, tamaduni, silka zake. Zanzibar ilitawaliwa na waarabu na kwa asilimia 99 ya wazanzibari ni waislam. Kama sikosei walitaka kujiunga na OIC miaka ya nyuma huko kitu ambacho kingeitambulisha Zanzibar kama taifa la Kiislam. Muungano wa Zanzibar na Bara ndio uliosababisha hadi leo hii Zanzibar kukwama kuwa taifa la Kiislam. Hivyo basi kulingana na maelezo hayo mafupi utaona ni jinsi gani Zanzibar ilivyo. Hivyo basi wapo Wakristo ambao nao pia wamezaliwa na kukulia Zanzibar lakini wanafuata mila, taratibu, desturi, tamaduni, silka za kizanzibar. Sasa basi ikiwa umekwenda ugenini kwa watu jaribu sana kuelewa ni kipi wenyeji wako wanapenda na kipi hawapendi ili kuweza kuendana na sehemu husika na sio kutaka kufanya vile unavyoona kwako inafaa wakati huo huo ukiwaudhi wenyeji wako.
Kama ukiona unashindwa au unanyanyasika unaweza kurudi nyumbani kwa maana hujafukuzwa. Lakini pia kwanini uteseke na una kwenu? Vile vile kuharibika kwa mila, taratibu, desturi, tamaduni, silka za kwenu kusisababishe ukataka na ugenini kwako kuwe hivyo hivyo.
Nope!!!Hii ni dhambi kubwa sana ya kuwatesa wale wasiokuwa waislamu kwa kisingizio cha Ramadhan.