Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Hawa ndio hasa wanashinda huo mtihani yaani anajizuia live bila chenga hao wa puuzi wa huko siwaelewi kwani Zanzibar yote wanaoishi huko ni waislam pekee? By the way watu wanakula twice usiku aina hii ni mfungo wa masaa 12 ya mchana tu
Hiyo ni kwamjibu wa kitabu Waislamu hawaendeshwi na matamanio. Na ww onyesha ushaidi wa kufunga kwenu.
Screenshot_20190527-061915.jpeg
 
Kila sehemu kuna mila, taratibu, desturi, tamaduni, silka zake. Zanzibar ilitawaliwa na waarabu na kwa asilimia 99 ya wazanzibari ni waislam. Kama sikosei walitaka kujiunga na OIC miaka ya nyuma huko kitu ambacho kingeitambulisha Zanzibar kama taifa la Kiislam. Muungano wa Zanzibar na Bara ndio uliosababisha hadi leo hii Zanzibar kukwama kuwa taifa la Kiislam. Hivyo basi kulingana na maelezo hayo mafupi utaona ni jinsi gani Zanzibar ilivyo. Hivyo basi wapo Wakristo ambao nao pia wamezaliwa na kukulia Zanzibar lakini wanafuata mila, taratibu, desturi, tamaduni, silka za kizanzibar. Sasa basi ikiwa umekwenda ugenini kwa watu jaribu sana kuelewa ni kipi wenyeji wako wanapenda na kipi hawapendi ili kuweza kuendana na sehemu husika na sio kutaka kufanya vile unavyoona kwako inafaa wakati huo huo ukiwaudhi wenyeji wako.
Kama ukiona unashindwa au unanyanyasika unaweza kurudi nyumbani kwa maana hujafukuzwa. Lakini pia kwanini uteseke na una kwenu? Vile vile kuharibika kwa mila, taratibu, desturi, tamaduni, silka za kwenu kusisababishe ukataka na ugenini kwako kuwe hivyo hivyo.
Kumbuka hapa kinachoongelewa ni msosi (haki ya msingi) usilete bla bla
 
Wakristo bwana!! Sasa hizi propaganda za uongo zinasaidia nini,??? Mbona sehemu za kula kwa wasio Waislamu ziko nyingi..
Ukenda Maisara sehemu moja inatwa CCM inapata chakula unachotaka..

Anyway, Zanzibar iko hivyo miaka nenda miaka rudi mbona Wakristo wazawa wa Zanzibar hawajalalamika!!!!?
Kwa nini nipande daladala kwenda kula sehemu ya kula? Hoja iko hapo
 
Kumbuka hapa kinachoongelewa ni msosi (haki ya msingi) usilete bla bla
Nani amekunyima haki ya kula?
Unachokatazwa ni kula hadharani wakati wengine wamefunga.

Makafiri wanapopika mbuzi katoliki HADHARANI huku bara waislamu hawana ruksa ya kupinga lkn waislamu kule pwani wakisema kuleni majumbani mwenu makafiri wanasema HAPANA tunataka Kula hadharani!!
Yaani ukafiri ni kama Cancer. Ukitibu huku inatokezea Kule.
Dah.....!!
 
Halafu wanajifanya wanamjua Mungu,mungu gani wakati wanaroho mbaya kama nini,kwani wakristo wakifunga kwaresma mbona hawanashida na mtu,waislam mungu wao ni gaidi
We mgalatia toka lini Kwaresma ikaitwa "FUNGA"? Unajua maana ya Kufunga wewe au unaropoka tu.
Sema sisi wagalatia tunaposhinda njaa ......"
Sio kufunga
 
Nani amekunyima haki ya kula?
Unachokatazwa ni kula hadharani wakati wengine wamefunga.

Makafiri wanapopika mbuzi katoliki HADHARANI huku bara waislamu hawana ruksa ya kupinga lkn waislamu kule pwani wakisema kuleni majumbani mwenu makafiri wanasema HAPANA tunataka Kula hadharani!!
Yaani ukafiri ni kama Cancer. Ukitibu huku inatokezea Kule.
Dah.....!!
Waislamu wote ni makafiri na mafedhuli
 
Hutaki si urudi kwenu kwenye ukafiri wa ulaji wa mbuzi katoliki?
Umelazimishwa kuja kwenye ardhi za wastaarabu?
mbona ngozi nyeupe mnawagwaya hata wakipiga menu hadharani? Mnakomaa na black wa bara, hapo ustarabu wa ardhi uko wapi, nyaishozi nyie
 
Hapo sasa tumekuelewa mkuu, kwanza huna dini pili unamdharau hata mkuu wa nchi Zanzibar! Hivyo kwako sio tabu kuwadharau wazanzibari wote

Hitimisho: wewe ni miongoni mwa watu wasio waungwana wala sio mstaarabu wa kuheshimu mila na desturi za watu wengine

Kuna nchi nyingi ambazo hawaruhusu kula hadharani kipindi cha Ramadhani Saudi,Dubai,Pakistan n.k
"when in Rome do as the Romans do"
Hizo nchi ulizozitaja ni nchi za kidini....ingia usome secular states and non secular states ujue kutofautisha....nchi yetu sisi siyo ya kidini...nchi yetu sisi inatambua dini zote....kwa hiyo mnataka mambo ya dubai yaletwe tanzania...kuna kipindi mlitaka eti na mahakama zenu za kadhi ziletwe tanzania...wewe kama mila na desturi za dini yako zinakuzuia kula mimi mila na desturi za dini yangu zinaniruhusu kula sasa kama kufuata mila na desturi za dini ya mwenzio unaona ni rahisi fuata wewe desturi za dini yangu ulee
 
Ndo hayo tunayoyaona.


Wanajiita wasomi ila hawakuelimika.



Wakijua maana ya funga halisi bas nafsi zao wenyew ni wanafaa kufanya pindi wanapokua katika jamii za waislam.
Hahahaa! JF kila mtu msomi Ila elimu yenyewe ndio hii inayolalamikiwa kila siku
 
Kama ilivyo dini ya wapuuzi wengine wasio na adabu,wakila wao wanataka kila mtu ale kila mahali.
Wenyewe wakila hawamlazimisgi mtu kula umesikia wapi mtu analazimishwa kula but wanaoshinda njaa ndo wanataka kila mtu ashinde njaa....chezea njaa wewe....mtu anaona wivu wenzie kula....cha msingi kila mtu afuate imani yake tusilazimishane kufuata imani za wengine
 
Nyinyi watu mmejaa chuki na roho mbaya.


swala la elimu isiwe kusingizia mpka mkaingiza maswala ya kidini.


Ni kwann Nile kwa kujificha? Kwan mie mwizi? Kwan wewe kufunga kwako kunanihusu Nini mm? Mbna wakristo wakifunga hawazuii wengine?
Nyie Ni washamba/mbumbumbu hamna elimu ndio maana
 
Back
Top Bottom