Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Nakumbuka 2015 Ramadan Ilinikuta huko. Ase ilikua ni shida msosi kuupata nimpaka ufike church STONE TOWN na ukifika hapo inabidi ukaguliwe na kale kamashine kama umebeba mabomu, mguu WA kuku or anything ndo ingie
Pia kuna sehemu moja DARAJANI kushawai kutegwa bomu na kuripuka asubuhi kpindi watu wanakunywa chai
Pia kuna sehemu moja DARAJANI kushawai kutegwa bomu na kuripuka asubuhi kpindi watu wanakunywa chai