Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Kwahiyo dini yenu inawaambia mkifunga hamtakiwi kuona watu wasiofunga wakila?
Kuna Aya inasema ivyo?
Kwahiyo hawa waislam wa dar wanavyofunga huku huduma za vyakula vina endelea na wengine paka wameajiriwa kwenye migahawa wanauza chakula wanakuwa wanafanya makosa?
Tatizo lako nini? Unataka kufakamia mbele ya watu waliofunga? Si ukale na mkweo chumbani kwenu.
 
Baadhi ya watu ni waajabu sana Mkuu. Ibada zao wanazozifanya wanataka kuingilia mpaka haki za msingi za binadamu wengine. Kule Saudi Arabia huo upuuzi wao wa kufunga hotel ili wasio waislamu wasile mchana hakuna na huko kule ndiyo kitovu cha uislamu. Sasa hawa walioletewa dini wanaongezea na yao yasiyo kichwa wala miguu ya kuminya haki za binadamu wengine. Utadhani kama vile wao watakubali haki zao za msingi ziminywe na wale wa dini nyingine.

Imekua vita
 
Kwakuwa Waislamu wana hekima, naona makafiri wanatukana tu alafu hakuna Waislamu wanaowajibu. Jibu la mjinga ni kumkalia kimya.
 
Lete ushahidi. Wacha chuki.
Zanzibar Kuna elimu gan?
1519141407.jpeg
 
Ukiona hivyo basi ujue huyo mtu amejawa na dharau na kiburi kiasi kwamba kila ambacho aidha wenyeji wake walimtahadharisha na yeye kujibu kwani watanifanya nini. Ndivyo tulivyo watazania, tunakosea lakini hatuoni makosa yetu zaido ya kuona pale tunapowajibishwa kama tunaonewa.
Kufunga kwako kunanihusu Nini Mimi? Mnafunga kwa fashion na sio iman tatizo ni elimu ndogo inawasumbua
 
Who is dr shein??...
Raisi wa tanzania na amiri jeshi mkuu ni mmoja tu anaitwa magufuli...zanzbar ni sehemu ya tanzania na hakuna nchi inayoitwa zanzbar ila kuna serikali ya mapinduzi ya zanzbar
Hapo sasa tumekuelewa mkuu, kwanza huna dini pili unamdharau hata mkuu wa nchi Zanzibar! Hivyo kwako sio tabu kuwadharau wazanzibari wote

Hitimisho: wewe ni miongoni mwa watu wasio waungwana wala sio mstaarabu wa kuheshimu mila na desturi za watu wengine

Kuna nchi nyingi ambazo hawaruhusu kula hadharani kipindi cha Ramadhani Saudi,Dubai,Pakistan n.k
"when in Rome do as the Romans do"
 
Tafuta kanisa uwe unapika wewe unauza,utapata pesa na utakula,
ni kama msemo wa "ukitaka kuishi na warumi,fanya warumi wafanyavyo".
 
Kuna dini imejaa wapuuzi sijapata ona...kuna dini inataka wenyewe wakishinda njaa basi kila mtu nae ashinde njaa
Kama ilivyo dini ya wapuuzi wengine wasio na adabu,wakila wao wanataka kila mtu ale kila mahali.
 
Waislamu wa bara na zanzibar ni tofautu?? Mbona wa huku wanavumilia tukila hadharani?? Tena wengine ndio wanatuuzia chakula kwenye migahawa
Hawa ndio hasa wanashinda huo mtihani yaani anajizuia live bila chenga hao wa puuzi wa huko siwaelewi kwani Zanzibar yote wanaoishi huko ni waislam pekee? By the way watu wanakula twice usiku aina hii ni mfungo wa masaa 12 ya mchana tu
 
Back
Top Bottom