Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Kwenye kitimoto shetani hakanyagi[emoji3][emoji3]mpaka hapo umeshajua shetani ni dini gani.
Mbona Kanisani mnapungwa mashetani kila siku, yanaingiaje huko !?
Mnaacha kusali kazi ni kuhangaika kuyatoa......toka, toka peppo ....pepo la uzinzi, pepo la Gwajima...toooka ! Funny people.
 
Nyie mikafiri mnafunga au mnazingua
Wewe unafunga au unafungishwa? Kama unafunga kweli ruhusu vyakula vikaangwe hata mbele yako na watu wale chakula mbele yako Kama hujaanza kutoka udenda wa kutaka kula
 
Nina muda hata wa kupakua mafundisho ya kipepo. Hapa nataka habari za Shujaa Yesu Kristo aliyekufa na akafufuka na yupo hai hadi Leo.
Shujaa angewambwa mtini ! Huna bundle nikurushie !? Ati mungu anauawa na watu wake mwenyewe ! Kweli nyie mizigo.
 
Wewe unafunga au unafungishwa? Kama unafunga kweli ruhusu vyakula vikaangwe hata mbele yako na watu wale chakula mbele yako Kama hujaanza kutoka udenda wa kutaka kula
Kwahiyo ndio maana kwaresima mkaamua kufunga kiujanja ujanja !? Shauri ya uroho na tamaa
 
Mbona Kanisani mnapungwa mashetani kila siku, yanaingiaje huko !?
Mnaacha kusali kazi ni kuhangaika kuyatoa......toka, toka peppo ....pepo la uzinzi, pepo la Gwajima...toooka ! Funny people.
Ni majini ya kiislam.
 
ndugu waliopo kwny hiki kipnd cha mfungo kwa baadh mnakoxea kwa kukoxa maharfa kwan km mnaxhdwa kuixh vizur na ndungu zen wakristo hap dunian je huko pepon ndio itakuwaje!!!!???
Kumbuken kuw kun maixha baad ya mfungo xo jtafakaln xn
 
Kumjua Yesu ni utajiri tosha. Unitumie vocha au unataka kunitupia mapepo?
ALIKUFA , AKAMPIGA SHETANI HADI AKACHAKAA KISHA AKAFUFUKA.
Huyu ndiyo MWANAUME, SIMBAAAA
Kafa halafu ampige shetani !? Hivi nikuulize, alipokufa siku tatu ni nani alikuwa 'mwendeshaji wa Dunia' ?
 
Sio kweli Wakristo wengine hufunga pia .Angalia hata TV za Wakristo wasio wakatoliki hutangaza miifungo kibao iko ya siku saba,siku 21,Siku 40 siku 60 Hadi siku 90 .Hawa Wakristo wengine wanafunga wasio wakatoliki ila huwa wakimya hawana kelele Kama waislamu kujulisha wamefunga ndio maana hata wewe hujui
Tena hata siku 3 kavu Wakristo wanafunga lakini huwasikii wakipiga kelele ni wao na Mungu wao tu
 
.na kama unafamilia yako huku basi kama mkeo anataka kupika ni marufuku kupikia nje inatakiwa kila kitu amalize humo humo ndani na ukikamatwa unapelekwa jela mpaka mwezi uishe ndio unaachiwa,l
Hapa ndipo ulipojidhihirisha Ujinga wako. Kwani hao waislamu hawapiki?

hivi nyinyi mumetumwa na nani? AU ni chuki tu zilizojaa katika nafsi zenu?
 
Huwa napata tabu sana ninaposikia eti watu wanasema Mungu anaeabudiwa na wa Kristo ndio Huyo huyo mungu anaeabudiwa na waislamu.
Nitapinga hili mpaka siku yesu anarudi.
 
Huwa napata tabu sana ninaposikia eti watu wanasema Mungu anaeabudiwa na wa Kristo ndio Huyo huyo mungu anaeabudiwa na waislamu.
Nitapinga hili mpaka siku yesu anarudi.
Ndio maana siamini kama Mungu yupo sababu wakristo wana Mungu wao na waislamu wana Mungu wao Wakati huo huo mnasema Mungu ni mmoja
 
Hakuna mwanadamu anayefunga mfululizo zaidi ya masaa 12,mnadanganyana,ndio maana mnadanganyika kinurahisi,unapewa JIKI,unaambiwa maji ya kuondoa mapepo,mnakunywa na kupata matatizo.
Tena hata siku 3 kavu Wakristo wanafunga lakini huwasikii wakipiga kelele ni wao na Mungu wao tu
 
Back
Top Bottom