Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Mbona Kanisani mnapungwa mashetani kila siku, yanaingiaje huko !?Kwenye kitimoto shetani hakanyagi[emoji3][emoji3]mpaka hapo umeshajua shetani ni dini gani.
Mnaacha kusali kazi ni kuhangaika kuyatoa......toka, toka peppo ....pepo la uzinzi, pepo la Gwajima...toooka ! Funny people.