Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Inashinda ile Dini walimuwamba mtoto wa mungu msalabani !? Eti halafu wanajisifu amewakomboa. Wanakunywa damu yake (kama mavampire) na kula nyama yake (mwili)
We acha kufananisha dini ya wavaa suti na wavaa vipedo mapangoni, ambao uhakika wao wa kuingia peponi ni kumchinja asiyevaa kipedo au kujivika bomu! acha kabisa! wao wanadai dunia yao haiko hapa wanangojea mabikra 72 na mito ya pombe mbinguni!! he! si bora wanywe huku huku!
 
Kama napikia jiko la kuni jee? Bado nikapikie ndani? Au ndiyo haiwahusu?
alichokizungumza muanzilishi wa hii thread kwenye ishu hii ya kupika chakula nyumbani ni uongo, hakuna mwenye mamlaka ya kumzuia mwananchi asiandae chakula nyumbani kwake nyakati za mchana kwa hoja ya ramadhani.

zipo familia za kiislamu zina watoto wadogo, wazee wasiojiweza, wagonjwa, mama waliotoka kujifungua, wanawake walio katika siku zao na hao wote sheria zinawaruhusu wasifunge.

suala la kujiuliza je wanapata chakula wapi kuanzia asubuhi hadi jioni?

muanzilishi wa thread anataka kutuaminisha ya kwamba hao wote nao wanalazimika kukaa na njaa hadi jioni ili waungane na waliofunga kupata chakula?
 
Hivi, hili suala kama ni kweli, kwanini mamlaka stahiki hazichukui hatua? Hapa ninamaanisha kuwa , kama tunajadili kero zingine za muungano,nini kinachokwaza suala hili?
 
Katika hao mabikira na Maria mama wa Yesu yumo pia. Nae si mnamtangaza ana bikira ! Umeingia dini kwa ajili ya suti !? Yesu mwenyewe alivaa kanzu ya vipedo, wewe unajivunia suti. Jitahidi na hiyo dini ya suti maana wanazika nazo hizo suti.
We acha kufananisha dini ya wavaa suti na wavaa vipedo mapangoni, ambao uhakika wao wa kuingia peponi ni kumchinja asiyevaa kipedo au kujivika bomu! acha kabisa! wao wanadai dunia yao haiko hapa wanangojea mabikra 72 na mito ya pombe mbinguni!! he! si bora wanywe huku huku!
 
Wana chuki na inda juu ya Uislaam ! Nafsi zao zinawasuta wanajuwa kabisa hawana dini wamezama kwenye upotofu.
Walikuwa na funga yao ya ujanja ujanja inaitwa kwaresma. Haijulikani 'fajr wala maghrib'. Hakuna mtu kawauliza wala kasema na funga yao ya kitapeli.
ndugu usiumize kichwa, hizi dini zote mtunzi ni mmoja ndio maana mambo mengi yanashabihiana, usijione bora, hivyo vitabu vyote vimeletwa kwenye majahazi, hujui wameongeza nini au wamepunguza nini! so stay calm!
 
Katika hao mabikira na Maria mama wa Yesu yumo pia. Nae si mnamtangaza ana bikira ! Umeingia dini kwa ajili ya suti !? Yesu mwenyewe alivaa kanzu ya vipedo, wewe unajivunia suti. Jitahidi na hiyo dini ya suti maana wanazika nazo hizo suti.
Kwani mwanamke akishazaa bado ni bikra? we ukizikwa na sanda au suti unajisikia kitu gani? acha kukaririshwa mavitabu yaliyokuja kwenye majahazi wewe!
 
ndugu usiumize kichwa, hizi dini zote mtunzi ni mmoja ndio maana mambo mengi yanashabihiana, usijione bora, hivyo vitabu vyote vimeletwa kwenye majahazi, hujui wameongeza nini au wamepunguza nini! so stay calm!
Hiyo ni shida yako, sina haja ya maoni yako mimi nimekaa chini nikasoma. Sasa hizo stori za chakubanga na esopo na kalumekenge katafute kijiwe cha viroba uhadithie.
 
Unaruhusiwa ikae kwako ule, marufuku ni kula hadharani, sio Wazanzibari wote wanafunga lakini huwakuti kula hadharani..

"They say when you are in Rome do like Romans do".. Jaribu kuheshimu mila na tamaduni za wengine ijapokuwa unaziona ni mbaya..
Upimbi tu, katiba ya wapi hiyo

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
 
Kwani mwanamke akishazaa bado ni bikra? we ukizikwa na sanda au suti unajisikia kitu gani? acha kukaririshwa mavitabu yaliyokuja kwenye majahazi wewe!
Umekaririshwa hadithi za esopo na kalumekenge na majahazi. Wewe una abudu nini ? Kichaka, Mbuyu au Makaburi ?
Lete Kitabu chako tukione ulichokileta na punda
 
Wanazuga maana Kuna kadada kamefunga nilitaka kukapiga machine kakadai hakiwezi kamefunga ila kuchezea mbunye kanakubal
 
Yesu alifunga Ila hakushinda njaa
Yesu alifunga Wala hakusumbua mtu alienda porini eneo lisilo na watu kabisaaa.Hakushinikiza watu wasile hadharani kisa yeye kafunga!!! Hili la mtu Kufunga na kupangia asiyefumga aleje kisa yeye kafunga mmmmmmm
 
Hiyo ni shida yako, sina haja ya maoni yako mimi nimekaa chini nikasoma. Sasa hizo stori za chakubanga na esopo na kalumekenge katafute kijiwe cha viroba uhadithie.
Eti umekaa chini ukasoma!! we ungezaliwa na muyahudi ungekaa chini ukasoma, ungezaliwa na muhindu ungekaa chini ukasoma, ungezaliwa na mkristo ungekaa chini ukasoma na matokeo ya mawazo yako yangeenda huko huko ulikozaliwa, acha kukaririshwa mavitabu, jitambue, dini gani hutakiwi kuhoji? eti "Wakinnuna bilghaibi?"
 
Umekaririshwa hadithi za esopo na kalumekenge na majahazi. Wewe una abudu nini ? Kichaka, Mbuyu au Makaburi ?
Lete Kitabu chako tukione ulichokileta na punda
Mimi mwenyewe kitabu! nikuletee kitabu gani sasa?
 
Wewe bwege, wewe una Kitabu gani !? Hebu kilete tukione
Eti umekaa chini ukasoma!! we ungezaliwa na muyahudi ungekaa chini ukasoma, ungezaliwa na muhindu ungekaa chini ukasoma, ungezaliwa na mkristo ungekaa chini ukasoma na matokeo ya mawazo yako yangeenda huko huko ulikozaliwa, acha kukaririshwa mavitabu, jitambue, dini gani hutakiwi kuhoji? eti "Wakinnuna bilghaibi?"
 
Wanazuga maana Kuna kadada kamefunga nilitaka kukapiga machine kakadai hakiwezi kamefunga ila kuchezea mbunye kanakubal
Ndio dini ya wanafiki hiyo! ukinywa bia wanakupiga bomu, ukikaa beach unapunga upepo wao hawana nguo nzuri, wanajilipua ni wivu wa kukosa tu wanawa brainwash watoto wa watu, tena wengine wasomi kabisa wanawalipua yenyewe yamekaa yanakula mirungi na kunywa kahawa na kashata! how pathetic!
 
Back
Top Bottom