Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji28]

Wana upuuzi sana, ntaleta kisa changu kimoja kuwahusu

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Matt 23:25 Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnasafisha nje ya kikombe na chano, na ndani yake vimejaa unyang'anyi na kutokuwa na kiasi.
 
Mimi nilimtafuta Mungu kwa miaka 7+ bila kwenda kanisani wala msikitikini
Kwa kipindi chote hicho niliweza kusoma Biblia kama 93% na vile vile Qurani (taafsiri yake) kama 87%. Pila niliweza kuhudhuria makongamano yoote makubwa ya kikristo na ya Kiislam yaliyofanyika mjini (nilipo)
Baada ya utafiti wangu huo wa kina wa miaka 7, Nilijiridhisha kabisa kuwa Dini inayo nifaa ni UISLAM hivyo kwa sasa ni Muislam na naamini ni njia sahihi kabisa kwa utafiki wa Kina niliofanya na wala mtu hawezi kunidanganya kitu kwa kuwa NIMESOMA.
Narudia kusema kuwa NILISOMA MWENYEWE na sikutegemea mafundisho ya viongozi wa dini pekee kwani wengi husoma tu ile mistari ya kufurahisha watu.
Hapa najiandaa kusoma - kumalizia hizo % ndogo za Vitabu zilizobakia
 
Allah akbar, ma shaa allah, asante kwa kunisaidia na bora sisi revert tuwe msaada kwa ndugu zetu wakristo waijue haki na kuifwata
 
Hata mjinga huona fahamu katika ujinga wake.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe Zanzibar sio Tanzania
In Nchi inayoendeshwa kwa Sheria za Kiislamu ndani ya Jamhuri was Muungano was Tanzania yenye Uhuru kwa MTU kufuata Imani apendayo bila kukwazwa na kushurutishwa!
Hawa ndugu wanakwaza...![emoji34]
 
Tuje kwenye mada husika hoja za mleta uzi je ni kweli?...na kama ni kweli kwanini mfanye hivyo.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujawahi kukutana na Yesu, au kwa tafsiri nyingine Yesu hajawahi kujifunua kwako.
Siku mwana wa adamu akijifunua kwako hutaandika haya uliyoyaandika
 
Imani yako isiwe kero kwa wengine. Shida ya nyinyi mkiwa wengi tu mnataka kila mtu afuate mnachofanya nyinyi. Ndiyo maana China hataki hata kuwaona kwasbb mkiwa wengi mtaanza kuleta machafuko.
Hapa Tanzania mlianza kuomba kuwepo kwa mahakama ya kadhi, mlianza kuchoma makanisa na kuwadhuru hata kuwaua viongozi wa dini nyingine.
Tangu wale magaidi wa UAMSHO kukamatwa mpaka leo kimya watu wanasali kwa amani.
 
Kufunga afunge mwengine kero uone wewe? Au kutokuwa na imani kwako wewe ndio sawa kuwa kero kwa wengine wenye imani zao?

Mji ya watu 98% wanakwambia wewe mgeni mmoja usile nje wakati huu sisi tumefunga, wewe unataka kulazimisha kufakamia nje? Ulikatazwa kula kwako? Ulikatazwa kuingia hoteli zenye stara kwenda kufakamia huko? Au ndio iuchokozi wenyewe huo?

Ficha upumbavu wako usifiche hekima zako - Courtesy, JF owner.
 
Nashukuru kwa maelezo yako marefu ila hayajajibu nilichouliza.

Nimekupa mifano ya mafundisho ya Dini mbili, na nikakuuliza...Kwa mafundisho ya hizi dini mbili(mafundisho hayo nimeyaweka hapo), NI IPI INAONEKANA KUWA DINI INAYOTOKA KWA MUNGU?

Ningefurahi kama ungejibu nikichouliza.
 
Tatizo lenu, kiongozi wenu alikuwa hajui kusoma na kuandika. Shida ndiyo inaanzia hapo ni hii imeenda mpaka kwa waumini wakiwa wengi tu kosa. Nchi ilikuwa si ya kidini ila kwa kuwa wao ni wengi basi wameifanya nchi ya kidini. Imani zingine ni kero sana.
Fikiria waislam wangekuwa wengi kama wakristo. Kila nchi kungekuwa na vurugu tu, yaan wakifunga wao wanataka nawe ufunge. Siyo km wanafunga ila wanabadilisha ratiba ya chakula tu. Chakula cha asubuhi wanakula saa 1 usiku, chakula cha mchana wanakula saa 4 usiku na chakula cha usiku wanakula saa 8 au 10 usiku.
Mchina alilijua hili mapema kbsa.
 
Tuache masihara kipindi cha ramadhani huku Zanzibar kwa wakristo hasa ukiwa na shughuli zako mbali na nyumbani ni mateso makubwa sana basi tu ndio hivyo tunavumilia
 
Hilo hapo juu ndio SWALI nililouliza[emoji3516][emoji3516]

Haya hapa chini ndio majibu yako[emoji116][emoji116]
Matt 23:25 Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnasafisha nje ya kikombe na chano, na ndani yake vimejaa unyang'anyi na kutokuwa na kiasi.
Mama, Swali langu limekuwa gumu sana?

Hiyo Matt 23:25 mbona haijibu swali nililouliza?

Narudia tena swali langu:

KATI YA MAFUNDISHO HAYO YA HIZO DINI MBILI NILIYOYAONESHA HAPO , DINI IPI INAONEKANA KUWA INATOKA KWA MUNGU?
 
Reactions: PNC
Huyu mtoa maada amejaa udini tu, hotel nying wanafunga so access ya chakula hamna kma yupo kikaz inamaana yupo temporary mean hotel chakula wanapika sasa kma alizoea kula magengen kakosa anaanza kupiga mayowe,
Mbona ninyi wakristo mnatupigia mikwaya kwenye mabasi huwa hamfahamu kuwa kuna dini tofauti
Mnapenda kulalamika sana, waislam wavumilivu sna wskiweka kaswida tu mnaanza kelele kwa bas ila yenu kimyaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…