antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Shida itakuwa kumudu gharama mkuuNa hizo hotel kubwa ukienda kula ngozi nyeusi bado unasumbuliwa? ama ni huko mtaani tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida itakuwa kumudu gharama mkuuNa hizo hotel kubwa ukienda kula ngozi nyeusi bado unasumbuliwa? ama ni huko mtaani tu?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji28]Duuh, kumbe uislam nayo ni dini,!! Yaan mim huwa naona ni kikundi cha wajinga na wapumbavu walojaa upofu wa akili. Nakumbuka miaka fulani hapo nyuma nilikuwa zanzibar sehemu moja inaitwa Fuoni-Meli tano, nilienda duka moja kununua mahitaji eti yule muuzaji akakataa kuwa vitu navyovitaka havipo wakati mim naviona!!. Ikabid nifuatilie kwanini kakataa kunihudumia, kumbe eti wakati nafika dukan kwake sikuanza na kumsalimia "SALAMALLEKO" (sijui kama nimepatia inavyoandikwa)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi wananichosha kulazimisha ufuate sheria zao while mi sihitaji na sitaki....ukikataa hata urafiki unavunjikaDini ya kibabe
Matt 23:25 Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnasafisha nje ya kikombe na chano, na ndani yake vimejaa unyang'anyi na kutokuwa na kiasi.Dini moja inanifundisha UPENDO kama kitu kikubwa kuliko vyote.
Inanifundisha Kumpenda Jirani yangu kama nafsi yangu BILA KUBAGUA.
Inanifundisha kutokulipiza kisasi kwani kisasi ni cha Mungu.
Inanifundisha mtu akinipiga Kofi moja nimgeuzie na la pili(yaani niwe mtu wa Amani asiyelipiza kisasi)
Dini nyingine inanifundisha Jino kwa Jino. Inanifundisha kuwa ndugu yangu ni yule mtu wa imani yangu. ("mwislam ndugu yake ni mwislam").
Inanifundisha Jihad(kuua) pale ambapo naona kuna watu wanapinga mafundisho ya hii dini.
KATI YA MAFUNDISHO HAYO YA HIZO DINI MBILI , IPI INAONEKANA KUWA INATOKA KWA MUNGU?
Waitalia ndo wanapenda huko sanaYaani mpka leo sijuhi watalii uwa wanafuata nn Zanzibar. I treat Zanzibaris and their Islamic belief, as uncivilized community
Mimi nilimtafuta Mungu kwa miaka 7+ bila kwenda kanisani wala msikitikiniPersonally nilikuwa muhuni...and I came to know Christ... I came to accept Him as my Lord and Saviour.
And from that day, nikapata AMANI ya kweli ambayo sijawahi kuipata popote pale.
So kama wewe umeipata peace kwa Mohamad, that's good of you.
Ila mimi nimeipata Amani ya kutosha SANA kwa Yesu... Na huku kwa huyu Yesu sitoki hata siku moja
Nb:
kwa Imani yako ya Islam unayoipigia chapuo hapa, siidharau na ninaiheshimu ila frankly sijawahi kuielewa wala kuitamani.
Allah akbar, ma shaa allah, asante kwa kunisaidia na bora sisi revert tuwe msaada kwa ndugu zetu wakristo waijue haki na kuifwataMimi nilimtafuta Mungu kwa miaka 7+ bila kwenda kanisani wala msikitikini
Kwa kipindi chote hicho niliweza kusoma Biblia kama 93% na vile vile Qurani (taafsiri yake) kama 87%. Pila niliweza kuhudhuria makongamano yoote makubwa ya kikristo na ya Kiislam yaliyofanyika mjini (nilipo)
Baada ya utafiti wangu huo wa kina wa miaka 7, Nilijiridhisha kabisa kuwa Dini inayo nifaa ni UISLAM hivyo kwa sasa ni Muislam na naamini ni njia sahihi kabisa kwa utafiki wa Kina niliofanya na wala mtu hawezi kunidanganya kitu kwa kuwa NIMESOMA.
Narudia kusema kuwa NILISOMA MWENYEWE na sikutegemea mafundisho ya viongozi wa dini pekee kwani wengi husoma tu ile mistari ya kufurahisha watu.
Hapa najiandaa kusoma - kumalizia hizo % ndogo za Vitabu zilizobakia
Hata mjinga huona fahamu katika ujinga wake.Mimi nilimtafuta Mungu kwa miaka 7+ bila kwenda kanisani wala msikitikini
Kwa kipindi chote hicho niliweza kusoma Biblia kama 93% na vile vile Qurani (taafsiri yake) kama 87%. Pila niliweza kuhudhuria makongamano yoote makubwa ya kikristo na ya Kiislam yaliyofanyika mjini (nilipo)
Baada ya utafiti wangu huo wa kina wa miaka 7, Nilijiridhisha kabisa kuwa Dini inayo nifaa ni UISLAM hivyo kwa sasa ni Muislam na naamini ni njia sahihi kabisa kwa utafiki wa Kina niliofanya na wala mtu hawezi kunidanganya kitu kwa kuwa NIMESOMA.
Narudia kusema kuwa NILISOMA MWENYEWE na sikutegemea mafundisho ya viongozi wa dini pekee kwani wengi husoma tu ile mistari ya kufurahisha watu.
Hapa najiandaa kusoma - kumalizia hizo % ndogo za Vitabu zilizobakia
In Nchi inayoendeshwa kwa Sheria za Kiislamu ndani ya Jamhuri was Muungano was Tanzania yenye Uhuru kwa MTU kufuata Imani apendayo bila kukwazwa na kushurutishwa!Kumbe Zanzibar sio Tanzania
Tuje kwenye mada husika hoja za mleta uzi je ni kweli?...na kama ni kweli kwanini mfanye hivyo.?Mimi nilimtafuta Mungu kwa miaka 7+ bila kwenda kanisani wala msikitikini
Kwa kipindi chote hicho niliweza kusoma Biblia kama 93% na vile vile Qurani (taafsiri yake) kama 87%. Pila niliweza kuhudhuria makongamano yoote makubwa ya kikristo na ya Kiislam yaliyofanyika mjini (nilipo)
Baada ya utafiti wangu huo wa kina wa miaka 7, Nilijiridhisha kabisa kuwa Dini inayo nifaa ni UISLAM hivyo kwa sasa ni Muislam na naamini ni njia sahihi kabisa kwa utafiki wa Kina niliofanya na wala mtu hawezi kunidanganya kitu kwa kuwa NIMESOMA.
Narudia kusema kuwa NILISOMA MWENYEWE na sikutegemea mafundisho ya viongozi wa dini pekee kwani wengi husoma tu ile mistari ya kufurahisha watu.
Hapa najiandaa kusoma - kumalizia hizo % ndogo za Vitabu zilizobakia
Hujawahi kukutana na Yesu, au kwa tafsiri nyingine Yesu hajawahi kujifunua kwako.Mimi nilimtafuta Mungu kwa miaka 7+ bila kwenda kanisani wala msikitikini
Kwa kipindi chote hicho niliweza kusoma Biblia kama 93% na vile vile Qurani (taafsiri yake) kama 87%. Pila niliweza kuhudhuria makongamano yoote makubwa ya kikristo na ya Kiislam yaliyofanyika mjini (nilipo)
Baada ya utafiti wangu huo wa kina wa miaka 7, Nilijiridhisha kabisa kuwa Dini inayo nifaa ni UISLAM hivyo kwa sasa ni Muislam na naamini ni njia sahihi kabisa kwa utafiki wa Kina niliofanya na wala mtu hawezi kunidanganya kitu kwa kuwa NIMESOMA.
Narudia kusema kuwa NILISOMA MWENYEWE na sikutegemea mafundisho ya viongozi wa dini pekee kwani wengi husoma tu ile mistari ya kufurahisha watu.
Hapa najiandaa kusoma - kumalizia hizo % ndogo za Vitabu zilizobakia
Sasa kama huwezi kufunga unalalamika nini?
Jisomee huyu "father", sijui wa msikiti gani vile? Aliifanya nini shule nzima huko Soni:
![]()
He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile
How the scandal of Father Kit Cunningham has made Peter Stanford question his church and his faithwww.theguardian.com
Kufunga afunge mwengine kero uone wewe? Au kutokuwa na imani kwako wewe ndio sawa kuwa kero kwa wengine wenye imani zao?Imani yako isiwe kero kwa wengine. Shida ya nyinyi mkiwa wengi tu mnataka kila mtu afuate mnachofanya nyinyi. Ndiyo maana China hataki hata kuwaona kwasbb mkiwa wengi mtaanza kuleta machafuko.
Hapa Tanzania mlianza kuomba kuwepo kwa mahakama ya kadhi, mlianza kuchoma makanisa na kuwadhuru hata kuwaua viongozi wa dini nyingine.
Tangu wale magaidi wa UAMSHO kukamatwa mpaka leo kimya watu wanasali kwa amani.
Nashukuru kwa maelezo yako marefu ila hayajajibu nilichouliza.Kila kitu ni elimu kaka. Ukikosa elimu utasema usilokua na uhakika nalo. Kama unasema uislam una chuki na wakristo kwa nini mtume muhamad ece be upon him alikufa na deni la mkristo? Hii inaonesha alikua akishirikiana nao vyema. Na tunaimizwa kushirikiana na kila mwanadamu chino ya jua bila kuvuka mipaka. Mfano majirani ni wakristo yan napaswa kushirikiana nao kwa kila kitu kama msiba isipokua kwenye maswala ya ibada zao ili usije kuwa corrupted na kufanya yasliyo nje ya dini yako. Kama ni mgonjwa nitampeleka hospitali wa kikristo, kama ni kumsomesha nikiwa na uwezo nitafanya hivyo, kama ni chakula nitamkririmu na nitakula kwake mradi tu nisile nilichoharamishiwa na Allah nisile.
Ini dini ya amani ukisoma lkn si kukurupuka kufanya mambo bila ya elimu.
Elimu ndio jambo la kwanza kabla ya kufanya ibada yeyote ktk uislam. Iwe ni swala, zaka, iwe funga chchote kila lazima uwe na elima sasa ukikuta mtu anamchukia mkristo ana shida zake binafsi si uislam. Tena tunaamrushwa kyisha na kila kwa wema ili muige kwetu na sio shari. Yani napaswa matendo yangu yakuvutie wewe mpk mwenyewe ukubali uislma na si porojo. Mfano hata kipindi cha mtume kuna waliotumwa kummuua mtume muhamad s.a.w lkn walivyofika waliathirika kwa wema wake na ukarimu mok wakaishia kuslimu badala ya kuua kama ilivyokua lengo.
Mfano hapo juu kuna mtu katukana sana uislam sasa em fikiria matendo yake yana athari gani kwa asiekua mkristo? Je naweza kuvutiwa kuingia ktk ukristo kwa lugha alizotumia? Tabia ipi nitaiga kwake? Njoo kweny mtiririko wa chat zangu wapi ni.meongea lugja chafu kiasi kwamba ukiwa ni mweny akili timamu utaelewa nan ametumia busara ktk mazungumzo na kama ni kushawishi utajua nani anaeweza kukushawishi kwa kauli zake kuifwata dini
Allah akuongoze kaka ktk haki, wewe na wote tunaowapenda
Kufunga afunge mwengine kero uone wewe? Au kutokuwa na imani kwako wewe ndio sawa kuwa kero kwa wengine wenye imani zao?
Mji ya watu 98% wanakwambia wewe mgeni mmoja usile nje wakati huu sisi tumefunga, wewe unataka kulazimisha kufakamia nje? Ulikatazwa kula kwako? Ulikatazwa kuingia hoteli zenye stara kwenda kufakamia huko? Au ndio iuchokozi wenyewe huo?
Ficha upumbavu wako usifiche hekima zako - Courtesy, JF owner.
Hilo hapo juu ndio SWALI nililouliza[emoji3516][emoji3516]Dini moja inanifundisha UPENDO kama kitu kikubwa kuliko vyote.
Inanifundisha Kumpenda Jirani yangu kama nafsi yangu BILA KUBAGUA.
Inanifundisha kutokulipiza kisasi kwani kisasi ni cha Mungu.
Inanifundisha mtu akinipiga Kofi moja nimgeuzie na la pili(yaani niwe mtu wa Amani asiyelipiza kisasi)
Dini nyingine inanifundisha Jino kwa Jino. Inanifundisha kuwa ndugu yangu ni yule mtu wa imani yangu. ("mwislam ndugu yake ni mwislam").
Inanifundisha Jihad(kuua) pale ambapo naona kuna watu wanapinga mafundisho ya hii dini.
KATI YA MAFUNDISHO HAYO YA HIZO DINI MBILI , IPI INAONEKANA KUWA INATOKA KWA MUNGU?
Mama, Swali langu limekuwa gumu sana?Matt 23:25 Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnasafisha nje ya kikombe na chano, na ndani yake vimejaa unyang'anyi na kutokuwa na kiasi.
Wanalazimisha uende naye kwa allah hahaMimi wananichosha kulazimisha ufuate sheria zao while mi sihitaji na sitaki....ukikataa hata urafiki unavunjika
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app