FaizaFoxy umerudi bibie!!Sasa kama huwezi kufunga unalalamika nini?
Jisomee huyu "father", sijui wa msikiti gani vile? Aliifanya nini shule nzima huko Soni:
He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile
How the scandal of Father Kit Cunningham has made Peter Stanford question his church and his faithwww.theguardian.com
Weeee unasema kweli?Kuna kipindi cha redio,kinaitwa mawio cha asubuh mapema, kila siku ni kesi za kuwalawiti watoto kwa kweli inasikitisha, na watendaji wa kuu wa hivi vitendo ni mashekh na walim wa madrasa.
Kumbukumbu la Torati 32:39 SRUVKwa hiyo Dini Inayofundisha Jihad(kuua) pale ambapo mtu unaona watu wanapinga mafundisho ya dini Husika ni Dini ya Mungu,
lakini Dini inayofundisha Kumpenda Kila mtu na kutokulipiza kisasi kabisa hiyo ni ya Shetani.
Yaani Dini ya Mungu inatufundisha Jino kwa Jino halafu dini ya Shetani inatufundisha Kumpenda kila mtu bila ya kulipiza visasi!
Hebu tumia basi hata akili ya kawaida tu ku-reason!
Amin nakwambia, wale tu nguruwe wasichague dhambi.Weeee unasema kweli?
Hivi mbona wagumu kuelewa pamoja na kujitapa mna elimu? Narudia tena uislam upo mbali na huo ufirauni akibaka muislam kabaka yeye na sio dini yake imemwambia abake, dini inasema usiikurubie zinaa yani ukae mbali na vyote vitakavyokufanya wewe uingie kwenye zinaa sasa wap uislam unasema baka ikiwa haitaki hata uwe karibu na huyo wa kumbaka? Mipaka imeekwa mikubwa sana sema wanadamu kwa jeuri yao tu ndo wanavunja mipaka ya aliewaumba.Ni ajabu utakuta Jamii hiyo hiyo inawachukulia kawaida Watu wanaobaka, kulawiti na kudhulumu wengine lakini ni wakali kwa Watu wanaokula kisa tu ni kipindi cha mfungo.
Hili una uhakika nalo? Au kwavile mawazo yako ndiko yalikokupeleka?Ni ajabu utakuta Jamii hiyo hiyo inawachukulia kawaida Watu wanaobaka, kulawiti na kudhulumu wengine lakini ni wakali kwa Watu wanaokula kisa tu ni kipindi cha mfungo.
What a bless to die in islam a beutiful religion of my Creator.Hii ni tabia ya mfia Dini yeyote yule..hata wakristo pia nao utasikia wanasema Yesu ndio jibu la kila kitu hakuna Kingine!! [emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe unayesema unaijua Biblia ndio unasema agano ni vitabu?Kumbukumbu la Torati 32:39 SRUV
Fahamu sasa ya kuwa Mimi, naam, Mimi ndiye, Wala hapana Mungu mwingine ila Mimi; Naua Mimi, nahuisha Mimi, Nimejeruhi, tena naponya; Wala hapana awezaye kuokoa katika mkono wangu
SRUV: Swahili Revised
Kama aliyekuumba anaua kwa nini ashindwe kuruhusu kuua tatizo unang'ang'ania isijui agano jipya la kale unaacha wakati yote ni biblia moja afu nashindwa kuelewa siku hiz mmeamua kutumia agano jipya la kale mmeacha sababu haliendani na matakwa yenu
Bro muombe Mungu akuongoze ktk haki yani uislam white ni white na black is black hakuna sijui hii ni cream or light black hapana.
Tizama agano la kale linakataza hata riba lkn hadi makanisa sasa hivi yanamilikia mabank yao tena yenye kutoa riba, ulaji wa haramu vimekatzwa lkn mnakula. Usisem siku ya kusimamishwa na mola wako mlezi ujibu useme hujakumbushwa.
Kumbusha ikiwa ukumbusho wafaa mm nimekukumbusha open ua eyes bro
Kum 23:19-25
Naijua vzur biblia dont forget i am a revert alhamdulillahWewe unayesema unaijua Biblia ndio unasema agano ni vitabu?
Una safari ndefu sana ya kujua Biblia.
Agano la kale ni nini?
Agano jipya ni nini?
Aliyekwambia Agano la kale/jipya ni yale makundi ya vitabu ni nani?
Kwa kukusadia tu, Agano la kale SIO VITABU vya Mwanzo-Malaki.... na Agano jipya SIO VITABU vya Mathayo-Ufunuo.
Hii ni mada nyingine,ianzishie uzi wake nami nitakuja huko.
TURUDI KWENYE SWALI LETU LA MSINGI NILILOULIZA
Kwa ninihakuna watu wajinga duniani kama waisalmu.
Mungu wetu anaua, ndio maana amesema Kisasi ni Juu yake. Yeye ndiye Mwenye kisasi na ndiye anayeua na kuhukumu, YEYE.Kumbukumbu la Torati 32:39 SRUV
Fahamu sasa ya kuwa Mimi, naam, Mimi ndiye, Wala hapana Mungu mwingine ila Mimi; Naua Mimi, nahuisha Mimi, Nimejeruhi, tena naponya; Wala hapana awezaye kuokoa katika mkono wangu
SRUV: Swahili Revised
Kama aliyekuumba anaua kwa nini ashindwe kuruhusu kuua tatizo unang'ang'ania isijui agano jipya la kale unaacha wakati yote ni biblia moja afu nashindwa kuelewa siku hiz mmeamua kutumia agano jipya la kale mmeacha sababu haliendani na matakwa yenu
Bro muombe Mungu akuongoze ktk haki yani uislam white ni white na black is black hakuna sijui hii ni cream or light black hapana.
Tizama agano la kale linakataza hata riba lkn hadi makanisa sasa hivi yanamilikia mabank yao tena yenye kutoa riba, ulaji wa haramu vimekatzwa lkn mnakula. Usisem siku ya kusimamishwa na mola wako mlezi ujibu useme hujakumbushwa.
Kumbusha ikiwa ukumbusho wafaa mm nimekukumbusha open ua eyes bro
Kum 23:19-25
Sasa unaijua Biblia halafu hata maana ya agano huijui!Naijua vzur biblia dont forget i am a revert alhamdulillah
Kuna visa vingi vya hayo matukio kuliko ukali wa kuwaandama na kuwazuia Watu wasipate chakula kipindi cha mfungo...laiti kama basi kungekuwa ni clean kwa kila jambo.Hili una uhakika nalo? Au kwavile mawazo yako ndiko yalikokupeleka?
Ni ajabu utakuta Jamii hiyo hiyo inawachukulia kawaida Watu wanaobaka, kulawiti na kudhulumu wengine lakini ni wakali kwa Watu wanaokula kisa tu ni kipindi cha mfungo.
Unapojudge kitu kuwa sio clean fanya judgement zako zisitoke juu ya hicho kitu, na unapojudge watu sio clean basi pia fanya judgement zako juu ya hao watu, lakini je huoni kuwa muingiliano wa watu ndio unasababisha watu hao wasiwe clean? Kaisome/tafuta historia ya Zanzibar zamani kipindi cha Karume/Jumbe then pia unaweza kuulizia kama kuna mtu alikuwa na uthubutu wa kula hadharani katika mchana wa Ramadhan utapata jibu. Na sio kula tu bali pia mwanaume kusuka/kuvaa hereni. Mnapenda sana kusababisha upotevu wa maadili kwa kisingizio kuwa mnachotendewa sio fair wakati mmekuta watu na utamaduni, silka, mila na desturi zao.Kuna visa vingi vya hayo matukio kuliko ukali wa kuwaandama na kuwazuia Watu wasipate chakula kipindi cha mfungo...laiti kama basi kungekuwa ni clean kwa kila jambo.
Kuna clip ilishakuja huju Mtu akishambuliwa kwa sababu tu wamemkuta anakula....ilinikera sana.
Yaani ukiona mtu yupo dini tofauti na yako na bado anakupokea vizuri na kutoingilia taratibu zako za kiimani,fahamu fika kuwa mtu huyo ni mwwnye ustaarabu na hekima juu ya Mambo ya kuvumiliana ktk Imani tofauti.Lkn kinyume na hapo hata km ni msomi,elimu yake ni bure.Kama haya usemayo ni kweli basi itakuwa mamlaka za Zanzibar bado haziujui Uislamu!
Mimi ni Mkristo by the way lakini nina ndugu Waislamu na ni watu wema sana kiasi najiuliza kwa nini dini hizi 2 zitofautiane kwa kiwango ambacho baadhi yetu tunaonyesha...
Wazee wa maguvu mengi.Sasa Wakristo mbona huwa tunafunga kimya kimya.Waislamu bwana, yaani wanataka kile wanachokiamini kila mmoja akiamini pia. Tena kwa nguvu!
Unamaanisha mchana kugeuzwa usiku?wANAJIITA WAMEFUNGA ILA daku WANALIAMKIA SAA 10 usiku...Funga yao ni ya Kunywa maji tu tena kwa masaa 12 ila kazi kutesa wengine.