Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Kuna kipindi cha redio,kinaitwa mawio cha asubuh mapema, kila siku ni kesi za kuwalawiti watoto kwa kweli inasikitisha, na watendaji wa kuu wa hivi vitendo ni mashekh na walim wa madrasa.
Weeee unasema kweli?
 
Waislamu tatizo lao walafi wa ubwabwa...punguzeni ulafi muweze kuji dhibiti.
 
Ni ajabu utakuta Jamii hiyo hiyo inawachukulia kawaida Watu wanaobaka, kulawiti na kudhulumu wengine lakini ni wakali kwa Watu wanaokula kisa tu ni kipindi cha mfungo.
 
Kwa hiyo Dini Inayofundisha Jihad(kuua) pale ambapo mtu unaona watu wanapinga mafundisho ya dini Husika ni Dini ya Mungu,
lakini Dini inayofundisha Kumpenda Kila mtu na kutokulipiza kisasi kabisa hiyo ni ya Shetani.

Yaani Dini ya Mungu inatufundisha Jino kwa Jino halafu dini ya Shetani inatufundisha Kumpenda kila mtu bila ya kulipiza visasi!

Hebu tumia basi hata akili ya kawaida tu ku-reason!
Kumbukumbu la Torati 32:39 SRUV

Fahamu sasa ya kuwa Mimi, naam, Mimi ndiye, Wala hapana Mungu mwingine ila Mimi; Naua Mimi, nahuisha Mimi, Nimejeruhi, tena naponya; Wala hapana awezaye kuokoa katika mkono wangu

SRUV: Swahili Revised

Kama aliyekuumba anaua kwa nini ashindwe kuruhusu kuua tatizo unang'ang'ania isijui agano jipya la kale unaacha wakati yote ni biblia moja afu nashindwa kuelewa siku hiz mmeamua kutumia agano jipya la kale mmeacha sababu haliendani na matakwa yenu
Bro muombe Mungu akuongoze ktk haki yani uislam white ni white na black is black hakuna sijui hii ni cream or light black hapana.
Tizama agano la kale linakataza hata riba lkn hadi makanisa sasa hivi yanamilikia mabank yao tena yenye kutoa riba, ulaji wa haramu vimekatzwa lkn mnakula. Usisem siku ya kusimamishwa na mola wako mlezi ujibu useme hujakumbushwa.
Kumbusha ikiwa ukumbusho wafaa mm nimekukumbusha open ua eyes bro
Kum 23:19-25
 
Ni ajabu utakuta Jamii hiyo hiyo inawachukulia kawaida Watu wanaobaka, kulawiti na kudhulumu wengine lakini ni wakali kwa Watu wanaokula kisa tu ni kipindi cha mfungo.
Hivi mbona wagumu kuelewa pamoja na kujitapa mna elimu? Narudia tena uislam upo mbali na huo ufirauni akibaka muislam kabaka yeye na sio dini yake imemwambia abake, dini inasema usiikurubie zinaa yani ukae mbali na vyote vitakavyokufanya wewe uingie kwenye zinaa sasa wap uislam unasema baka ikiwa haitaki hata uwe karibu na huyo wa kumbaka? Mipaka imeekwa mikubwa sana sema wanadamu kwa jeuri yao tu ndo wanavunja mipaka ya aliewaumba.
Mfano mwanamke apaswi kukaa ktk mazungumzo ya ovyo na mwanaume ambae si maharim wake sasa watu wakienda kinyume na haya sio uislam ila ni mwanadamu kakengeuka kama ambavyo mapdre wanakula mizigo huku wanaviapo vya kua watawa lkn wapi wanasema wakatoliki ni wazinzi? Ila chuki zisizo na sababu ndo zinafanya useme waislam
 
Ni ajabu utakuta Jamii hiyo hiyo inawachukulia kawaida Watu wanaobaka, kulawiti na kudhulumu wengine lakini ni wakali kwa Watu wanaokula kisa tu ni kipindi cha mfungo.
Hili una uhakika nalo? Au kwavile mawazo yako ndiko yalikokupeleka?
 
Hii ni tabia ya mfia Dini yeyote yule..hata wakristo pia nao utasikia wanasema Yesu ndio jibu la kila kitu hakuna Kingine!! [emoji16][emoji16][emoji16]
What a bless to die in islam a beutiful religion of my Creator.
I will be an honour wallah to die in islam. May Allah grant this to me and alla the muslims all over the world na zaidi akupe na wewe mwanga uwe mfia dini. Ts real an honout
 
Kumbukumbu la Torati 32:39 SRUV

Fahamu sasa ya kuwa Mimi, naam, Mimi ndiye, Wala hapana Mungu mwingine ila Mimi; Naua Mimi, nahuisha Mimi, Nimejeruhi, tena naponya; Wala hapana awezaye kuokoa katika mkono wangu

SRUV: Swahili Revised

Kama aliyekuumba anaua kwa nini ashindwe kuruhusu kuua tatizo unang'ang'ania isijui agano jipya la kale unaacha wakati yote ni biblia moja afu nashindwa kuelewa siku hiz mmeamua kutumia agano jipya la kale mmeacha sababu haliendani na matakwa yenu
Bro muombe Mungu akuongoze ktk haki yani uislam white ni white na black is black hakuna sijui hii ni cream or light black hapana.
Tizama agano la kale linakataza hata riba lkn hadi makanisa sasa hivi yanamilikia mabank yao tena yenye kutoa riba, ulaji wa haramu vimekatzwa lkn mnakula. Usisem siku ya kusimamishwa na mola wako mlezi ujibu useme hujakumbushwa.
Kumbusha ikiwa ukumbusho wafaa mm nimekukumbusha open ua eyes bro
Kum 23:19-25
Wewe unayesema unaijua Biblia ndio unasema agano ni vitabu?
Una safari ndefu sana ya kujua Biblia.

Agano la kale ni nini?
Agano jipya ni nini?

Aliyekwambia Agano la kale/jipya ni yale makundi ya vitabu ni nani?

Kwa kukusadia tu, Agano la kale SIO VITABU vya Mwanzo-Malaki.... na Agano jipya SIO VITABU vya Mathayo-Ufunuo.

Hii ni mada nyingine,ianzishie uzi wake nami nitakuja huko.

TURUDI KWENYE SWALI LETU LA MSINGI NILILOULIZA
 
Naijua vzur biblia dont forget i am a revert alhamdulillah
 
Kumbukumbu la Torati 32:39 SRUV

Fahamu sasa ya kuwa Mimi, naam, Mimi ndiye, Wala hapana Mungu mwingine ila Mimi; Naua Mimi, nahuisha Mimi, Nimejeruhi, tena naponya; Wala hapana awezaye kuokoa katika mkono wangu

SRUV: Swahili Revised

Kama aliyekuumba anaua kwa nini ashindwe kuruhusu kuua tatizo unang'ang'ania isijui agano jipya la kale unaacha wakati yote ni biblia moja afu nashindwa kuelewa siku hiz mmeamua kutumia agano jipya la kale mmeacha sababu haliendani na matakwa yenu
Bro muombe Mungu akuongoze ktk haki yani uislam white ni white na black is black hakuna sijui hii ni cream or light black hapana.
Tizama agano la kale linakataza hata riba lkn hadi makanisa sasa hivi yanamilikia mabank yao tena yenye kutoa riba, ulaji wa haramu vimekatzwa lkn mnakula. Usisem siku ya kusimamishwa na mola wako mlezi ujibu useme hujakumbushwa.
Kumbusha ikiwa ukumbusho wafaa mm nimekukumbusha open ua eyes bro
Kum 23:19-25
Mungu wetu anaua, ndio maana amesema Kisasi ni Juu yake. Yeye ndiye Mwenye kisasi na ndiye anayeua na kuhukumu, YEYE.

Hiyo sio kazi yetu wanadamu...na AMETUKATAZA Sisi tusilipe kisasi na tusiue.

Yesu alisema "Barikini Wala Msilaani, Wabarikini wale wote wanaowaudhi"

Upande wa pili Mungu wao amewaruhusu Waue wale wote ambao hawakubaliani na mafundisho ya huyo Mungu...halafu hiyo dini inajiita "the religion of peace"

Bado tu huoni tatizo mkuu?
 
Hili una uhakika nalo? Au kwavile mawazo yako ndiko yalikokupeleka?
Kuna visa vingi vya hayo matukio kuliko ukali wa kuwaandama na kuwazuia Watu wasipate chakula kipindi cha mfungo...laiti kama basi kungekuwa ni clean kwa kila jambo.

Kuna clip ilishakuja huju Mtu akishambuliwa kwa sababu tu wamemkuta anakula....ilinikera sana.
 
Ni ajabu utakuta Jamii hiyo hiyo inawachukulia kawaida Watu wanaobaka, kulawiti na kudhulumu wengine lakini ni wakali kwa Watu wanaokula kisa tu ni kipindi cha mfungo.

Hapo nilipo bold ndicho nilichomaanisha, una uhakika na hicho ulichokiaema au kwa vile mawazo yako ndio yamekupeleka huko?

Kuna visa vingi vya hayo matukio kuliko ukali wa kuwaandama na kuwazuia Watu wasipate chakula kipindi cha mfungo...laiti kama basi kungekuwa ni clean kwa kila jambo.

Kuna clip ilishakuja huju Mtu akishambuliwa kwa sababu tu wamemkuta anakula....ilinikera sana.
Unapojudge kitu kuwa sio clean fanya judgement zako zisitoke juu ya hicho kitu, na unapojudge watu sio clean basi pia fanya judgement zako juu ya hao watu, lakini je huoni kuwa muingiliano wa watu ndio unasababisha watu hao wasiwe clean? Kaisome/tafuta historia ya Zanzibar zamani kipindi cha Karume/Jumbe then pia unaweza kuulizia kama kuna mtu alikuwa na uthubutu wa kula hadharani katika mchana wa Ramadhan utapata jibu. Na sio kula tu bali pia mwanaume kusuka/kuvaa hereni. Mnapenda sana kusababisha upotevu wa maadili kwa kisingizio kuwa mnachotendewa sio fair wakati mmekuta watu na utamaduni, silka, mila na desturi zao.
 
Kama haya usemayo ni kweli basi itakuwa mamlaka za Zanzibar bado haziujui Uislamu!

Mimi ni Mkristo by the way lakini nina ndugu Waislamu na ni watu wema sana kiasi najiuliza kwa nini dini hizi 2 zitofautiane kwa kiwango ambacho baadhi yetu tunaonyesha...
Yaani ukiona mtu yupo dini tofauti na yako na bado anakupokea vizuri na kutoingilia taratibu zako za kiimani,fahamu fika kuwa mtu huyo ni mwwnye ustaarabu na hekima juu ya Mambo ya kuvumiliana ktk Imani tofauti.Lkn kinyume na hapo hata km ni msomi,elimu yake ni bure.
 
Back
Top Bottom