Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Waislamu bwana, yaani wanataka kile wanachokiamini kila mmoja akiamini pia. Tena kwa nguvu!
Kua mkweli, hakuna Muislam anaekulazimisha chochote kile. Soma Uislam unafundisha nini:

Qur'an 3:64. Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Njooni kwenye neno lilio sawa baina yetu na nyinyi: Ya kwamba tusimuabudu yeyote ila Mwenyezi Mungu, wala tusimshirikishe na chochote; wala tusifanyane sisi kwa sisi kuwa Waola Walezi badala ya Mwenyezi Mungu. Na wakigeuka basi semeni: Shuhudi- eni ya kwamba sisi ni Waislamu.

"watu wa kitabu" ni jina la heshima lililopewa wayahudi na wakristo katika qurani takatifu. Waislamu wameamriwa kukaribisha hapa - "enyi watu wa kitabu!" - o watu waliosoma! o watu ambao wanadai kuwa wapokeaji wa ufunuo wa kimungu, wa maandiko matakatifu; wacha tukusanyike pamoja kwenye jukwaa la kawaida - "kwamba tumuabudu mwingine ila mungu" , kwa sababu hakuna mungu ila anayestahili kuabudiwa, sio kwa sababu "Bwana mungu wako ni mungu mwenye wivu anayetembelea maswali ya baba juu ya watoto hadi wa tatu na kizazi cha nne cha wale wanichukiao. "(Kutoka 20: 5j. lakini kwa sababu yeye ndiye bwana na mtunzaji wetu, mtunzaji wetu na mtoaji, anayestahili sifa zote, sala na ibada.

katika dhana ya Wayahudi na Wakristo watakubali mapendekezo yote matatu yaliyomo katika aya hii ya qurani. kwa vitendo wanashindwa. mbali na mapungufu ya kimafundisho kutoka kwa umoja wa mungu mmoja wa kweli, (allah subhanahu wa ta-ala) kuna swali la ukuhani uliowekwa wakfu (kati ya wayahudi ilikuwa urithi pia), kana kwamba ni mwanadamu tu - kohen, au papa , au kuhani, au brahman, - anaweza kudai ubora zaidi ya ujifunzaji wake na usafi wa maisha yake, au anaweza kusimama kati ya mtu na mungu kwa maana fulani maalum. Uislamu hautambui ukuhani!
Imani ya Uislam tumepewa hapa kwa kifupi:

Sema: Tunamwamini Mwenyezi Mungu, na ufunuo tuliopewa sisi, na Ibrahim, Ismail, Isaka, Yakobo na makabila, na waliopewa Musa na Yesu na waliopewa manabii wote kutoka kwa Mola wao Mlezi. : hatutofautishi kati yao na mwingine wao: na tunamsujudia Mwenyezi Mungu (katika Uislamu). (sura baqarah) qurani takatifu 2: 136
 
Sasa si ukale huko na wazungu?unalaximisha watu waliosimamia imani zao waxivunje?mbona hujakatazwa kwenda kula huko kanisani?na si umesema wanapika?unataka wapike hata waliofunga ambao wanatakiwa kufuturisha tu?
 
Mazingira ya maisha hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa Ramadan kwa Wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida.

Mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa, ukiwa Mwanakwerekwe napo inabidi uende pale Kanisani, ukiwa maeneo ya Mbweni itabidi uende kanisani ndio kuna kimgahawa hapo utapata chakula, ila kwa siku ya leo kuna kitu kimenikera sana baada ya kukosa chakula kanisani ikabidi nipelekwe sehemu ya mafichoni kunapouzwa chakula, nimefika na chakula nimepata ila mazingira ya kukaa pamoja ulaji sio mzuri kwa sababu unakula kwa hofu kwamba muda wowote mnaweza kamatwa.na kama una familia yako huku basi kama mkeo anataka kupika ni marufuku kupikia nje inatakiwa kila kitu amalize humo humo ndani na ukikamatwa unapelekwa jela mpaka mwezi uishe ndio unaachiwa.

Lakini hivi vitu vinafanyika kwa ngozi nyeusi kwa nyeusi,ngozi nyeupe haiguswi na hii dhihaka, wazungu wanakula na kunywa muda wowote na hotel/ mabaa yao yako wazi muda wote, ombi langu kwa waislamu ni kwamba waache tabia za unafiki wa kubagua maana kwa mtindo huu hata thwawabu sidhani kama mtapata.
Hiyo ni Kero ya Muungano.
 
Ingia base mikahawani wanamoingia wazungu !!
 
Yaani mpka leo sijuhi watalii uwa wanafuata nn Zanzibar. I treat Zanzibaris and their Islamic belief, as uncivilized community
Uncivilised is civilised, endelea kuchamba kwa makaratasi mpaka siku ukijua kama kutumia maji ni uncivilised au civilised.
 
Mazingira ya maisha hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa Ramadan kwa Wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida.

Mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa, ukiwa Mwanakwerekwe napo inabidi uende pale Kanisani, ukiwa maeneo ya Mbweni itabidi uende kanisani ndio kuna kimgahawa hapo utapata chakula, ila kwa siku ya leo kuna kitu kimenikera sana baada ya kukosa chakula kanisani ikabidi nipelekwe sehemu ya mafichoni kunapouzwa chakula, nimefika na chakula nimepata ila mazingira ya kukaa pamoja ulaji sio mzuri kwa sababu unakula kwa hofu kwamba muda wowote mnaweza kamatwa.na kama una familia yako huku basi kama mkeo anataka kupika ni marufuku kupikia nje inatakiwa kila kitu amalize humo humo ndani na ukikamatwa unapelekwa jela mpaka mwezi uishe ndio unaachiwa.

Lakini hivi vitu vinafanyika kwa ngozi nyeusi kwa nyeusi,ngozi nyeupe haiguswi na hii dhihaka, wazungu wanakula na kunywa muda wowote na hotel/ mabaa yao yako wazi muda wote, ombi langu kwa waislamu ni kwamba waache tabia za unafiki wa kubagua maana kwa mtindo huu hata thwawabu sidhani kama mtapata.
Walipo wazungu na ww nenda hapo ukale
 
Uncivilised is civilised, endelea kuchamba kwa makaratasi mpaka siku ukijua kama kutumia maji ni uncivilised au civilised.
Siwezi kbisa kuchu kua maji na kuchamba. Ukigusa kinyesi bahati mbaya unapotumia karatasi hata unawe na sabuni harufu haiishi. Je kushika na kuosha sehemu yote na vimaji vya kopo moja itaisha? Mmezoea harufu.
 
Kua mkweli, hakuna Muislam anaekulazimisha chochote kile. Soma Uislam unafundisha nini:

Qur'an 3:64. Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Njooni kwenye neno lilio sawa baina yetu na nyinyi: Ya kwamba tusimuabudu yeyote ila Mwenyezi Mungu, wala tusimshirikishe na chochote; wala tusifanyane sisi kwa sisi kuwa Waola Walezi badala ya Mwenyezi Mungu. Na wakigeuka basi semeni: Shuhudi- eni ya kwamba sisi ni Waislamu.

"watu wa kitabu" ni jina la heshima lililopewa wayahudi na wakristo katika qurani takatifu. Waislamu wameamriwa kukaribisha hapa - "enyi watu wa kitabu!" - o watu waliosoma! o watu ambao wanadai kuwa wapokeaji wa ufunuo wa kimungu, wa maandiko matakatifu; wacha tukusanyike pamoja kwenye jukwaa la kawaida - "kwamba tumuabudu mwingine ila mungu" , kwa sababu hakuna mungu ila anayestahili kuabudiwa, sio kwa sababu "Bwana mungu wako ni mungu mwenye wivu anayetembelea maswali ya baba juu ya watoto hadi wa tatu na kizazi cha nne cha wale wanichukiao. "(Kutoka 20: 5j. lakini kwa sababu yeye ndiye bwana na mtunzaji wetu, mtunzaji wetu na mtoaji, anayestahili sifa zote, sala na ibada.

katika dhana ya Wayahudi na Wakristo watakubali mapendekezo yote matatu yaliyomo katika aya hii ya qurani. kwa vitendo wanashindwa. mbali na mapungufu ya kimafundisho kutoka kwa umoja wa mungu mmoja wa kweli, (allah subhanahu wa ta-ala) kuna swali la ukuhani uliowekwa wakfu (kati ya wayahudi ilikuwa urithi pia), kana kwamba ni mwanadamu tu - kohen, au papa , au kuhani, au brahman, - anaweza kudai ubora zaidi ya ujifunzaji wake na usafi wa maisha yake, au anaweza kusimama kati ya mtu na mungu kwa maana fulani maalum. Uislamu hautambui ukuhani!
Imani ya Uislam tumepewa hapa kwa kifupi:

Sema: Tunamwamini Mwenyezi Mungu, na ufunuo tuliopewa sisi, na Ibrahim, Ismail, Isaka, Yakobo na makabila, na waliopewa Musa na Yesu na waliopewa manabii wote kutoka kwa Mola wao Mlezi. : hatutofautishi kati yao na mwingine wao: na tunamsujudia Mwenyezi Mungu (katika Uislamu). (sura baqarah) qurani takatifu 2: 136
Faiza unakosea unapobisha kuwa hakuna muislamu anayemlazimisha kitu.. THE BEST WAY ILIKUWA NI KUULIZA KAMA KWELI YALIYOSEMWA YANATOKEA...
 
Ni upimbi tu, yaani inaonyesha wazi wazi kwamba waislamu hawawezi kujizuia kwenye mazingira yenye majaribu hivyo wanatumia nguvu kubwa mno kutoa mazingira ya majaribu.

Kama umefunga kwa imani hata jirani akipika pilau inanukia wewe kuwa na msimamo wako, sio kukataza
 
Sasa jitazame wewe, Zanzibar unaambiwa usile njiani mwezi wa Ramadhani, uroho unakufanya uje hapa kulalamika.

Hapo sasa.
Sasa Mimi nisiye muislamu inanihusu Nini? Kwann mlazimishe wengine wafunge kwa interest zenu? Kwani wakristo wakifunga huwa wanazuia waislamu Kula?
 
Back
Top Bottom