TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Tundu Will never be maguJamanieeh sio mimi ninayesema haya bali watu wa kitaaa.
Sasa watu wameanza kutafuta Mbadala wa Dkt. Magufuli na wengine wakisema hakuna wasiwasi Tundu Lissu yupo mambo yatakuwa sawa.
Kwamba ni suala la muda tu Watanzania wavumilie haya yatapita.
Wanawafananisha Tundu Lissu na D John Magufuli kwa mambo mengi lakini machache yakiwa ni haya.
1. Sifa ya kuchapa kazi.
2. Sifa ya kutokata tamaa na kuyumbishwa.
3. Sifa ya kupenda elimu na kujifunza kila wakati.
4. Sifa ya uzalendo( hapa wanasema kuna tofauti ndogo tu)......hii sio mada ya leo.
5. Sifa ya kulinda rasilimali za Nchi.
Kwa jinsi mambo yanavyoenda kuna kila dalili wapenzi wa Magufuli na Wapenzi wa Tundu Lissu ndani ya vyama, nje ya vyama na hadi kule ndani ndani wataunganisha Nguvu mnamo 2025.
Ngoja tuone.
Magu hakua domokaya Wala hakujipendekeza kwa mabeberu