Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #21
Usimnyime Mksi Tundu Lissu labda kwa kuwa hakuwa Rais anayetoa Teuzi na maokoto.Ki ukweli kabisa, Lissu anaweza kuwa mzuri,, abadani, hawezi kufika kwa JPM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimnyime Mksi Tundu Lissu labda kwa kuwa hakuwa Rais anayetoa Teuzi na maokoto.Ki ukweli kabisa, Lissu anaweza kuwa mzuri,, abadani, hawezi kufika kwa JPM
Mfuate huko belgijiJamanieeh sio mimi ninayesema haya bali watu wa kitaaa.
Sasa watu wameanza kutafuta Mbadala wa Dkt. Magufuli na wengine wakisema hakuna wasiwasi Tundu Lissu yupo mambo yatakuwa sawa.
Kwamba ni suala la muda tu Watanzania wavumilie haya yatapita.
Wanawafananisha Tundu Lissu na D John Magufuli kwa mambo mengi lakini machache yakiwa ni haya.
1. Sifa ya kuchapa kazi.
2. Sifa ya kutokata tamaa na kuyumbishwa.
3. Sifa ya kupenda elimu na kujifunza kila wakati.
4. Sifa ya uzalendo( hapa wanasema kuna tofauti ndogo tu)......hii sio mada ya leo.
5. Sifa ya kulinda rasilimali za Nchi.
Kwa jinsi mambo yanavyoenda kuna kila dalili wapenzi wa Magufuli na Wapenzi wa Tundu Lissu ndani ya vyama, nje ya vyama na hadi kule ndani ndani wataunganisha Nguvu mnamo 2025.
Ngoja tuone.
Hii sio mada ua leo. Tuweke siku nyingineMfuate huko belgiji
Lissu aneua wangapi ?Jamanieeh sio mimi ninayesema haya bali watu wa kitaaa.
Sasa watu wameanza kutafuta Mbadala wa Dkt. Magufuli na wengine wakisema hakuna wasiwasi Tundu Lissu yupo mambo yatakuwa sawa.
Kwamba ni suala la muda tu Watanzania wavumilie haya yatapita.
Wanawafananisha Tundu Lissu na D John Magufuli kwa mambo mengi lakini machache yakiwa ni haya.
1. Sifa ya kuchapa kazi.
2. Sifa ya kutokata tamaa na kuyumbishwa.
3. Sifa ya kupenda elimu na kujifunza kila wakati.
4. Sifa ya uzalendo( hapa wanasema kuna tofauti ndogo tu)......hii sio mada ya leo.
5. Sifa ya kulinda rasilimali za Nchi.
Kwa jinsi mambo yanavyoenda kuna kila dalili wapenzi wa Magufuli na Wapenzi wa Tundu Lissu ndani ya vyama, nje ya vyama na hadi kule ndani ndani wataunganisha Nguvu mnamo 2025.
Ngoja tuone.
Pia watu hawa walitofautiana sana kwa mambo kadhaa.....lakini wazalendo wanasema wataweka tofautu hizo pembeni kwa maslahi ya Taifa hapo baadae
Ushahidi Utatuondolea Ukakasi.Lissu aneua wangapi ?
Haya bana😂😂😂Jamanieeh sio mimi ninayesema haya bali watu wa kitaaa.
Sasa watu wameanza kutafuta Mbadala wa Dkt. Magufuli na wengine wakisema hakuna wasiwasi Tundu Lissu yupo mambo yatakuwa sawa.
Kwamba ni suala la muda tu Watanzania wavumilie haya yatapita.
Wanawafananisha Tundu Lissu na D John Magufuli kwa mambo mengi lakini machache yakiwa ni haya.
1. Sifa ya kuchapa kazi.
2. Sifa ya kutokata tamaa na kuyumbishwa.
3. Sifa ya kupenda elimu na kujifunza kila wakati.
4. Sifa ya uzalendo( hapa wanasema kuna tofauti ndogo tu)......hii sio mada ya leo.
5. Sifa ya kulinda rasilimali za Nchi.
Kwa jinsi mambo yanavyoenda kuna kila dalili wapenzi wa Magufuli na Wapenzi wa Tundu Lissu ndani ya vyama, nje ya vyama na hadi kule ndani ndani wataunganisha Nguvu mnamo 2025.
Ngoja tuone.
tumsamehe tu! yaliyopita si ndwele.....Acha kumfananisha Lisu na jiwe. Jiwe ni mhalifu aliyepaswa kupelekwa The Hague kwa makosa ya uuaji, utekaji, uporaji na kupiga watu risasi.
Afe tena huko aliko.
Au we unasemajeHaya bana😂😂😂
Sema tu mahaba yako kwa Magu lakini hakuwa na influence sana kama unavyotaka kuaminisha watuHutoboi JamiiForums, wala hutoboi Uchaguzi wa Uraisi 2025 bila ya kumtaja Magufuli.
Hakuna njia.
Chagua kwa Umakini 2025
Rudisha kadi ya CCM wakusikie.
Walimu wa Mpwayugungu wanaandamana ohoo
Acha kumfananisha Magufuli (rip) na hizi takataka zingine kama lisu. Jifunze kuheshimiana na kuheshimu watu na achievements zao. Huo upuuzi peleka huko huko kitaani kwako.
Hehehe hii photo inachekesha sana. Anyway ngoja ninyamaze nisiwaudhi wapenzi wa jpm
influence yake imetikisa sera za Viongozi wengi Duniani! Hilo, halina Ubishi, mahaba or not, its a Fact.Sema tu mahaba yako kwa Magu lakini hakuwa na influence sana kama unavyotaka kuaminisha watu
Mmoja anapenda dezo na kula incapacity benefits za wazungu na mwingine aligoma hata kuwatembeleaTofauti kubwa ya Shujaa Magufuli na Jasiri Tundu Antipas Lisu ni kwamba JPM hakuwaogopa kabisa Wazungu lakini Lisu anawasujudia!
..Magufuli aliwaogopa wazungu ndio maana akakubali kishika uchumba toka kwa Barrick badala ya kuwadai usd 900 billion.Tofauti kubwa ya Shujaa Magufuli na Jasiri Tundu Antipas Lisu ni kwamba JPM hakuwaogopa kabisa Wazungu lakini Lisu anawasujudia!
Wenye AKILI tumekuelewa, umefikili vizuri positive, ubarikiwe!!Jamanieeh sio mimi ninayesema haya bali watu wa kitaaa.