Jinsi Tundu Lissu alivyofanana sana na Hayati Magufuli

Jamanieeh sio mimi ninayesema haya bali watu wa kitaaa.

Sasa watu wameanza kutafuta Mbadala wa Dkt. Magufuli na wengine wakisema hakuna wasiwasi Tundu Lissu yupo mambo yatakuwa sawa.

Kwamba ni suala la muda tu Watanzania wavumilie haya yatapita.

Wanawafananisha Tundu Lissu na D John Magufuli kwa mambo mengi lakini machache yakiwa ni haya.
1. Sifa ya kuchapa kazi.

2. Sifa ya kutokata tamaa na kuyumbishwa.

3. Sifa ya kupenda elimu na kujifunza kila wakati.

4. Sifa ya uzalendo( hapa wanasema kuna tofauti ndogo tu)......hii sio mada ya leo.

5. Sifa ya kulinda rasilimali za Nchi.

Kwa jinsi mambo yanavyoenda kuna kila dalili wapenzi wa Magufuli na Wapenzi wa Tundu Lissu ndani ya vyama, nje ya vyama na hadi kule ndani ndani wataunganisha Nguvu mnamo 2025.

Ngoja tuone.
Mfuate huko belgiji
 
Acha kumfananisha Magufuli (rip) na hizi takataka zingine kama lisu. Jifunze kuheshimiana na kuheshimu watu na achievements zao. Huo upuuzi peleka huko huko kitaani kwako.
 
Lissu aneua wangapi ?
 
Pia watu hawa walitofautiana sana kwa mambo kadhaa.....lakini wazalendo wanasema wataweka tofautu hizo pembeni kwa maslahi ya Taifa hapo baadae
screenshot_20230514-154115-2-jpg.2623924
 
Jamanieeh sio mimi ninayesema haya bali watu wa kitaaa.

Sasa watu wameanza kutafuta Mbadala wa Dkt. Magufuli na wengine wakisema hakuna wasiwasi Tundu Lissu yupo mambo yatakuwa sawa.

Kwamba ni suala la muda tu Watanzania wavumilie haya yatapita.

Wanawafananisha Tundu Lissu na D John Magufuli kwa mambo mengi lakini machache yakiwa ni haya.
1. Sifa ya kuchapa kazi.

2. Sifa ya kutokata tamaa na kuyumbishwa.

3. Sifa ya kupenda elimu na kujifunza kila wakati.

4. Sifa ya uzalendo( hapa wanasema kuna tofauti ndogo tu)......hii sio mada ya leo.

5. Sifa ya kulinda rasilimali za Nchi.

Kwa jinsi mambo yanavyoenda kuna kila dalili wapenzi wa Magufuli na Wapenzi wa Tundu Lissu ndani ya vyama, nje ya vyama na hadi kule ndani ndani wataunganisha Nguvu mnamo 2025.

Ngoja tuone.
Haya bana😂😂😂
 
Acha kumfananisha Lisu na jiwe. Jiwe ni mhalifu aliyepaswa kupelekwa The Hague kwa makosa ya uuaji, utekaji, uporaji na kupiga watu risasi.

Afe tena huko aliko.
tumsamehe tu! yaliyopita si ndwele.....
 
Hutoboi JamiiForums, wala hutoboi Uchaguzi wa Uraisi 2025 bila ya kumtaja Magufuli.

Hakuna njia.

Chagua kwa Umakini 2025
Rudisha kadi ya CCM wakusikie.
Walimu wa Mpwayugungu wanaandamana ohoo
 
Sema tu mahaba yako kwa Magu lakini hakuwa na influence sana kama unavyotaka kuaminisha watu
 
Kiburi cha madaraka kinakusumbua.......mkishateuliwa tuvyeo kidogo tu basi mnaona wengine ni Takataka.
Alikuwepo Sabaya na Jeuri kuzidi wewe kiko wapi sasa?
Acha kumfananisha Magufuli (rip) na hizi takataka zingine kama lisu. Jifunze kuheshimiana na kuheshimu watu na achievements zao. Huo upuuzi peleka huko huko kitaani kwako.
 
Sema tu mahaba yako kwa Magu lakini hakuwa na influence sana kama unavyotaka kuaminisha watu
influence yake imetikisa sera za Viongozi wengi Duniani! Hilo, halina Ubishi, mahaba or not, its a Fact.

Kuanzia, Afrika, Ulaya na Asia.

Punguza uhasimu, waweza kuwa Daktari mzuri tu wa bushi.
Amani
 
Tofauti kubwa ya Shujaa Magufuli na Jasiri Tundu Antipas Lisu ni kwamba JPM hakuwaogopa kabisa Wazungu lakini Lisu anawasujudia!
..Magufuli aliwaogopa wazungu ndio maana akakubali kishika uchumba toka kwa Barrick badala ya kuwadai usd 900 billion.

..Lissu amepambana na kutetea wananchi dhidi ya makampuni ya kigeni akiwa mwanaharakati wa kawaida. Hakusubiri awe amiri jeshi mkuu ndipo aeleze msimamo wake kuhusu dhuluma zinazofanywa na makampuni makubwa ya madini dhidi ya Watanzania.
 
Jamanieeh sio mimi ninayesema haya bali watu wa kitaaa.

Sasa watu wameanza kutafuta Mbadala wa Dkt. Magufuli na wengine wakisema hakuna wasiwasi Tundu Lissu yupo mambo yatakuwa sawa.

Kwamba ni suala la muda tu Watanzania wavumilie haya yatapita.

Wanawafananisha Tundu Lissu na D John Magufuli kwa mambo mengi lakini machache yakiwa ni haya.
1. Sifa ya kuchapa kazi.

2. Sifa ya kutokata tamaa na kuyumbishwa.

3. Sifa ya kupenda elimu na kujifunza kila wakati.

4. Sifa ya uzalendo( hapa wanasema kuna tofauti ndogo tu)......hii sio mada ya leo.

5. Sifa ya kulinda rasilimali za Nchi.

Kwa jinsi mambo yanavyoenda kuna kila dalili wapenzi wa Magufuli na Wapenzi wa Tundu Lissu ndani ya vyama, nje ya vyama na hadi kule ndani ndani wataunganisha Nguvu mnamo 2025.

Ngoja tuone.
Wenye AKILI tumekuelewa, umefikili vizuri positive, ubarikiwe!!
 
Back
Top Bottom