Jinsi Tundu Lissu alivyofanana sana na Hayati Magufuli

Tundu Will never be magu

Magu hakua domokaya Wala hakujipendekeza kwa mabeberu
 
Usodoma
 
Kiburi cha madaraka kinakusumbua.......mkishateuliwa tuvyeo kidogo tu basi mnaona wengine ni Takataka.
Alikuwepo Sabaya na Jeuri kuzidi wewe kiko wapi sasa?
Ni madaraka gani niliyonayo?
Ni cheo gani hicho cha kuteuliwa nilichonacho? Acha kuropoka bwashee.
Ukweli utabaki palepale, JPM huwezi kumlinganisha ni hizi takataka zenu. Kama unaumia nenda kajinyonge.
 
Tofauti kubwa baina yao ni kuwa Mwendazake alipuuza kabisa kuongoza Kwa mujibu wa sheria, wakati Tundu Lissu ni muumini mkubwa wa kufuata sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…