Jinsi uanaume unavyofanywa kuwa complicated siku hizi!

[emoji23][emoji23]Hakuna neno silipend mtu aniambie jomoni kha
Big problem I see today is lots of women complaining men aren’t manly enough, which I agree with, whilst also being blind to the fact that even if they could get a masculine man, they would fail to be the woman he wants and needs and thus struggle to hold onto him. Is quite sad.
 
Utakiwi ata kumuuliza mwanaume mwenzako za siku ...
 
Mwanaume kumwambia mwanaume mwenzake kuwa nimekumisi. ..👈
 
We jamaa naona umegomesha sida ambazo hata wewe unazo
 
Kuna mwingine hapa, kila muda ananipigia simu na kuniuliza nafanya nini, mara anaomba tupige story[emoji15]!

Hajawahi maliza siku bila kupiga mara tatu, au sms za "Nambie" Sio ndugu hata, yuko mkoani! Inakera kinouma! [emoji34]
Dogo una ushoga mwingi, jitathmini.
 
Sina hizo shida hizo kid
Hivi kwanini watu wengi wanaopinga vitu fulani au kufanya vitu fulani mara nyingi huwa wako kinyume na wanachokisema hadharani?
Kwa kuogopa judgment ya jamii utakuta watu wengi wanapretend ili kufurahisha wengine na kuogopa kuonekana wako kinyume na mtazamo wa wengi lakini nyuma ya pazia ukweli wanaujua wenyewe.

Ndio maana mimi siku zote nasemaga usiamni watu sababu watu wengi au wote ni wanafiki, au naongopa mkuu?
 
Uko sahii kabisa chief[emoji4][emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaha sa unamwambiaje mwanaume mwenzako usikumwema asee[emoji23][emoji23][emoji23] tena kwa txt!????

Labda mnaongea insue ya muhim af baadae ndo umalizie hvyo na kusepa

Me ata kama tulikuwa tunaongea huwa namaliza kimya kimya utashangaa nimekata simu au nikiamka vizur namaliza kwa kusema "oyah basi fresh" au "POA".
 
Mwanaume unamwambiaje mwanaume mwenzio UMEMMISS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…