FourTwoNet
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,236
- 2,512
Ebu tufafanulie ubaya unakuwa wapi kumwambia mwanaume mwenzio "usiku mwema"Kumwambia mwanaume mwenzio usiku mwema iyo hapana mkuu!! Eh! Apo haiwezi make. Mwanaume unamalizaga na "kesho" au "mida mida" au ukiona niaje unaweza sema "haina ile"
Mwanaume kutembezea mroro bakora mbona ndo yenyewe. Wife anafaa apewe kipigo cha mti wa muhogo mpaka pili pili iwe tomato sosi.
Kuongezea mada, mwanaume hafai kupenda mpaka ajielewi....yani anapenda mpaka hata hana time na machizi, mara aoshe vyombo home, mara wife ndo anamuambia waende out na ni wapi waende....iyo hapana tambua.
Oyaa njoo tuleAaah jamani Sasa unatakiwa kusema vp
Mkuu Jack Daniel ushakua Expert Member πMikausho fulani hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kwel hii kitu ina ukakasi sana.Kuna brother angu mmoja kanizid umeri mbali mbali mbali sana mtoto wa baba angu mkubwa alikua ananiletea hiz pigo nikawa simwelewi..nikakata mawasiliano..baada ya muda siku akanitumia text I mic u e bwana eee japo nilikua namheshim kama brother ila siku hiyo nikajikaza nikamwambia kaka mimi najiskia vibaya sana kuambiwa neno hili na mwanaume mwenzangu ..nahis ni kama nimetukanwa ...bas akaleta blah blah pale ..nikamtonya brother angu first born wetu kuhusu hili suala...akanambia kaa nae mbali sana tena kata mazoea..hakutaka kuwa muwaz kwann kasema hivyo..ila baadae nikaja gundua ndugu yetu yule sio riziki..yan bwabwa...Hahahh au unatumiwa text ya mambo na mwanaume mwenzako si umama huo.
Unamwambia moro man,Kha! Unamwambiaje mwanaume mwenzio?
Haiji mkuu...sio mbaya kuisema lakini pia sio poa kuisema yani. Izo ni vitu za kuambia mbususu kwenye hali ya kuzipanga kabla ya kuzitumbua... na ukishazitumbua hapana ziambia maswala ya usiku mwema tena.Ebu tufafanulie ubaya unakuwa wapi kumwambia mwanaume mwenzio "usiku mwema"
Yaani ubaya wake ni nini..?
Ha haaaCode za kiume/kihuni:
Rafiki - Mwanangu, Homboi, kichaa, msela, buda.
Salamu - Oi!, Niaje?, Kama kawa?, Freshii?
Kuagana - Mida Mida, Najikataa, Nacheza, Hivii!
Vivumishi - Kmmmk walai, msng, choko, Nyokow,
Mushy codes/ Gay Codes:
Rafiki - Best, Udugu, Twini, Shooh, mai wangu.
Salamu - Mambo, Mzima, Za wewe, Upoo.
Kuagana - Bye, Ntakumiso, Usiondoke
Vivumishi - Jomoni, Wacha we, ilooh, Zurii, Bayaa,akuu.
Choose your destinyπππ
Mengine ni mtu na mtu
Nshauguza mshikaji wangu tulkuw ghetto mwaka wa kwanza mpaka anapona ni kama 4 days hoi hoi lakin hata pole sikumpa ni nahakikisha anakula kila kitu kipo dawa anakunywa safi tu hadi akapona
πππKwa Nini hamtakiwi kula ndizi mbivu jamani?za kupika zinaruhusiwa?......MWANAUME HUTAKIWI KUFANYA YAFUATAYO
KUTUMIA
EMOJI
KUBLOCK MTU
KUWEKA STATUS WHATSAP
KUWA NA DEMU MMOJA
UKIOMBWA NAMBA YA DEMU KAMA UNAYO USISEME HAUNA
SIKU ZOTE UKO UPANDE WA WANA BROS BEFORE HOES
MWANAUME HUTAKIWI KULA NDIZI ZA KUIVA
LAZIMA KTK MAONGEZI UTUMIE MATUSI
LAZIMA UWE SHABIKI WA MPIRA
UKIGONGA NI RUKSA KUMPASIA MWANA NAMBA NA YEYE AGONGE
LAZIMA UWE MUONGO KWA WANAWAKE
HUTAKIWI KUJIELEZA SANA
HUTAKIWI KUWA NA BODA BODA WAKO
NI MARUFUKU KUPENDA KULA CHIPS YAI
π€£π€£π€£Code za kiume/kihuni:
Rafiki - Mwanangu, Homboi, kichaa, msela, buda.
Salamu - Oi!, Niaje?, Kama kawa?, Freshii?
Kuagana - Mida Mida, Najikataa, Nacheza, Hivii!
Vivumishi - Kmmmk walai, msng, choko, Nyokow,
Mushy codes/ Gay Codes:
Rafiki - Best, Udugu, Twini, Shooh, mai wangu.
Salamu - Mambo, Mzima, Za wewe, Upoo.
Kuagana - Bye, Ntakumiso, Usiondoke
Vivumishi - Jomoni, Wacha we, ilooh, Zurii, Bayaa,akuu.
Choose your destinyπππ
Ni story ndefu sana[emoji1][emoji1][emoji1]Kwa Nini hamtakiwi kula ndizi mbivu jamani?za kupika zinaruhusiwa?......
πππππ[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] fala sana we jamaa