Jinsi unavyoweza kuagiza mabelo ya mtumba kutoka China na Dubai kwa bei chee na kupata faida mara 2 au 3 zaidi

May be ila tafuta clearance agent mapema
 
Wakuu nimekuja na wazo jingine kuhusu wasafirishaji na hasa baada ya hawa ngozi nyeusi wenzetu kupandisha bei. Hebu tujaribu makampun ya wachina, mbona yapo makampuni mengi ya wachina? Au mnasemaje?
 
Yataje n weka bei zao. Na location y ofisi zao
 
Wakuu nimekuja na wazo jingine kuhusu wasafirishaji na hasa baada ya hawa ngozi nyeusi wenzetu kupandisha bei. Hebu tujaribu makampun ya wachina, mbona yapo makampuni mengi ya wachina? Au mnasemaje?
Lete maneno
 
Asante sana Mkuu
 
Asante sana mkuu....naweza pata namba ya CHINA wanaouza VIATU VYA MTUMBA VYA WATOTO????? Au yeyote ambaye amewah agiza viatu vya mtumba vya watoto na je kwenye BELO vinakaa viatu vingapi mazimum?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…