Jinsi unavyoweza kuagiza mabelo ya mtumba kutoka China na Dubai kwa bei chee na kupata faida mara 2 au 3 zaidi

Mchina kaniuliza hivi👇

Can I know your supplier's port?

naomba kujua pale bandarini Supplier port ndo nani?
 
Mchana wangu Umebarikiwa sana baada ya kusoma huu uzi ubarikiwe sana mtoa mada
Nitaufanyia kazi nitaleta mrejesho
 
 
Guys, kwa China na recommend huyu Supplier ana blouse Kali sana ila ni Silk, kampuni yao ni Gracer unaeza wasearch Alibaba. 100 na 45 kg anakubali..pia ana namba za WhatsApp
Aisee ni kweli kabisa nimetoka kuagiza kwao kiukweli wana mzigo mzuri sana. Mimi niliagiza cotton dress
 
Shida washasema cost za mzigo kufika ni $700 per cbm 1 kitu ambacho ni cost sana. Usafiri unazidi bei ya mzigo yaani mzigo wa laki 6 unalipia Tsh.1,400,000. Au nguo ni cbm 0.1 kama ndivyo.

chukua 1cbm=$700
0.1cbm=???? Jibu ni belo la 100kg ni 70$
Gharama ya kusafirisha belo 100kg ni sh.140K

Baada ya kusoma huu uzi nimefanya calculation zangu nimepata hivo....
 
Huyu mchina ana nguo mbovu tatizo nimeulizia Grade B chekini Bei.
 

Attachments

  • Screenshot_20230511-051117_WhatsAppBusiness.jpg
    103.6 KB · Views: 92
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…