Jinsi unavyoweza kuagiza mabelo ya mtumba kutoka China na Dubai kwa bei chee na kupata faida mara 2 au 3 zaidi

nimependa ulivyo andika kwa ufafanuzi mzuri. toa ufafanuzi kwa faida ya wote watakao taka kufanya biashara hii, mbona bei ni 600,000 kwa belo la kg100 grade A huko china wkt hapa hapa bongo kwa grade hiyo hiyo na uzito huo huo wanauza 340,000? ufafanuzi pls!!!
Shida ya wabongo mzigo ukitoka China wanaanza kuugrade upya then wanakwambia hili balo ni Grade A kabisa, ni uhuni wa mwisho
 
nimependa ulivyo andika kwa ufafanuzi mzuri. toa ufafanuzi kwa faida ya wote watakao taka kufanya biashara hii, mbona bei ni 600,000 kwa belo la kg100 grade A huko china wkt hapa hapa bongo kwa grade hiyo hiyo na uzito huo huo wanauza 340,000? ufafanuzi pls!!!
Wapi huko wanauza grade A kwa 340? [emoji44] au hii bei sio ya mwaka huu.
 
Back
Top Bottom