Oranoo
Member
- Apr 11, 2020
- 56
- 184
- Thread starter
- #21
Shida ya wabongo mzigo ukitoka China wanaanza kuugrade upya then wanakwambia hili balo ni Grade A kabisa, ni uhuni wa mwishonimependa ulivyo andika kwa ufafanuzi mzuri. toa ufafanuzi kwa faida ya wote watakao taka kufanya biashara hii, mbona bei ni 600,000 kwa belo la kg100 grade A huko china wkt hapa hapa bongo kwa grade hiyo hiyo na uzito huo huo wanauza 340,000? ufafanuzi pls!!!