Palina
JF-Expert Member
- Oct 9, 2021
- 3,551
- 9,522
Mkuu asante sana naona Deedpoll iko poa.Affidavit Kama mfano kwenye cheti cha kuzaliwa unaitwa pau bae na vya elimu unaitwa pau montanna ni hati ya utambulisho ya kukubali majina yote ni yako
Fika mahakamani au ofisi yeyote ya mwanasheria na msimbazi wako unaipata
Deed pol ni kwamba kwenye cheti cha kuzaliwa na pau bae na vya elimu ni pau montane hivyo basi nalikataa jina la pau bae nataka nijulikane na jina moja tuu pau Montana hiyo ndio deep pol unabidil jina
Fika mahakamani au kwa mwanasheria atakupa utaratibu utaenda ofisi ya msajili ardhi utalipia pia kuipata ni after 3 days I guess na gharama zake kubwa kidogo
Sasa hapo wewe utachagua which is which kwa matakwa yako