Jinsi Utumishi walivyotuzuia watu zaidi 50 tusiingie kufanya usaili wa ajira

Jinsi Utumishi walivyotuzuia watu zaidi 50 tusiingie kufanya usaili wa ajira

Yaani kuna watu muna vichaa kweli.
Wakuache ufanye mtihani then ukirudi nyumbani ndipo ukarekebishe tatizo 😝😝😝😝
Kama linarekebishika kwanini hukurekebisha awali?
Nawadharau sana watu wasiokuwa makini katika maisha.
Mimi nina mdogo wangu ningeweza kumuunganishia ajira ofisini kwetu au kwingineko ila mavyeti yake yametofautiana majina.
Cha kuzaliwa na form 4 jina moja, cha udereva na NIDA jina tofauti.
Basi kabaki kuwa bodaboda.
Kuweni makini, dunia Iko busy zaidi ya mnavyofikiria.
Zamani sisi tulikuwa tulipigwa simu mara mbilimbili kuombwa tukaripoti kazini sasa hivi usipojielewa imekula kwako
We acha kujimwamba fai, deed pool Kazi yake Nini ? Kama una nia ya kumsaisaidia nduguyo.. unless unatafuta tu Sababu ya kutomsaidia
 
Na kwa aliyepoteza vyeti vya form 4 na six inatakiwa aende na kitu gani ili akubaliwe kuingia. Msaada please
 
haina shida ili mradi nida na cha kuzaliwa kiwe na ilo jina amina abdallah msakatonge, angalizo vyeti kuwa na majina mawili si tatizo ili mradi hayo majina mawili yapo kwenyw kitambulisho cha nida pamoja na cheti cha kuzaliwa na yanafanana sio cha kuzaliwa abdallah cha nida abdala umeenda na maji

nida amina abdallah msakatonge

cheti cha kuzaliwa amina jina la baba abdallah msakatonge

hapo hamna tatizo kabisa
Mi yangu iko hivi
Academic zote nasomeka Bube Bilikesi ila nida inasoma Bube Katarahiya Bilikesi
Je kuna tatizo?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Affidavit Kama mfano kwenye cheti cha kuzaliwa unaitwa pau bae na vya elimu unaitwa pau montanna ni hati ya utambulisho ya kukubali majina yote ni yako

Fika mahakamani au ofisi yeyote ya mwanasheria na msimbazi wako unaipata



Deed pol ni kwamba kwenye cheti cha kuzaliwa na pau bae na vya elimu ni pau montane hivyo basi nalikataa jina la pau bae nataka nijulikane na jina moja tuu pau Montana hiyo ndio deep pol unabidil jina

Fika mahakamani au kwa mwanasheria atakupa utaratibu utaenda ofisi ya msajili ardhi utalipia pia kuipata ni after 3 days I guess na gharama zake kubwa kidogo


Sasa hapo wewe utachagua which is which kwa matakwa yako
Mkuu mfano cheti cha kuzaliwa jina limeishia na AZIZY na kwenye vyeti vya shule na vitambulisho jina limeishia na AZIZI, hivi kuna shida hapo?
 
Ni kweli utumishi wanataka kitambulisho cha Nida na sio kitambulisho cha mpiga kula? Naomba tusaidiane hapa.
 
Na kwa aliyepoteza vyeti vya form 4 na six inatakiwa aende na kitu gani ili akubaliwe kuingia. Msaada please
hapo inakua imeisha iyo. Kunajamaa yangu alipoteza izo zaga jamaa kasafiri mpaka necta dar kutoka ngara ila kaambulia maneno matupu.
 
Mfano jamani,kuna jamaa majina ya nida na cheti cha kuzaliwa vipo sawa,isipokuwa nida wakati anaandikisha sehemu aliyozaliwa ni tofauti na cheti cha kuzaliwa,mfano nida aliandika alizaliwa mwanza,ila cheti cha kuzaliwa kimeandikwa amezaliwa Dar,je hii kesi napo ikoje
Kwa issue ya ajiraportal umetoboa maana hv vitambulishso vya NIDA. havioneshi ulipozaliwa labda wacheck taarifa zako kwenye mfumo huko
 
haina shida ili mradi nida na cha kuzaliwa kiwe na ilo jina amina abdallah msakatonge, angalizo vyeti kuwa na majina mawili si tatizo ili mradi hayo majina mawili yapo kwenyw kitambulisho cha nida pamoja na cheti cha kuzaliwa na yanafanana sio cha kuzaliwa abdallah cha nida abdala umeenda na maji

nida amina abdallah msakatonge

cheti cha kuzaliwa amina jina la baba abdallah msakatonge

hapo hamna tatizo kabisa
Ambao hatuna iyo NIDA inakuwaje
Na je kama miaka ni tofauti kwenye NIDA na kwenye cheti cha kuzaliwa utaratibu ni upi
 
Back
Top Bottom