Jinsi Utumishi walivyotuzuia watu zaidi 50 tusiingie kufanya usaili wa ajira

Jinsi Utumishi walivyotuzuia watu zaidi 50 tusiingie kufanya usaili wa ajira

haina shida ili mradi nida na cha kuzaliwa kiwe na ilo jina amina abdallah msakatonge, angalizo vyeti kuwa na majina mawili si tatizo ili mradi hayo majina mawili yapo kwenyw kitambulisho cha nida pamoja na cheti cha kuzaliwa na yanafanana sio cha kuzaliwa abdallah cha nida abdala umeenda na maji

nida amina abdallah msakatonge

cheti cha kuzaliwa amina jina la baba abdallah msakatonge

hapo hamna tatizo kabisa

Mkuu kwa mfano vyeti vya shule jina MICHAEL PROTAS IDDI na nida ni MICHAEL IDDI PROTAS nafanyaje hapo
 
Nauliza kama kitambulisho hujapata na namba ya nida unayo kuna shida ? Naombeni msaaada
 
Affidavit Kama mfano kwenye cheti cha kuzaliwa unaitwa pau bae na vya elimu unaitwa pau montanna ni hati ya utambulisho ya kukubali majina yote ni yako

Fika mahakamani au ofisi yeyote ya mwanasheria na msimbazi wako unaipata



Deed pol ni kwamba kwenye cheti cha kuzaliwa na pau bae na vya elimu ni pau montane hivyo basi nalikataa jina la pau bae nataka nijulikane na jina moja tuu pau Montana hiyo ndio deep pol unabidil jina

Fika mahakamani au kwa mwanasheria atakupa utaratibu utaenda ofisi ya msajili ardhi utalipia pia kuipata ni after 3 days I guess na gharama zake kubwa kidogo


Sasa hapo wewe utachagua which is which kwa matakwa yako
Mkuu hivi kama hujapata kitambulisho cha nida hakijatoka lakini namba ipo kuna shida ??
 
Poleni sana bt interviewer kazi yao kubwa ni kutafuta makosa ili kupunguza idadi ya watu...hvo next term ukienda hakikisha umekamilika.
 
Nimepata uthibitisho kutoka kwa mwanasheria, tukutane Dom wakinilamba kichwa nawaachia wao
 
Kama namba ya nida ninayo ila kitambulisho sijapata , kuna shida kwenye kuruhusiwa kuingia kwenye interview
Huruhisiwi utaliwa kichwa mzee nenda na na kitambulisho cha mkazi Toka serikali ya mtaaa
 
Nadhani hiyo ndiyo njia mojawapo ya kufanya Shortlist! Waombaji ni wengi.
Lakini huko tunakokwenda hakikisha taarifa zako ziko sahihi.
 
Mfano jamani,kuna jamaa majina ya nida na cheti cha kuzaliwa vipo sawa,isipokuwa nida wakati anaandikisha sehemu aliyozaliwa ni tofauti na cheti cha kuzaliwa,mfano nida aliandika alizaliwa mwanza,ila cheti cha kuzaliwa kimeandikwa amezaliwa Dar,je hii kesi napo ikoje

Akiweza atafute cheti cha kuzaliwa kuonesha kazaliwa Mwanza maana kwenda kuedit Nida naona mlolongo mrefu zaidi
 
Mkuu mfano cheti cha kuzaliwa jina limeishia na AZIZY na kwenye vyeti vya shule na vitambulisho jina limeishia na AZIZI, hivi kuna shida hapo?

Tofauti teyari. Tafuta kipya cha kuzaliwa ni rahisi kuliko kupambana na hivyo vingine imeshawah nikuta tofauti ya kwenye Mohamedi na Mohamed
 
We acha kujimwamba fai, deed pool Kazi yake Nini ? Kama una nia ya kumsaisaidia nduguyo.. unless unatafuta tu Sababu ya kutomsaidia
Ni mpuuzi sana dosari zinarekebishika analeta mambo yake ya ukale, sasa kwa nini kuna option ya kufanya mabadiliko. Huyu jamaa atakua nshomile mifisa tu hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom