Jinsi Utumishi walivyotuzuia watu zaidi 50 tusiingie kufanya usaili wa ajira

Jinsi Utumishi walivyotuzuia watu zaidi 50 tusiingie kufanya usaili wa ajira

Wakuu vipi kama infor zitakuwa Hivi je kitakuwa na tatizo ?

NIDA,Cha kuzaliwa,cheti Cha stashahada na cheti Cha shahada vyote jina ni RAMADHANI SAID AHMED, ila cheti Cha astashahada jina ni RAMADHANI S. AHMED, vipi wakuu hapo Kuna tatizo ?
 
haina shida ili mradi nida na cha kuzaliwa kiwe na ilo jina amina abdallah msakatonge, angalizo vyeti kuwa na majina mawili si tatizo ili mradi hayo majina mawili yapo kwenyw kitambulisho cha nida pamoja na cheti cha kuzaliwa na yanafanana sio cha kuzaliwa abdallah cha nida abdala umeenda na maji

nida amina abdallah msakatonge

cheti cha kuzaliwa amina jina la baba abdallah msakatonge

hapo hamna tatizo kabisa
Mkuu vipi mwaka wa kuzaliwa ukiwa tofauti kwenye nida na cheti cha kuzaliwa.
 
Back
Top Bottom