Jinsi Utumishi walivyotuzuia watu zaidi 50 tusiingie kufanya usaili wa ajira

Kwenye vyeti vya elimu anatumia Amina Abdallah,
Kwenye nida anatumia Amina Abdallah Msakatonge.
JE MTU KAMA HUYU ATAHITAJIKA KWENDA KUTHIBITISHA MAJINA???

cc Kunguru wa Manzese
Kwenye interview za Utumishi atapita, ila akipata kazi deadpoll inamhusu kule Kwa system ladhima awe na majina matatu
 
We acha kujimwamba fai, deed pool Kazi yake Nini ? Kama una nia ya kumsaisaidia nduguyo.. unless unatafuta tu Sababu ya kutomsaidia
 
Na kwa aliyepoteza vyeti vya form 4 na six inatakiwa aende na kitu gani ili akubaliwe kuingia. Msaada please
 
Mi yangu iko hivi
Academic zote nasomeka Bube Bilikesi ila nida inasoma Bube Katarahiya Bilikesi
Je kuna tatizo?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mfano cheti cha kuzaliwa jina limeishia na AZIZY na kwenye vyeti vya shule na vitambulisho jina limeishia na AZIZI, hivi kuna shida hapo?
 
Ni kweli utumishi wanataka kitambulisho cha Nida na sio kitambulisho cha mpiga kula? Naomba tusaidiane hapa.
 
Na kwa aliyepoteza vyeti vya form 4 na six inatakiwa aende na kitu gani ili akubaliwe kuingia. Msaada please
hapo inakua imeisha iyo. Kunajamaa yangu alipoteza izo zaga jamaa kasafiri mpaka necta dar kutoka ngara ila kaambulia maneno matupu.
 
Kwa issue ya ajiraportal umetoboa maana hv vitambulishso vya NIDA. havioneshi ulipozaliwa labda wacheck taarifa zako kwenye mfumo huko
 
Ambao hatuna iyo NIDA inakuwaje
Na je kama miaka ni tofauti kwenye NIDA na kwenye cheti cha kuzaliwa utaratibu ni upi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…