Jinsi Utumishi walivyotuzuia watu zaidi 50 tusiingie kufanya usaili wa ajira


Mkuu kwa mfano vyeti vya shule jina MICHAEL PROTAS IDDI na nida ni MICHAEL IDDI PROTAS nafanyaje hapo
 
Nauliza kama kitambulisho hujapata na namba ya nida unayo kuna shida ? Naombeni msaaada
 
Mkuu hivi kama hujapata kitambulisho cha nida hakijatoka lakini namba ipo kuna shida ??
 
Poleni sana bt interviewer kazi yao kubwa ni kutafuta makosa ili kupunguza idadi ya watu...hvo next term ukienda hakikisha umekamilika.
 
Nimepata uthibitisho kutoka kwa mwanasheria, tukutane Dom wakinilamba kichwa nawaachia wao
 
Kama namba ya nida ninayo ila kitambulisho sijapata , kuna shida kwenye kuruhusiwa kuingia kwenye interview
Huruhisiwi utaliwa kichwa mzee nenda na na kitambulisho cha mkazi Toka serikali ya mtaaa
 
Nadhani hiyo ndiyo njia mojawapo ya kufanya Shortlist! Waombaji ni wengi.
Lakini huko tunakokwenda hakikisha taarifa zako ziko sahihi.
 

Akiweza atafute cheti cha kuzaliwa kuonesha kazaliwa Mwanza maana kwenda kuedit Nida naona mlolongo mrefu zaidi
 
Mkuu mfano cheti cha kuzaliwa jina limeishia na AZIZY na kwenye vyeti vya shule na vitambulisho jina limeishia na AZIZI, hivi kuna shida hapo?

Tofauti teyari. Tafuta kipya cha kuzaliwa ni rahisi kuliko kupambana na hivyo vingine imeshawah nikuta tofauti ya kwenye Mohamedi na Mohamed
 
We acha kujimwamba fai, deed pool Kazi yake Nini ? Kama una nia ya kumsaisaidia nduguyo.. unless unatafuta tu Sababu ya kutomsaidia
Ni mpuuzi sana dosari zinarekebishika analeta mambo yake ya ukale, sasa kwa nini kuna option ya kufanya mabadiliko. Huyu jamaa atakua nshomile mifisa tu hovyo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…