Jinsi Utumishi walivyotuzuia watu zaidi 50 tusiingie kufanya usaili wa ajira

Wakuu vipi kama infor zitakuwa Hivi je kitakuwa na tatizo ?

NIDA,Cha kuzaliwa,cheti Cha stashahada na cheti Cha shahada vyote jina ni RAMADHANI SAID AHMED, ila cheti Cha astashahada jina ni RAMADHANI S. AHMED, vipi wakuu hapo Kuna tatizo ?
 
Mkuu vipi mwaka wa kuzaliwa ukiwa tofauti kwenye nida na cheti cha kuzaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…