Jinsi vijana wanavyotengeneza pesa kila siku kwa kutengeza maudhui TikTok

Jinsi vijana wanavyotengeneza pesa kila siku kwa kutengeza maudhui TikTok

Baada ya kupitia comment zote hapo juu, nimeona kama Taifa bado tuna safari ndefu aisee. Watu wanashangaa mtu kutengeneza hiyo pesa kupitia Tiktok. Hiyo kitu inawezekana kabisa kama wewe ni influencers yaani una followers wengi. Ila sishangai Wabongo kumpinga mtoa mada Kwa sababu wabongo tupo nyuma ya Teknolojia.

Wenzetu Nigeria, Kenya, S. Africa hii Mitandao inawalipa sana. Tena sahivi TikTok wameongeza feature nyingine yaani "TIKTOK LIVE " ambapo ukiwa na followers zaidi ya 1000 unaweza kuingia live na watu wakakutumia zawadi, zinaitwa "GIFT" uko TikTok then ukazi-redeem na kuwa pesa ya kawaida ambayo unaweza Kuwithdraw. Mbali na hilo TikTok Wana monetization kama ilivyo YouTube. Ingia mtandaoni search "TikTok Monetization"

Mi kipindi nipo chuo nimepiga pesa nzuri tu mtandaoni tena kupitia mtandao wa Facebook na majukwaa mengine ya mtandaoni hadi sahivi mtandao umenifanya niweze kuwasomesha wadogo zangu, kuwasaidia wazazi wangu, nimenunua baadhi ya assets na bado nina saving kwenye "bank, Mitandao ya simu na wallet za crypto" hii yote ni Kwa sababu ya internet na Mitandao ya kijamii. Na sahizi nimemaliza chuo, issue za mtandaoni ndo zinanifanya nisurvive.

Wabongo tuache mentality kwamba pesa utaipata shambani (juani) kazini, kuwa na duka n.k. japo najua siyo mpaka Kila mtu apate mafanikio mtandaoni/kwenye Mitandao ya kijamii. Wengine watapata mafanikio kupitia njia nyingine.

Kwenye hii digital era watu wanapiga pesa wakiwa chumbani tu bila kutoka nje Hadi majirani wanashangaa mbona huyu mtu, anakaa sana ndani, hela ya kula anapata wapi? kumbe kijana amejichimbia ndani yupo anafanya kazi na watu na makampuni ya nje ya nchi na analipwa tu vizuri
Wabongo wanapenda kuteseka sana.

Wanadhani kuteseka ni sifa nzuri.
 
Hana jina kubwa ila ana upuuzi mwingi sana huko tik tok. Wanamuita dada kiwigi.. huyo dogo ni mcheshi kweli kweli anaongeaa kama mzaramo. Ndio maana tik tok kapata sana ma followers

Anko umepigwa, dada kiwigi namjua, followers wake ni 271k
IMG_4621.png

ticktok wala sio 600k
 
Huyo alitaka kujustify hela anazopata anko wake ila anajua anachokiandika, hakuna msanii wa kumlipa sijui huyo kiwigi

Sent using Jamii Forums mobile app

Kabisa wakae chini na uyo dogo vizuri awaeleze hizo hela anatoa wapi.

Dogo aliwaingiza mkenge akawaonyesha likes na views za video ndio zinafika 600k ila sio followers.

Anko na watu wazima wakaingia mkenge kwa dogo. Hawa watoto wa chuo wajanja sana usipokua makini wanawadanganya familia nzima.

Nna dogo langu anasoma chuo karudi likizo ana iphone 14 pro max. Dogo namsomesha mimi mwenyewe na matumizi nampa mimi. Nashangaa ametoa wapi 14 pro max.

Anajitetea sjui anafanya biashara ya nguo chuo. Mtaji anasema infinix niliompa akauza akaanza biashara, akatuonesha na gheto analokaa fully furnished flat screen na sabufa kali. Wazee wakampongeza sana [emoji23][emoji23][emoji23] ila mimi nkawambia wazee tushapigwa hapa, ndani ya semista mbili hakuna biashara ya mwanafunzi wa chuo ya nguo ya kumpa maisha ya kishua hivi
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna madanguro mengi siku hizi ila Tiktok ni balaaa yani kuleee wadada wanaoingia online sijui kujibu comment..wanaweka video wakibinuka binukaa aiseee ni balaa asilimia 90 wanajiuza.
 
Mimi sijibinui napika mapishi mbalimbali.
Itahi upate views wengi kwauonheza quality content zaiko.. ukiwa na followers wengi, kampuni zinazouza bidha,

au kutoa huduma zinazo relate na contents zako wwanaweza kukupa deals..

usiache ifanye serious! Ila usichange contet ukacha mapisi na wewe ukaanza fanya mengine... page yako itapoteza umakini
 
Baada ya kupitia comment zote hapo juu, nimeona kama Taifa bado tuna safari ndefu aisee. Watu wanashangaa mtu kutengeneza hiyo pesa kupitia Tiktok. Hiyo kitu inawezekana kabisa kama wewe ni influencers yaani una followers wengi. Ila sishangai Wabongo kumpinga mtoa mada Kwa sababu wabongo tupo nyuma ya Teknolojia.

Wenzetu Nigeria, Kenya, S. Africa hii Mitandao inawalipa sana. Tena sahivi TikTok wameongeza feature nyingine yaani "TIKTOK LIVE " ambapo ukiwa na followers zaidi ya 1000 unaweza kuingia live na watu wakakutumia zawadi, zinaitwa "GIFT" uko TikTok then ukazi-redeem na kuwa pesa ya kawaida ambayo unaweza Kuwithdraw. Mbali na hilo TikTok Wana monetization kama ilivyo YouTube. Ingia mtandaoni search "TikTok Monetization"

Mi kipindi nipo chuo nimepiga pesa nzuri tu mtandaoni tena kupitia mtandao wa Facebook na majukwaa mengine ya mtandaoni hadi sahivi mtandao umenifanya niweze kuwasomesha wadogo zangu, kuwasaidia wazazi wangu, nimenunua baadhi ya assets na bado nina saving kwenye "bank, Mitandao ya simu na wallet za crypto" hii yote ni Kwa sababu ya internet na Mitandao ya kijamii. Na sahizi nimemaliza chuo, issue za mtandaoni ndo zinanifanya nisurvive huku nikusubiria kama ntapata ajira ya kudumu au la.

Wabongo tuache mentality kwamba pesa utaipata shambani (juani) kazini, kuwa na duka n.k. japo najua siyo mpaka Kila mtu apate mafanikio mtandaoni/kwenye Mitandao ya kijamii. Wengine watapata mafanikio kupitia njia nyingine.

Kwenye hii digital era watu wanapiga pesa wakiwa chumbani tu bila kutoka nje Hadi majirani wanashangaa mbona huyu mtu, anakaa sana ndani, hela ya kula anapata wapi? kumbe kijana amejichimbia ndani yupo anafanya kazi na watu na makampuni ya nje ya nchi na analipwa tu vizuri
Kwanini unataka uajiriwe wakati tayari unapiga hela mitandaoni ?
 
Usitumie nguvu kubishana nenda tiktok tumia feki Account, weka picha za kifahari uonekane una pesa afu zama inbox kwa mjomba mtu muulize swali moja tu
'how much for a single night at my hotel.?'
Akikujibu screenshot uje utupe mrejesho. Mwanachuo wa kike mrembo aliye busy mitandaoni sio wa kumuamini hata akiongea ukweli.
Asiulize swali hatojibiwa, aseme direct, 300k serena hotel tomorrow
 
Bro unajisumbua kuwaelimisha wabongo hawatakuelewa na wengine naona wanakuita muongo,hawajui mashamba ya generation tuliyopo ni technology,( social media) mtu ukimwambia watu wanapiga pesa kupitia kuwa influencers kwenye izo TikTok au Twitter hawawezi kukuelewa kwa sababu wabongo hawapendi kujifunza au kuelimishwa ,akili zao wengi zimefungwa kwenye mabox[emoji3][emoji3]Kuna mtu hajui kama YouTubers wanalipwa / wanalipa ,ila TikTok watu ni kweli wanapiga pesa kupitia kuwa influencers WA bidhaa/ huduma za makampuni mbalimbali na wazungu wanapiga pesa zaidi kwa kutangaza bidhaa zao kupitia TikTok
Je, tiktok wanawalipa content creators wa TZ?
 
Back
Top Bottom