Jinsi vijana wanavyotengeneza pesa kila siku kwa kutengeza maudhui TikTok

Usizunguke mbuyu, we weka jina analotumia huko tiktok ili tujionee anachofanya kama kweli kinaweza kumlipa hiyo hela anayowaambia, baada ya siku 3 tutakupa majihu ya biashara halisi anayofanya maana dm yake si iko wazi basi tutajua tu kama anajiuza, anadanga au ana biashara gani.
 
Usitumie nguvu kubishana nenda tiktok tumia feki Account, weka picha za kifahari uonekane una pesa afu zama inbox kwa mjomba mtu muulize swali moja tu
'how much for a single night at my hotel.?'
Akikujibu screenshot uje utupe mrejesho. Mwanachuo wa kike mrembo aliye busy mitandaoni sio wa kumuamini hata akiongea ukweli.
Kumbe na wewe unashtukiaga story za uongo, ila ile ya mtu kulipwa milioni 10 kwa masaji ukaona ni ukweli.
 
Baada ya kupitia comment zote hapo juu, nimeona kama Taifa bado tuna safari ndefu aisee. Watu wanashangaa mtu kutengeneza hiyo pesa kupitia Tiktok. Hiyo kitu inawezekana kabisa kama wewe ni influencers yaani una followers wengi. Ila sishangai Wabongo kumpinga mtoa mada Kwa sababu wabongo tupo nyuma ya Teknolojia.

Wenzetu Nigeria, Kenya, S. Africa hii Mitandao inawalipa sana. Tena sahivi TikTok wameongeza feature nyingine yaani "TIKTOK LIVE " ambapo ukiwa na followers zaidi ya 1000 unaweza kuingia live na watu wakakutumia zawadi, zinaitwa "GIFT" uko TikTok then ukazi-redeem na kuwa pesa ya kawaida ambayo unaweza Kuwithdraw. Mbali na hilo TikTok Wana monetization kama ilivyo YouTube. Ingia mtandaoni search "TikTok Monetization"

Mi kipindi nipo chuo nimepiga pesa nzuri tu mtandaoni tena kupitia mtandao wa Facebook na majukwaa mengine ya mtandaoni hadi sahivi mtandao umenifanya niweze kuwasomesha wadogo zangu, kuwasaidia wazazi wangu, nimenunua baadhi ya assets na bado nina saving kwenye "bank, Mitandao ya simu na wallet za crypto" hii yote ni Kwa sababu ya internet na Mitandao ya kijamii. Na sahizi nimemaliza chuo, issue za mtandaoni ndo zinanifanya nisurvive huku nikusubiria kama ntapata ajira ya kudumu au la.

Wabongo tuache mentality kwamba pesa utaipata shambani (juani) kazini, kuwa na duka n.k. japo najua siyo mpaka Kila mtu apate mafanikio mtandaoni/kwenye Mitandao ya kijamii. Wengine watapata mafanikio kupitia njia nyingine.

Kwenye hii digital era watu wanapiga pesa wakiwa chumbani tu bila kutoka nje Hadi majirani wanashangaa mbona huyu mtu, anakaa sana ndani, hela ya kula anapata wapi? kumbe kijana amejichimbia ndani yupo anafanya kazi na watu na makampuni ya nje ya nchi na analipwa tu vizuri
 
Baada ya kupitia comment zote hapo juu, nimeona kama Taifa bado tuna safari ndefu aisee. Watu wanashangaa mtu kutengeneza hiyo pesa kupitia Tiktok. Hiyo kitu inawezekana kabisa kama wewe ni influencers yaani una followers wengi. Ila sishangai Wabongo kumpinga mtoa mada Kwa sababu wabongo tupo nyuma ya Teknolojia.

Wenzetu Nigeria, Kenya, S. Africa hii Mitandao inawalipa sana. Tena sahivi TikTok wameongeza feature nyingine yaani "TIKTOK LIVE " ambapo ukiwa na followers zaidi ya 1000 unaweza kuingia live na watu wakakutumia zawadi, zinaitwa "GIFT" uko TikTok then ukazi-redeem na kuwa pesa ya kawaida ambayo unaweza Kuwithdraw. Mbali na hilo TikTok Wana monetization kama ilivyo YouTube. Ingia mtandaoni search "TikTok Monetization"

Mi kipindi nipo chuo nimepiga pesa nzuri tu mtandaoni tena kupitia mtandao wa Facebook na majukwaa mengine ya mtandaoni hadi sahivi mtandao umenifanya niweze kuwasomesha wadogo zangu, kuwasaidia wazazi wangu,kumiliki pisi Kali na tumebahatika kupata mtoto mmoja, Nina kiwanja nimenunua na Bado Nina saving kwenye "bank, Mitandao ya simu na wallet za crypto" hii yote ni Kwa sababu ya internet na Mitandao ya kijamii. Na sahizi nimemaliza chuo, issue za mtandaoni ndo zinanifanya nisurvive.

Wabongo tuache mentality kwamba pesa utaipata shambani (juani) kazini, kuwa na duka n.k. japo najua siyo mpaka Kila mtu apate mafanikio mtandaoni/kwenye Mitandao ya kijamii. Wengine watapata mafanikio kupitia njia nyingine.

Kwenye hii digital era watu wanapiga pesa wakiwa chumbani tu bila kutoka nje Hadi majirani wanashangaa mbona huyu mtu, anakaa sana ndani, hela ya kula anapata wapi? kumbe kijana amejichimbia ndani yupo anafanya kazi na watu na makampuni ya nje ya nchi na analipwa tu vizuri
Kwamba wewe ni Jeff Bezo? Danganya watu, vijana wa siku hizi mnajikuta tu
 
Wapi nimesema mi ni Jeff Bezos mkuu? Mi nilikuwa namuunga mkono mtoa mada. Watu kweli wanapiga pesa TikTok kupitia kuwa influencers, GIFT, TikTok Monetization etc kama una followers wengi shida wabongo tunakosa hizo information ndo maana watu wengi wamempinga mtoa mada, na Mimi Mitandao ya kijamii na internet vimenisaidia sana, japo siyo tajiri ila hela ya kuendesha maisha yangu naipata.
 
Muongo wewe uandhani sisi hatutumii hiyo mitandao?
 
Jamaa anajikuta yeye ndio wa kwanza kutumia social media na kujua faida zake, anajikuta yeye ni millard ayo nini,
Huwezi kuyajua haya mambo, wakati chuoni PC yako ilikuwa ni Kwa ajili ya kucheza games na kudownload na kuwatch games movies [emoji23]
 
Hela zipo ila sio za kumfanya huyo dada amudu mambo hayo jamaa aliyoorodhesha tena kwa mda mfupi hivi, kuna some fishy business anayoifanya inayompa hela na hiyo tiktok anaitumia kuwadanganya kuwa ndio source yake ya income, get it in yoir head mr mteknolojia
 
Back
Top Bottom