Jinsi vijana wanavyotengeneza pesa kila siku kwa kutengeza maudhui TikTok

Jinsi vijana wanavyotengeneza pesa kila siku kwa kutengeza maudhui TikTok

Laki tatu kwa siku mafanikio yake ni kununua simu na saloon hii kamba

Sio kila siku anapata laki 3. Ikitokea siku imeenda vizuri akapata wateja 10 ndio inafika hiyo. Kumbuka Kuna siku pia hapati mteja hata mmoja
 
Aya mambo so mageni hyo ipo wazi ata wizkid ashawahi kumlipa hela Rihanna acheze nyimbo yake na ngoma lika hit

Watu wanakataa humu wanasema dogo ametudanganya sisi vi vilaza.. huku tukitazama account yake tunaona nyimbo kibao anazicheza cheza na kuziimba imba kila siku mpya tena zingine za ma underground kabisa.
 
Habari wadau.

Nilikuwa nawadharau sana vijana wanaoimba imba na kucheza cheza tik tok. Nawaona wapuuzi hawana kazi ya kufanya na wajinga.

Mtoto wa shangazi yangu ni mmojawapo wa hao wapuuzi wa tik tok. Ana followers laki 6 huko tik tok

Ni binti ana miaka 21 na Anasoma chuo kikuu kimojawapo nchini

Shangazi alikuwa analalamika anahisi mtoto wake amekuwa tapeli ama amepata madanga. Maana amekuwa na pesa huku hana ajira yeyote mara kanunua boda boda. Mara kanunua simu ya gharama, mara kanunua mavifaa ya saloon ya kike.

Baada ya dogo kuhojiwa sana akafunguka hela anavyozipata.

Yupo chuo mwaka wa pili now. Akasema hela anazipata kupitia tik tok.

Wasanii wa bongo fleva wanataka nyimbo zao zitrend tik tok.

Hivyo wakitoa nyimbo zao huwa wanawafata watu wenye followers wengi tik tok na kuwaambia waanzishe challenge za nyimbo zao ili ku wainfluence followers wao na wao waige na mwisho nyimbo inakuwa hit song. Hivyo wasanii huwa wanawalipa hao tik toker wa kuanzisha challenge kama yeye. Mfano yeye anachaji elfu 30 kwa challenge ya wimbo wa msanii

Wasanii wapo kibao na wengi ma underground na nyimbo mpya zinatoka kila siku. Hivyo kwa siku anaweza kuhudumia hata wasanii 10 na kuingiza laki 3 easy tu.

Pia kuna wasanii wa kenya na nigeria nao wana mchezo huu.

Pia waimba nyimbo za injili na kwaya kina rose muhando, bukuku na wengineo nao wameiga mchezo huu

Hivyo ndio inampa hela anazonunua vitu.

Dogo katuonesha inbox yake tik tok na instagram tukaona wasanii kibao wamemfata dm na wanavyomtumia miamala kaonesha ili kutetea hela zake kwamba anazipata kihalali.

Binafsi nimeshangaa sana na kumpongeza dogo kwa jinsi alivyojiajiri
Bro unajisumbua kuwaelimisha wabongo hawatakuelewa na wengine naona wanakuita muongo,hawajui mashamba ya generation tuliyopo ni technology,( social media) mtu ukimwambia watu wanapiga pesa kupitia kuwa influencers kwenye izo TikTok au Twitter hawawezi kukuelewa kwa sababu wabongo hawapendi kujifunza au kuelimishwa ,akili zao wengi zimefungwa kwenye mabox😀😀Kuna mtu hajui kama YouTubers wanalipwa / wanalipa ,ila TikTok watu ni kweli wanapiga pesa kupitia kuwa influencers WA bidhaa/ huduma za makampuni mbalimbali na wazungu wanapiga pesa zaidi kwa kutangaza bidhaa zao kupitia TikTok
 
Nachoshangaa wanaopinga ni wasomi kabisa ila wanasema dogo ametudanganya. Mtu ana followers laki sita kwenye account yake bado useme muongo kweli

Graduates wengi hawana ajira ila wanashindwa kutumia fursa..
 
Usibishane na wabongo uelewa mdogo,wasomi WA kibongo wengi hawajaelimika na sio updated na mambo pia sio wanafunzi WA milele,kwa Africa vijana wajanja kidogo WApo Kenya na Nigeria,😀😀yaani watu hawajui kama Facebook, TikTok ukiachana na deals za kuwa influencers,vijana wengi WA kibongo tumekariri mtindo WA maisha ya utafutaji ,tunajua ili mtu apate pesa lazima aingie juani kufanya biashara au aende Kila siku kazini na ilo sio kosa letu ndo mifumo iliyotukuza na kutuaminisha tangu tukiwa wadogo,Kuna mtu hajui ata kwa Nini wasanii wanashindania views za YouTube?😀😀
 
Mbaneni vizuri hakuna TikTok influencer anaingiza laki 3 Kwa siku hapa Tanzania Kwa kulipwa na wasanii.

Laki 3 x 30=9,000,000
Kwa mwaka 12 x 9,000,000= 108,000,000

Kwa hiyo Kwa miezi 12 ndugu yenu anaingiza milion 108 halafu anaenda Kununua bodaboda. Au sio
 
Back
Top Bottom