Jinsi vijana wanavyotengeneza pesa kila siku kwa kutengeza maudhui TikTok

Wabongo wanapenda kuteseka sana.

Wanadhani kuteseka ni sifa nzuri.
 
Huyo alitaka kujustify hela anazopata anko wake ila anajua anachokiandika, hakuna msanii wa kumlipa sijui huyo kiwigi

Sent using Jamii Forums mobile app

Kabisa wakae chini na uyo dogo vizuri awaeleze hizo hela anatoa wapi.

Dogo aliwaingiza mkenge akawaonyesha likes na views za video ndio zinafika 600k ila sio followers.

Anko na watu wazima wakaingia mkenge kwa dogo. Hawa watoto wa chuo wajanja sana usipokua makini wanawadanganya familia nzima.

Nna dogo langu anasoma chuo karudi likizo ana iphone 14 pro max. Dogo namsomesha mimi mwenyewe na matumizi nampa mimi. Nashangaa ametoa wapi 14 pro max.

Anajitetea sjui anafanya biashara ya nguo chuo. Mtaji anasema infinix niliompa akauza akaanza biashara, akatuonesha na gheto analokaa fully furnished flat screen na sabufa kali. Wazee wakampongeza sana [emoji23][emoji23][emoji23] ila mimi nkawambia wazee tushapigwa hapa, ndani ya semista mbili hakuna biashara ya mwanafunzi wa chuo ya nguo ya kumpa maisha ya kishua hivi
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna madanguro mengi siku hizi ila Tiktok ni balaaa yani kuleee wadada wanaoingia online sijui kujibu comment..wanaweka video wakibinuka binukaa aiseee ni balaa asilimia 90 wanajiuza.
 
Mimi sijibinui napika mapishi mbalimbali.
Itahi upate views wengi kwauonheza quality content zaiko.. ukiwa na followers wengi, kampuni zinazouza bidha,

au kutoa huduma zinazo relate na contents zako wwanaweza kukupa deals..

usiache ifanye serious! Ila usichange contet ukacha mapisi na wewe ukaanza fanya mengine... page yako itapoteza umakini
 
Kwanini unataka uajiriwe wakati tayari unapiga hela mitandaoni ?
 
Asiulize swali hatojibiwa, aseme direct, 300k serena hotel tomorrow
 
Je, tiktok wanawalipa content creators wa TZ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…