Jinsi "wasaliti " wanavyoula CCM, huku wafia chama wakitoswa

Sorry hv kabla ya kuteuliwa naibu wazir shonza alikuawap vile ??

Its not over until its over...[emoji769]
 
Upinzani ndio chuo pekee cha kupika wanasiasa mahiri na tegemeo la ccm baada ya chuo Chao cha siasa kufa.
Upinzani una underground upcoming wengi Sana hata watenge bajeti ya nchi awawezi wanunua wote.
 
ENDELEA KUTUPA UPDATES MKUU.
Nafurahishwa sana na juhudi zako za kuhabarisha uma kuhusu sisiemu.
 

Peleka uchawi wako huko kwenu chadema, hao wote uliowataja ni watanzania na vyama ni mali ya watanzania, kuna watu hukerwa na mtu kwenye chama na sio chama kama taasisi,
Lengo la chama kama CCM ni kuleta maendeleo kwenye nchi na sio kwa wafuasi wake,
Kama chadema lengo lenu ni kutoa ajira kwa wafuasi wenu basi bakini huko, ila ipo siku hata pesa ya kuweka bando mtakosa.

Sisi wafusi wa CCM sio kutaka ajira ila tunafulahi pale maendeleo ya nchi yanafanyika na ndio fulaha yetu.
Hata kesho akija mpenda ushoga Lisu akatubu,
Atapewa nafasi akiwa under control kwa mda wa kutosha ili aaminike.
Kwa wenye chuki bakini huko chadema ili mfe na sumu za kichawi moyoni kwenu.
 
Kiukweli ukiwa mpinzani thamani yako kubwa sana hata kama utateswa na polisi dpp haijalishi hebu tazama wakati wa kampeni vijana wa ccm wanavyobebwa na Malori kama vile Isuzu, Fuso, tipper, Jeifongo (Jiefang), utadhani viazi mvingo vya iringa na mikungu ya ndizi ya bukoba.

Lakini ikitokea mpinzani akahamia huko utasikia kalipiwa na nauli ya ndege mara kikao Kempisk, utasikia kapewa mamilion kadhaa na akati kijana wa ccm pamoja na kubarikiwa matusi makubwa ya kutukana upinzani anaambulia buku 7 na vyeo kama ukuu wa wilaya, mkoa n.k. wanapewa watoto wa wenye ccm au anapewa mpinzani kulingana na M/kiti hiyo siku ameamkaje.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
POLE ndugu;
Yule mwenzenu Mjumbe kutoka Songwe aliyoyaongea ndani ya NEC yuko tofauti kabisa na porojo zako.
Wenzio wamechoka kuwa wa bk 7, wakati wahamiaji Lijualikali na Nassari wana uhakika kuwa wakikosa nafasi ya ugombea watapata uteuzi au vyote.
Hata ukuijifanya unaficha machozi ili upendwe, lakini BADO kama wanavyofokafoka katika manyimbo ya siku hizi; '............. hujui ukamugonge nani ?...........'. AMEN
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 

Kama hao akina nasari wameleta ushindi kuna shida gani kumtumia kwenye shughuli za maendeleo,
CCM ni kama timu ya mpira sisi tuanataka point tatu 3 hata kwa mchezaji wa kukodi,
Kama ninyi mnataka watoto wa nyumbani mtabaki wa mwisho kila siku, na mashabiki mtabaki na aibu daima.
 
mmmh!
Lakini si hata CDM nako EDO alipata nafasi ya kugombea u presidia matokeo yake Slaa akatoswa?
Au hata hiyo nafasi ya Sumaye Pwani kwani hakuna watu wa CDM waliokitumikia muda mrefu wangefaa?
Au Bulaya kuwa Mnadhimu mkuu Bungeni
 
Tena Magufuli kamjibu kwa kujiamini kuwa CCM damu hamna kitu ndio maanake anatafuta usajili kutoka Vyama pinzani.
Magufuli sio CCM ile tulioizoea,wala hana lugha ya kubembeleza hata kidogo.
Pia yaonekana anajipanga kusajiri hata daraja la pili na la tatu kuliko kuchukuwa CCM damu damu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…