Jinsi "wasaliti " wanavyoula CCM, huku wafia chama wakitoswa

Mtaelewa tu nyie wenyewe mnapiga piga kelele ili mbowe awape hata vyeo vya mgambo maana kwenu kila mtu kamanda
 
Sizonje ni mwanasiasa mshamba, hakuwahi kujua ngoma anayong'ang'ania kuicheza sasa kumbe ilishachezwa sana na wenzie hapo zamani na ikasahaulika.

Zilipendwa.
Mkuu rudi tu ukampigie magoti Sizonje atakukumbuka japo kwa ukuu wa wilaya.

We ulifikiri utakula milele pale kwenye ile nafasi yako?
 
Wanaotoka upinzani kwenda ccm wananjaa ila wanaotoka ccm kwenda upinzani wameshiba kwa mujibu wa msemaji wa ccm -polepole
 

Hawezi kuileta katiba ya Warioba, kwa jinsi anavyonuka ufisadi na rushwa. Atafungwa.
 
Ndiyo maana teuzi za wakuu cha mokoa zinazingatia kujua kusoma na kuandika kwa maslahi ya wa-Tanzania?
 
Mkuu nimeipenda sana hii thread, ccm ipo ktk wakati mbaya kuliko wakati mwingine wowote. Amkeni akina nape njooni 'kipande hii' hakuna stress ni full starehe.
 
Kwa kufanya hayo unadhani anafanikiwa au anachemka?. Waliotangulia kufanya hayo walishindwa kufanikiwa yy ataweza?.
 
stroke kama mfia chama namba moja humu jf, unafaidikaje? usifiche. Wafaidika hawashindi mitandaoni wanakuwa na shughuli nyingi. Utakufa kwa stroke soon.
sifaidiki na chochote mkuu, natumia tu haki yangu ya kikatiba ya kutoa maoni.
 
Hawakuwa wanaponda chama mkuu,hiyo inaitwa constructive criticism.Sasa wewe kama unaunga mkono kila jambo si hypocrite,kihiyo na mchumia tumbo tu,upewe cheo cha nini,fungukeni.A competent person anajiamini on what he says and does.
 
Unanifanya nikumbuke story ya mwana-mpotevu katika bible! Yule mzee alimfanyia sherehe kubwa yule mtoto aliyedai urithi wakati babake akiwa hai na akapewa (haikuwa kawaida). Akatapanya mali na marafiki zake pamoja na malaya hadi pesa ikaisha. Kisha akakumbuka nyumbani palipojaa neema na utajiri. Akaamua kurudi kwa baba yake. Baba akamtunuku vingi hadi mtoto mkubwa akaona wivu kuwa, mie pamoja na kubaki nyumbani, kushinda shambani, .... hujanichinjia hata ndama aliyedhoofu!.......
Msione wivu waliopotea wakirudi nyumbani na "kupewa mavazi mazuri/mapya/safi na kuchinjiwa ndama aliyenona".
 
Kiongozi umenikela kuatach uzi wangu mahali ambako mimi sikuhitaji. Wewe unanipeleka mahali kwa lazima bila hiyari. Sijawahi kukumbwa na hili toka niwe member humu ukweli sijalifurahia. Umekaa umetulia pekee yako ukaona uunganishe uzi Wangu na huu. Basi poa.
 
Tumsikilize,tumsome na isiishie hapo TUMUELEWE PIA.

mwenyewe anapenda kusisitiza MAJIZI hayana chama yapo CCM,CUF,UDP NA HATA CDM nk tushirikiane tujenge nchi.

Hizi teuzi toka UPINZANI ni za kujivunia saana inapaswa upinzani utembee kifua mbele.

Kwani umeandaa wananchi tayari kupokea majukumu yoyote ya kiserikali jiaminini.
Shangilieni mko wasafi mkuu haoni kwenye kundi lake.

Anawaona nyinyi pigeni makofi TAFADHALI.
 

Hata Dr. Slaa ilimuuma sana lowasa alivyopewa nafasi ya kugombea bure bure wakati waliosotea chama wapo.
 
Hata Dr. Slaa ilimuuma sana lowasa alivyopewa nafasi ya kugombea bure bure wakati waliosotea chama wapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…