Jinsi ya kuandika Tangazo lako la biashara mtandaoni

Hii ni kwa wafanya biashara ambao wanapata changamoto katika kupata leseni za biashara kupitia mfumo wa kuomba leseni za biashara mtandaoni unaojulikana kama TAUSI PORTAL.

Karibu nikusaidie kuomba leseni ya biashara mtandaoni kupitia mfumo wa TAUSI popote ulipo Tanzania.

Uaminifu kipao mbele, malipo ni baada ya kazi kukamilika.

Simu/WhatsApp 0752026992.

 

ChatGPT ni ya kulipia! Ina limit maelezo yake! Unaipata vipi bila limit au umelipia??
 
People shouldn't worry about Artificial intelligence I'm sure it will create a lot of job –Jack ma –
Absolutely, muhimu kujifunza jinsi ya kuzitumia AI kwa manufaa yako.
 
Ai ndio mtindo wa maosha wa dunia ijayo...
 
Mimi inani limit maswali 3 kwa siku tu
Mpaka ulipie
Jaribu ku-update browser yako boss. Huwa nauliza maswali zaidi ya 20 kwa siku for free.

ChatGPT 4 sijapata changamoto hiyo.
 
Elewa hili "Biashara ni matangazo."

Matangazo ndiyo moyo wa biashara. Kama unafanya biashara mtandaoni na unahitaji wateja wengi ni muhimu kufanya matangazo ya kulipia (Sponsored ads).

Kwanini? Kwa sababu biashara yako inatakiwa kuonwa na kusikiwa na watu wengi zaidi na zaidi.

Faida kuu ya kufanya sponsored ads

Hufikisha tangazo lako kwa watu wengi

Hufanya watu wapya kutembelea account yako kuona unachouza.

Husaidia kupata wateja wapya na kufanya mauzo

Husaidia kupata followers wapya ambao ni wateja watarajiwa


Sponsored ads ndiyo siri wanatumia wafanya biashara wengi kupata wateja hapa mtandaoni.

Je! Umeanza biashara mtandaoni na haujui uanzie wapi kutangaza biashara yako?

Tunaweza kukusaidia hatua kwa hatua hadi ukafanikiwa kunasa wateja wengi.
Call/Whatsap 0752026992
 

Attachments

  • Biashara matangazo Sponsored ads Facebook na Insta.mp4
    3.5 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…