Jinsi ya kuepuka kupigwa na mawinga Kariakoo

Hatua zote hizi ni unataka kununua friji, je ukitaka kununua bomu?
 

Kinacho waharibia Mawinga NI TAMAA iliyopitiliza.
Imagine Mtu anakupiga Kwa zaidi ya elfu 50-laki Moja.
 
nimeshafika dukani bei ya dukani hapo ni 80k nimeona bidhaa naitaka mfanyakazi wa mule anasema bei ni 120K mkivutana kidogo unalipa kwa 100k kwakua yeye ni winga huu ni wizi. kwamba hapa yeye kafanya kazi gani?

Hilo swali umuulize mwenye Duka yeye ndiye anajua Kazi ya hao Mawinga.

Na kama unajua bei NI 80k why utoe 100k kama nawe siô Mwizi.

Mimi najua wateja wengi hawaijui na Hawana tàarifa Sahihi kuhusu bei za Bidhaa wanazoenda kununua Huko Kariakoo ndîo maana wanapigwa

Labda ushauri ungeiomba serikali itoe bei elekezi Kwa kîla Bidhaa zilizopo Hapa nchi ili kupunguza kupigwa

Lakini Winga kwàke hiyo nifursa Kwa sababu mfumo unampa nafasi
 
Kikubwa ni sisi kama familia ya jf kuna umuhimu wa kusaidiana kwenye maeneo yote ya kazi zetu kikubwa ni kutokufungua code zetu za jf kwamba huku jf ni nani ila maeneo yetu kuna uhitaji wa kubebana nami nafungua mjadala mpya kwa wadau kutafuta namna gani tutasanuana kuhusu kila mmoja kwenye eneo lake.
 
uhalisia wa hawa mawinga natumaini unaufahamu. ingekua kihalali wakalipwa na mwenye duka. ila sio kupandishia bei watu wageni.
 
Kwanini hawana kosa? Mm nakuja kununua jeki ya gari yangu winga anaongea na mwenye duka wananiuzia laki ilihali ni elfu arubaini si ni wote wezi tu?
yeye hii hoja lawama anampa mteja. hali ya kua mteja kafika town kafika mpaka dukani lakini anaingizwa mkenge kwa sababu hana experience
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…