Jinsi ya kuepuka kupigwa na mawinga Kariakoo

Ishu ya msingi ni mawinga kuondolewa Kariakoo,usumbufu mkubwa wa kubishana bei,maduka ya wenzetu ulaya bei zimeandika hakuna kubishana, mawinga ni wa kufukuza, mtu anaamka tu asubuhi hana duka anaenda kusumbua watu. Kwanza kwa usumbufu kama ule mi siwezi kununua tena naona kama natapeliwa
 
Yaani...watimuliwe kabisa...
 
Mimi hoja nimeiwasilisha
 
Mawinga wapo kwa ajili ya watu wa nje ya nchi,mteja mmoja mtu anapiga m3,nyie wa kwenda ukinunua jozi moja ya viatu ni kwa ajili ya vocha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…