Jinsi ya kufanya kiuno kigumu kiwe laini

ha ha ha!!!!!
Club nlikua naenda naangalia wenzangu
 
yaani changu ni kigumu kuliko mawe......................
ila papu uchi yangu naiaminia................tamuje hahahaha nafwaaaaaa
Pengine hiyo papu uchi yako ndiyo inayokubeba kwenye marks,ila angalie usije shindwa kubalance "kombi"..unasoma PCM,Physics umetoboa,Mathe umezungusha,Chemistry umetoboa,sijui nini kitafuatia hapo....
 
You are here twin.....?!!!
 
Umechoka kuitwa Gogo kitandani pole sana.


Naona vyuma vimekaza hata ukikataka kama mwali wakimakonde no money, izi-zama Jpm.
 
shoga sijui lolote
 
Youtube, download video ya wabrazil wakicheza mziki wao sijui unaitwa salsa.
Au fungua youtube andika brazil dancing workouts kwenye search box. Wanachezesha kila sehemu ya mwili kuanzia nywele, kichwa, shingo, mabega, mikono, kifua, tumbo, kiuno, mapaja, ugoko, mpaka toes.
Zitakufundisha naamin
 
Watu tumekulia mazingira tofauti... kuna binti mmoja hawa majirani zangu nikawa namlazimisha twende twende anaona aibu siku nikamlazimisha.

Daah kufika kwenye kucheza nilichoka anazungusha mwili mzima basi hadi ifike saa 7 anavuja jasho kama yupo kiwandani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…